Sifurahii Kusex na Mke wangu

Sifurahii Kusex na Mke wangu

Wakati wa sex mlaze ubavu,kunja mguu wake mmoja ,ingia hapo kati,ukishaingiza uume, mkono wako mmoja kandamiza kalio la juu kwa kuubana uume,pia mwambie afanye kama anaufinya uume kwa ndani. Pia nunua pea tatu za vitambaa laini( lesso) uwe unafuta mchuzi ukizidi.nna hakika utainjoi,pia mzungumze ili msaidiane vizuri kwa upendo.
 
Nimemuonea huruma sana huyo Dada.
Huwa nasoma au kuangalia visa kama hivi .Kawaida mume au mke akikuchoka usilazimishe mawazo yakizidi ataishia kukuuua!Run!
Wife wa watu uenda yuko jikoni anamuandalia mume msosi kumbe mume yuko huku anamuanika..
 
Sasa ulitaka nikaombe facebook ,huku si ndo kwa magreat thinker na hata jina sija mention utasemaje nimemwanika ?

Au unataka nife na tai shingoni
Kwa mtazamo wako kumwanika mtu ni mpka umtaje jina?
Hiyo ni indirect assault bro... Hata kama muhusuka hajui but umemkosea kaka...
Nakushauri ukaombewe ili nafsi yako irudishe upendo wako wa mwanzo ambao ulikubali kupuuzia mapungufu ya mkeo Kabla hujamuoa... Amin nakwambia ndoa yako ina kitu kikubwa mbele za Mungu ndo maana Shetan anakujaribu ili uharibikiwe then akae pemben akuangalie unavyojuta.... Kama unabisha, Nenda kaoe mwanamke mwenye K ya kubana then utarud kutueleza Kama ndoa ni K ya kubana tu au ni zaidi ya Hilo...

Nakupa story hii jifunze kitu :

MAANA YA NDOA :

Katika darasa la Saikolojia, mwanafunzi alimuuliza professor nini maana ya mahusiano ya kimapenzi? Professor akasema "ili niweze kukujibu swali lako nenda kwenye shamba kubwa la ngano na uchague mche wa ngano ulio mkubwa kuliko miche yote katika hilo shamba.

Kisha urudi nao hapa kipindi kitakachokuja. Ila sheria ni kwamba unapotafuta huo mche mkubwa kuliko yote katika hilo shamba huruhusiwi kurudi nyuma kutizama tena.

Mwanafunzi wa Saikolojia akaenda shambani na kuanza kutafuta mche mkubwa kuliko yote, alipopita tuta la kwanza aliona mche mkubwa lakini akajisemea kwamba niende tuta la pili labda huko kuna mkubwa zaidi, akenda tuta la pili nako akaona mche mkubwa, lakini akajisemesha vile vile kwamba huenda kuna mkubwa zaidi tuta la tatu, akendelea mpaka akaona kwamba matuta mengine yote yanayofuata yana miche midogo zaidi bora ya matuta ya nyuma.

Akajilaumu kukosa mche wa ngano katika matuta ya nyuma na hivyo akarudi darasani kwa Professor mikono mitupu. Professor akamwambia "hiyo ndio maana ya mahusiano, unakazana kutafuta yule aliye bora na amekamilika, lakini baadae unakuja kutambua kuwa ulipoteza mtu bora zaidi katika huo mchakato wako."

"Kwaio ndoa ni nini?" Mwanafunzi akamuuliza tena professor. Mwalimu akamwambia "ili niweze kukujibu swali lako, nenda katika shamba la mahindi na uchague mmea wa mahindi mkubwa kuliko yote katika shamba na urudi hapa, ila sheria ni ile ile huruhusiwi kurudi nyuma kuchukua yale uliyoyapitia"

Mwanafunzi akaenda katika shamba la mahindi, ila safari hii alikuwa muangalifu kutokurudia kosa la mwanzo, alipofika katikati ya shamba akachagua mmea wa mahindi ambao upo saizi ya kati ambao aliona unaridhisha na akarudi nao kwa mwalimu.

Professor alipomuona akamwambia, "safari hii umeleta mmea wa mahindi, umechukua ule ambao umeona unafaa, na umeamini kwamba huu ndio mzuri na umeizidi miche yote, "Hii ndio maana ya ndoa"
 
Unawezaje kusema mke wangu "K INAMIMAJIMAJI"

hata mpenzi wangu ambae sijaoa siwezi kutamka namna hio juu yake, hata demu ambae napiga tu siwezi kusema namna hio wewe mkeo u amuandika namna hio K INA MIMAJIMAJI.....INSANE
 
Mambo vipi wana MMU

Niende moja kwa moja kwenye mada,binafsi nimefunga ndoa ya kikristo na enzi kabla sijaoa sikuwahi kuwa Playboy kivile so nika date na huyu bidada ambaye tabia zake zinaridhisha nkaamua nifunge naye ndoa,ila tangu zaman uchi(K) yake haikua inanivutia sana kwa maana ya size kubwa na mimaji Maji sana japo anajituma sana kitandani,kutokana na tabia zake nyingi nzuri nkaamua nifunge naye ndoa hilo la K ntalivumilia

Sasa kusema ukwel si enjoy sex kabisa kuna muda najilazimisha tu ,saivi ni miaka 4 tangu tumefunga ndoa na tuna mtoto mmoja,na kuna kipind nliwahi kucheat (sikupenda) lakin nlijilaum sana maana nlikutana na mdada K inabana vizur hadi raha

Sasa naombeni ushaur kumwacha siwez kutokana tushaweka base ya maisha na hajanipa maudhi makubwa kuongeza Mke Wa pili siwez dini hairuhusu,lakin honestly yaan nasex naye ilimradi tu si enjoy kabisa
Ulisema:-
Mimi ni mwanamke niliye kwenye ndoa ya mwaka mmoja na miezi7, kabla ya kuolewa na huyu mume wangu nilikuwa na mahusiano na kijana mmoja ambae tulipendana na kushibana sana ila kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu hatukuweza kuoana.

Imetoka:-

Leo wewe ni mwanaume
 
Jf ni kijiwe cha story baada ya watu kushiba Dona na dagaa ,huku wakiangalia tv wameweka makalio kwenye sofa za shemeji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mambo vipi wana MMU

Niende moja kwa moja kwenye mada, binafsi nimefunga ndoa ya kikristo na enzi kabla sijaoa sikuwahi kuwa Playboy kivile so nika date na huyu bidada ambaye tabia zake zinaridhisha nikaamua nifunge naye ndoa, ila tangu zaman uchi(K) yake haikua inanivutia sana kwa maana ya size kubwa na mimaji Maji sana japo anajituma sana kitandani, kutokana na tabia zake nyingi nzuri nikaamua nifunge naye ndoa hilo la K nitalivumilia

Sasa kusema ukwel si enjoy sex kabisa kuna muda najilazimisha tu, saivi ni miaka 4 tangu tumefunga ndoa na tuna mtoto mmoja na kuna kipind nliwahi kucheat (sikupenda) lakin nlijilaum sana maana nlikutana na mdada K inabana vizur hadi raha

Sasa naombeni ushauri kumwacha siwez kutokana tushaweka base ya maisha na hajanipa maudhi makubwa kuongeza Mke Wa pili siwezi dini hairuhusu, lakini honestly yaan nasex naye ilimradi tu si enjoy kabisa
Vumilia Baba achana na kucheat utaleta Ngoma ndani
 
Huyo unayemuona ana mimaji wenzio wanamuona dhahabu
 
Back
Top Bottom