Nina mpango wa kuacha sigara, tangia juzi sijavuta kwani sigara niipendayo ya sportsman imebadilishwa ladha, kila nikivuta nasikia kwikwi, sio mimi tu wavutaji wengi wa sigara hiyo wanalalamika.
Tunaomba TCC mturudishie sigara yetu, hii mliyoleta sio kabisa.
Tunaomba TCC mturudishie sigara yetu, hii mliyoleta sio kabisa.