Sigara mpya za Sportsman [Potsman]

Sigara mpya za Sportsman [Potsman]

Scientifically ni bora kuvuta bangi kuliko sigara!
 
Duh, mie nilijua unaacha kuvuta sigara kutokana na madhara yake kama kansa kumbe ni kitu kinggine kabisa.

Vizuri umeacha mkuu utaona tofauti kwenye afya yako.
 
Nina mpango wa kuacha sigara, tangia juzi sijavuta kwani sigara niipendayo ya sportsman imebadilishwa ladha, kila nikivuta nasikia kwikwi, sio mimi tu wavutaji wengi wa sigara hiyo wanalalamika.

Tunaomba TCC mturudishie sigara yetu, hii mliyoleta sio kabisa.

Ni kweli kabisa mkuu. Sigara za sasa hivi hata harufu imekuwa mbaya sana. Zsmani mtu akivuta karibu yako ule moshi ulikuwa burudani sana......lakini sasa ni kero!
 
Nina mpango wa kuacha sigara, tangia juzi sijavuta kwani sigara niipendayo ya sportsman imebadilishwa ladha, kila nikivuta nasikia kwikwi, sio mimi tu wavutaji wengi wa sigara hiyo wanalalamika.

Tunaomba TCC mturudishie sigara yetu, hii mliyoleta sio kabisa.

Nimeshahamia embassy kitaambo
 
Khaa!! Wangekuwa wanachanganya na chaarusha kwa mbali ili tupate stim ya ukweli
 
Hahaha! Shimba ya hale? Navutiwa sana na mabinti wavutaji aisee!
Ntuzu. Lakini narudia tena ishu siyo hiyo harufu ya sigara, vikohozi vyao au meno yao yenye madoa doa. Ishu hapo ni mbunye mkuu. Tusidanganyane bana. Wigwa?
 
Dah nimecheka mpk machozi nimekumbuka zamani mtu akiniudhi humu nilikuwa natoka hasira za povu kumbe naikasirikia keyboard tu lol
Hapa ukichemka na ma testosterone kukupanda unaweza kuvunja simu au kompyuta yako bure tu. It takes time kuwa calm kwani kuna watu wanaudhi kweli kweli!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom