Utani wa ngumi huo mhishimiwaKwani siku hizi bangi huvuti?
Utani wa ngumi huo mhishimiwaKwani siku hizi bangi huvuti?
Mwana una dharubu weye! Hebu nionjeshe na mie hiyo starehe yako one day.
Mie mpaka 'sembe' nasonga
Mtafute madamB kaka atakujuza sababu
Lazima ibadilike kama jina lilivyobadilika,sportsman=mwanamichezo,mtu wa michezo
. Kwa sasa potsman=1. mtu wa vyunguni, 2. mtu wa uharibifu, mtu anayechakaa, 3. mvuvi wa chaza,kaa 4. mtu wa ku bet.
Kwa hiyo, kutoka mwanamichezo hadi kuwa mtu wa zaidi ya aina 4, sigara hiyo haina budi kubadili ladha.
Uvutaji sigara ni uharibifu kwa mwili wako, ni dhambi kuuharibu mwili wako kwa makusudi.
Mmh, haya bhana. Sahani sh ngapi nihamie mgahawani kwako?
Mie mpaka 'sembe' nasonga
Njoeni kwenye bangi na mirungi
Sigara siku hizi zimepunguzwa ladha
MITHALI 11:22
Kama pete ya dhahabu katika pua ya
nguruwe, Kadhalika mwanamke mzuri
asiye na akili.😀
Njoo nyumbani
Nina mpango wa kuacha sigara, tangia juzi sijavuta kwani sigara niipendayo ya sportsman imebadilishwa ladha, kila nikivuta nasikia kwikwi, sio mimi tu wavutaji wengi wa sigara hiyo wanalalamika.
Tunaomba TCC mturudishie sigara yetu, hii mliyoleta sio kabisa.