Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,705
- Thread starter
- #201
umeenda chuo?Hahahh
Inawezekana anakupenda kweli kweli
umeenda chuo?Hahahh
Inawezekana anakupenda kweli kweli
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Wanaume wanaosema wanawake wanapenda pesa wamekutana na wawanawake ambao hawawapendi.
Nipo na kitoto kimoja huu mwaka wa 3. Mtoto ukimpa pesa hataki mpaka mshikane mashati.
Yaani huwa naona Kama anaigiza kwa kweli
Eti mtu anakufata mwenyewe anataka utam ukimkatalia lawama ukimwambia lete pesa iwe ni shida?hata mfanyanje sibadilishi ,, semeni yote ukipata pesa njoo
hapo sasa .. utamu wangu nautoa napo takaEti mtu anakufata mwenyewe anataka utam ukimkatalia lawama ukimwambia lete pesa iwe ni shida?
Mkuu kwani lazima kuwatongoza uhitaji wako ndo unakuponza he waache hafu tuone aje akuombe pesa bila sababuMiss Chagga hapendi pesa ni mashauzi tuu Mkuu.
Lawama nyingine sio kabisa mii sina pesa ningejengea dem hata gholofahapo sasa .. utamu wangu nautoa napo taka
tafuta pesa basi uje unijengee mimi ghorofa ..Lawama nyingine sio kabisa mii sina pesa ningejengea dem hata gholofa
Kupenda pekeake haitoshi sema hana mahitaji na hiyo pesa anajitosheleza mwanaume ni wajibu kumhudumia mwanamkeHahahh
Inawezekana anakupenda kweli kweli
Inna mrembo wangu, nani anakutania humu ndani?Kwa sifa alizozitaja hapo me naona sina
Ha ha haaa nikizipata ubabuni ntakukuta single kwelitafuta pesa basi uje unijengee mimi ghorofa ..
nitakuwa siyo single lakini pia sitakunyimaHa ha haaa nikizipata ubabuni ntakukuta single kweli
Wakujengea nakua mimi ndo niwe mmiliki nikiwa na ham naenda mda wowotenitakuwa siyo single lakini pia sitakunyima
hapana mi ndiyo niwe mmiliki we ukae tu free niwe naileta tuWakujengea nakua mimi ndo niwe mmiliki nikiwa na ham naenda mda wowote
Namaanisha nitambulike mimi kama wengine ndo michepukohapana mi ndiyo niwe mmiliki we ukae tu free niwe naileta tu
haina shida divorce zipoNamaanisha nitambulike mimi kama wengine ndo michepuko
Mmm thambi bhanaa omba tu nikukute na wakodishaji tuhaina shida divorce zipo
group lipo mkuuMmm thambi bhanaa omba tu nikukute na wakodishaji tu
Hafu hivi kale kagroup bada kapo nimtafute vale?
Natamni ile voicegroup lipo mkuu