Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,626
- 19,944
Ishu ndogo Kama hiyo ulishindwa kuiacha ipite ukaamua kuja kuvujishs mkanda mzima kwa Wana ili iweje sasa?
Wapo watu Wana changamoto kubwa kuliko za huyo mkeo ila wanavumiliwa vizuri tu na wenza wao.
Umezingua Sana we jamaa
Wapo watu Wana changamoto kubwa kuliko za huyo mkeo ila wanavumiliwa vizuri tu na wenza wao.
Umezingua Sana we jamaa