Sifahamu mimi ni nani

Waswahili walisema "Undugu ni kufaana, si kufanana".

Unajua hata Nyerere Chifu Burito si baba yake wa kibaiolojia lakini ndiye aliyemlea, aliyemsomesha na ndiye anayepata ujiko mpaka leo kwamba baba yake Kambarage Nyerere?

Unajua Baba yake wa kibaiolojia Bill Clinton jina lake si Clinton, Mzee Clinton ni Baba aliyekuja kumkuta Mama yake Bill ana mtoto tayari, akamuoa,lakini kwa sababu alimlea mtoto vizuri mpaka jina Bill Clinton akabadilisha kutoka William Blythe (Blythe ni jina la familia ya baba yake wa kibaiolojia) akajipa jina la Bill Clinton (Clinton ni baba yake aliyemlea)

Guess what?

Majina ya Nyerere na Clinton yamevuma kama majina ya marais kwa sababu ya ulezi wa mababa hawa, si kwa sababu ni mababa wa kibaiolojia.
 
Sure, hata mimi namuona mjinga sana. Siwezi kusema huyo mzee kakosea kumuambia ukweli.
Lakini, lazima ujielewe ujue kuna watu wanatamani wangepata watu wa kuwasaidia na kuwatoa katika dimbwi walilomo now, fikiria huyo baba ako mzazi mjinga mjinga unae mtaka angefanga alichowafanyia as huyo mzee alivyowaambia hivi unafikiri hizo international school ungezisoma?? Ungezisikia kwenye bomba tu, wala hiko chuo kikuu pengine usingefika. U just tell your mom, you proud of your father kwa kuwasomesha and taking good care of you, but you hear this and this, is it true??

Sio unauliza kufanana, kufafa hata nyani wamefanana na sio ndugu.
 

Mkuu nenda kamwombe msamaha Mama kwa maswali uliyomuuliza.

fanya kama hujasikia kitu ili maisha yasonge mbele.

Kama huyo mzee amefanya yote hayo huna haja ya kumjua huyo unayemwita biological father kwani kunaweza kuibua matatizo zaidi.
 
hutafuti ukweli, bali unatafuta ujinga usio na maana.

Sio kila kweli ni muhimu.
 
Samahani brother kufukua makaburi maana yako ni ipi hasa? I mean how is it related with digging graves

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Nilimaanisha unajaribu kufungua vitu ambavyo vilishafungwa kitambo. Kama mama hakuamua kukwambia mwenyewe nakushauri brother u better leave it. Hawa wazazi wetu wanahangaika sana kutulea kuna mapresha ndani sisi hatujui. Muache mama bhana usimuhangaishe mkuu
 
You started like a Bang but unfortunately ended it like a whimper it is your advice anyway you are still entitled to your opinions [emoji12]

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Asante Mirajin i really appreciate your contribution

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Asante ndugu nimekuelewa the same case applies to me now and I'm comfortable with it. but it's just the other part of me that pushes me to the limits
 
Anzisha ukoo wako na kabila lako

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Anzisha ukoo wako na kabila lako

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Anzisha ukoo wako na kabila lako

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Sasa wewe Maserati unaniona mjinga kwa lipi labda? Kwani nimesema namdharau mlezi wangu? Mbona i have explained everything in detail!! Mambo ya kusema kunao watu wanatamani wangepata wakuwa somesha inatokea wapi?? Kwa hiyo ni mimi nimeziba nafasi zao au unamaana ipi? This is a no brainer situation, from what i know each and everyone of us have our lives written by THE MOST HIGH before the foundation of the entire universe, point yangu ni kwamba maisha unayo ishi wewe yalijulikana kabla hata hujazaliwa haijalishi umeangukia mikononi kwa nani, hata kama asingekua huyo ambae amekua msaada kwako bado it could not change what the nature has decided for you, Trust me angetokea mtu mwingine ili tu maandiko yatimie.. So don't tell me I'm lucky because it was supposed to be that way and this doesn't change my desire to know who I really am!! Let the nature take place and the nature is God himself [emoji115]
 
hutafuti ukweli, bali unatafuta ujinga usio na maana.

Sio kila kweli ni muhimu.
Go to hell general, it's widely open for you "silence is the best answer" they say... if you have nothing to offer you better give your fingers a break
 
Mthamini sana MTU anaekujali wakati hujitambui,
Elewa utamuumiza sana huyo baba mlezi endapo atagundua kuwa unamtafuta baba yako,

My dear, acha kabisa, hujiulizi kwann Mzee kaamua kunyamaza kimya? Kawalea bila kuwabagua? Ni kwasababu kuwa baba ni zaid ya kumwaga sperms kwenye papuchi

spend less, save more
 
Kwa maelezo yako haya huna budi kumtafuta babaako kwa udi na uvumba na ndio kitu nilichogusia kidogo kwenye ushauri wako .

Pia ni muhimu kupata story ya upande wa pili kwa kuwa hivi sasa hata mamaako ukizungumza nae hawezi kusema positive kuhusu your real father. Lakini ukweli lazima upo tena pengine ukiujua ukweli huo unaweza kumuona mamaako useless kabisa.

Kama babaako halali hakuwa anawatunza wewe na kakaako ilikuwaje mamaako akakubali kubeba mimba ya kakaako tena akarudia akabeba yako pia kama babaako hakuwa mtu makini au asiyejali familia???

Jiulize Pharaoh_2 kwa makini, unawezakuta hata hii story ya kutokuwatunza wewe na kakaako sio ukweli.

Tafuta ukweli utakuweka huru. Wanawake wengi (japo sio wote na sisemi na mamaako yupo hivyo) toka enzi wamekuwa wanawaacha waume zao na kwenda kwa waume wapya kwa sababu ya mali. Unakuta mwanamke akipata mwanaume mpya na mwenye pesa kuliko mumewe anamtafutia sababu ya kumuacha wa zamami. Kuna wengine huenda mbali kwa kuwapiga na kuwabambika kesi na kuwafunga jela ili aishi na mwanaume mpya.

Hivyo seek the truth so as to be free.
 
Umesoma vizuri mkuu? Aliishia kichapo kupelekwa mahakamani na akashindwa kesi kwa sababu hakuwa na mchango wala msaada kwa familia, umeelewa ndugu? Hata mahakama iliona hana mchango.
Unazijua mahakama za Tanzania kwa undani ?? Tanzania hatuna sheria ya kumnyima fatherhood mtoto eti kisa hakumtunza .seek legal advice kwanza kaka.

Ni vema jamaa apate story ya upande wa pili, wanawake wengi wameacha wanaume zao na kwenda kwa wanaume wengine kisa mali.

Kuna wanaume wengine wamanyang'anywa wake zao na kufungwa juu.

Msimdiscourage mtu anayetafuta ukweli bila kujua ukweli wa upande mwingine.
 
1. Naomba ku-subscribe kwenye hii thread. Usiache kuja kutupa mrejesho mkuu

2. Mara nyingi tunapoomba msaada tunakuwa tayari tuna upande wa majibu ambao tunautamani kuusikia. Inapotokea mtu akakujibu tofauti na matarajio yako ni rahisi kukasirika na kuanza kujibu vibaya (hata kama yeye ndiyo kaanza kukutukana).

3. Mwisho wa yote, maamuzi ya mwisho utayafanya wewe na yatakayojiri utayabeba mwenyewe. Hivyo chukua shauri zote kisha ziweke kwenye mizani. Yaani kwa sasa, chukulia kama pande zote mbili ziko sahihi. ondoa jibu ulilonalo kichwani. Tafakari kwa kupima.

4. Baada ya kusoma mabishano ya comments kadhaa ninachelea kutoa maoni yangu ila nikusihi uwe na msimamo wa peke yako. Sikiliza ushauri (hata matusi na maudhi) kisha fanya maamuzi yako binafsi. Muombe sana Mungu (kuna nyakati nimeshindwa kujua kama unaamini mizimu au la) lakini nikusihi kuomba sana juu ya hili. Maadamu ni box lililokwisha kufunguliwa ni ngumu sana kulifunga bila kutaka kujua kilichopo ndani. Kuna nyakati ni baraka na kuna nyakati ni heri kutochungulia..again, unahitaji tafakuri sana.

5. Usipunguze heshima yako kwa baba yako. Umeshajua ukweli, huwezi kuufukia na kujifanya huujui. Usiache kumheshimu na kuendelea kumuita 'baba' hata kama utaamua baadaye kumtafuta na hata ukimpata huyo mwingine.

6. WADADA: Mimi ninalia na dada zangu..mnaona yanayotokea kwa huyu? Basi iwe funzo kwenu. Tutapiga kelele kuwasema vijana wasiojali watoto wao lakini ni vyema mtambue, mwisho wa yote mzigo mkubwa unatua kwenu. Kwenye suala la mimba aisee, jukumu kubwa ni lenu. BE VERY WISE.

Salaam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…