Sijui nisemeje unielewe,lakin hayo ni mapungufu na tunayakubali maana samaki 1 akioza......
*Sina maana ya kujitetea lkn kiuhalisia wakati mwingine munasababisha wenyewe,utakuta binti kaoga na kwakua umemtaman basi unapiga cm ya uongo ili akuone unazo nn unategemea kifuate?
*Umepanga kutoka na msichana huna hela na uwezo wako wa chini unakopa hela ili umpeleke sehemu ya juu nn unamjenga akilin kwake??
*Sawa umasikin wetu unatufanya tupende hela lkn kumbuka kuwa watoto wa kishua ndio wanaongoza sababu hawajazoea maisha ya ajabu (magum)na ili umuoneshe unaweza unajaa maden na lawama.
*kupenda kwetu hela kunategemea kwa mara ya 1 mtu umemuonesha haligani.
Nb;Sijakataa tuhuma hiyo naipokea mana ni wanadam wenye mapungufu.tuoneshen uhalisia wenu ili tiwapende mulivyo.