Sifa za wanawake wanaopenda sana pesa

Sifa za wanawake wanaopenda sana pesa

Ntakuhudumia kwa uwezo wangu kama unaona hutosheki we nipe kibuti tu alaaa
acab8a12f578d00cd2d369fec7b8549c.jpg
Hatari mkuu
 
Kuna mdau mmoja humu, kwenye signature yake alikuwa ameandika hivi, "Japo tunatumia majina feki, lakini mawazo na miandiko yetu inaakisi tabia na hulka zetu"
Nikweli kabisa mkuu
 
kama umegusa ukweli hivi nami nakuunga mkono nilijifunza kwa mdada mmoja tulikutana chuo yeye kaolewa na mimi nimeoa tukawa marafiki mwishowe tukajikuta tuko kwenye mahusiano ya kimapenzi yule dada nilikuwa namsaidia sana kifedha sikujali sana nikawa namchukulia kama mtu wangu wa karibu. sasa ilitokea siku moja tukiwa likizo akaniomba laki moja ana shida nayo na tatizo alilonieleza ni la kifamilia mimi ile siku nilikuwa site mbali na mji sikuweza kuwahi kwenye m pesa kutuma ilipofika siku ya pili akanipigia tukapiga story za kawaida nilivyoona hajakumbusha nikajua mume mwenzangu amesolve. naye hakunikumbusha tena sasa tulivyorudi chuo nikashanga amebadilika nikiomba mzigo sound mnakubaliana muonane mahali hatokei ikawa tofauti kabisa na mwanzo nikaamua kumhoji kwa nini akanijibu kuwa sijisikii mara mume wake kamwekea watu wamfuatilie basi nikamua kupotezea tukasonga mbele siku moja akaamua kunieleza ukweli kuwa ameamua kunipiga chini kisa aliniomba pesa sikumtumia kwa kweli nilijisikia uchungu sana na tokea siku hiyo ndipo nilipoachana na michepuko bora nimthamini mke wangu
 
Hatari Sana mkuu.
Pole Sana mkuu
 
Ndo ujifunze sasa kuwa michepuko cyo mizuri kuwa karibu na familia yako kila kitu kitaenda poa na Mungu lazima awabariki mara nyingi michepuko huleta mikosi na kuharibu familia
 
Well said, japo nimeona wanawake wenye elimu lakini bado ni tegemezi balaa na wabanivu wa kipato chao wanapenda kutumbua pesa za wanaume kwa vigezo kadhaa ikiwemo kile cha "zimejileta zenyewe"
 
WANAUME WA TANZANIA MNAPENDA KULIA KULIA SAANA PALE MNAPOOMBWA PESA NA WAKE ZENU. KAMA HUNA KUBALI TU KUSHARE
 
Habarini Wakubwaaa!!
Hongereni wanawake kwa siku yenu. Tunawapenda Sana kwani ninyi ndio furaha yetu, amani yetu, utulivu wetu. Bila ninyi dunia hatujui ingekuwaje.
Basi baada ya machache hayo nirejee kunako mada.

Siku hizi kumekuwa na ongezeko kubwa la mamilioni ya wanawake wanaopenda Sana pesa kuliko kitu chochote. Jambo hili lilianza Kama mzaha lakini kwa sasa hakuna wakuuzima moto huu

Kupenda pesa sio vibaya Bali kuipenda Sana kiasi kwamba mtu yupo radhi auze utu wake na kuudharau kabisa uanamke wake. Kama hiyo haitoshi wanawake wengi wanaopenda pesa ndio huwa chanzo cha maangamizi katika familia.

Zifuatazo ni sifa bainifu za wanawake wanaopenda Sana pesa;-

1. Huwa na tamaa ya mambo yasiyo ya lazima.
Wanawake wengi wapendao pesa huwa na tamaa ya mambo yasiyo ya lazima, mambo ambayo hayagusi maisha moja kwa moja. Hata nilipokuwa chuo wanawake wengi waliokuwa wanapenda pesa Sana walikuwa na tamaa za kusikitisha ambazo zilipofusha fahamu zao.

Unakuta mwanamke anaomba laki tano kwaajili tuu ya kununua Simu nyingine kubwa wakati akiwa bado na simu mpya.
Katika maisha ni bora uingie jehanam kuliko kukutana na mwanamke mpenda pesa kwani utateseka Sana kwa ajili yake na bado hata ona msaada wako.
Sio rahisi kujenga familia bora na mwanamke mpenda pesa.

2. Wengi hutoka familia masikini.
Wanawake wengi Kama sio wote ambao hupenda pesa kuliko utu wao hutoka familia kame Sana. Ukame wa kiuchumi mpaka kiakili. Wengi wao huweza kutoa hata rushwa ya ngono ili tuu wapate pesa wasijue miili yao inathamani zaidi ya zile karatasi.

Hata humu jukwaani wapo wengi Sana na comments zao zinajulikana.
Wengi huweka matamanio yao hapa jamvini matamanio waliyoyakosa. Mtu ni masikini unandoto za kuwa na mwanaume mwenye pesa nani alikuambia wenye pesa wanataka masikini.

Umasikini wako usikufanye ujidharau au mtu akudharau. Ndio maana wanawake pamoja na mchango wenu katika dunia hii lakini bado mpaka wanyama hawawaheshimu.

Lipo kundi dogo la wanawake wanaojitahidi kutetea thamani ya jinsia yao lakini wengi wao ni wakuonewa huruma tuu.

3. Wengi wao hawana elimu ya kutosha.
Mwanamke aliesoma akaelimika hawezi hangaika na pesa ya mtu. Ndio maana wanawake wachache huhangaika kwajili ya kujitegemea na sio kumtegemea mwanaume.

Wanawake wengi wenye elimu na vipato vizuri huwezi msikie akiongelea pesa Kama kigezo muhimu kwa mwanaume anayemuhitaji awe mume wake. Wengi wa wanawake humu jamvini ambao hujipa matumaini na comments zao za kujiliwaza iwe wanakazi zenye mishahara duni au elimu ndogo sambamba la kutelekezwa na wanaume kwa ukame wao wa akili.

4. Ni wavivu na wasio na mawazo.
Wanawake wote wanaopenda pesa ni wavivu kupita kiasi. Uvivu wao umeanzia akilini kiasi kwamba hawana mawazo ya maendelo. Utakuta mwanamke anawaza mambo mepesi kabisa Kama urembo, nguo, mtoko, n.k.
Wanawake wapenda pesa ni hatari kwa ustawi wa familia.
Huwezi kuwa na familia kubwa ukiingia katika bahari ya viumbe hawa.

5. Hawana shukrani wala uvumilivu.
Wanawake wapenda pesa huwezi msikia akikushukuru zaidi ya kujichekesha tuu na kubinua makalio.

Kwa mfano amekuomba milioni moja then ukampa laki tano basi utamsikia akisema sasa hii nitafanyia nini, au niongezee tena mume wangu huku akikushika kifua au ndevu. Wanawake wenye hekima hushukuru mpaka mwanaume anasikia aibu.

Suala la uvumilivu halipo kwa hawa viumbe. Shida ikitokea ukishindwa kuitatua kwa wakati huo basi hesabu umeliwa. Yaani kwao kukusaliti ni jambo lisilo na mashaka.

Babu aliwahi kunambia;
Usimpe mwanamke pesa yote aombayo.
Wenye wake mmenielewa.

Nawasilisha
ALAFU MWANAUME MWENYE PESA HUWEZI KUSIKIA AKILALAMIKA MKE WAKE AKIMUOMBA PESA, JAMBO LA MSINGI KAMA MKEO ANAPENDA PESA WEWE MFUNGULIE MRADI WOWOTE HATA DUKA ILI AWE NA KIPATO CHAKE
 
WANAUME WA TANZANIA MNAPENDA KULIA KULIA SAANA PALE MNAPOOMBWA PESA NA WAKE ZENU. KAMA HUNA KUBALI TU KUSHARE
Kuombwa sio Shida mkuu ila wapo wanawake wanaopenda Sana pesa kupitiliza.

Huwezijua haya mpaka utakapozaa mtoto wa kiume alafu uone mke wake akizitumbua pesa kwa uharibifu huku akimshitaki mwanao kuwa hampi hela.
 
ALAFU MWANAUME MWENYE PESA HUWEZI KUSIKIA AKILALAMIKA MKE WAKE AKIMUOMBA PESA, JAMBO LA MSINGI KAMA MKEO ANAPENDA PESA WEWE MFUNGULIE MRADI WOWOTE HATA DUKA ILI AWE NA KIPATO CHAKE
Wanawake wanaopenda pesa Sana huwezi mpa mradi ukaendelea mkuu.

Mbona tunawaona hapa mjini.

Kumbuka kuwa nimesema wanaopenda pesa Sana.
Sasa wewe sijui hujaelewa.
 
Huyo wa home anavumilia tu hana jinsi lkn pesa anaipenda na akiipatia nafasi haiachi ng'o.
Mwanamke akipenda pesa haridhiki mkuu.

Huyu wangu nampa laki3 kwa mwezi akichanganya na anazozitafuta zinamtosha kabisa.

Na kipindi cha nyuma nilikuwa simpi hata kumi
 
Mwanamke anayekupenda mizinga kwake ni hapana
Kwanza unaweza ukampa pesa ukashangaa anakwambia iifadhiwe kwa matumizi ya msingi

Hakuna future kwa mwanamke wa vizinga

Wanaume wanaosema wanawake wanapenda pesa wamekutana na wawanawake ambao hawawapendi.

Nipo na kitoto kimoja huu mwaka wa 3. Mtoto ukimpa pesa hataki mpaka mshikane mashati.

Yaani huwa naona Kama anaigiza kwa kweli
 
Back
Top Bottom