Kaza kichwa sasa maana unaonekana unalalamika kwa unachohis kuwa unakijua kumbe holaa
Ushauri wangu ndio huo,nina uhakika ukiuchukua na ukiufanyia kazi utakusaidia maishani ndugu, kwani utakuwezesha kuachana na hizi ishu ndogo ndogo za mtaani zisizo na msingi wowote katika maisha na utaishi maisha poa yasiyo na vikwazo wala misuguano yenye mitazamo hasi kwa jamii fulani.Chukua hiyo kutoka kwangu kwani nahisi ni wachache watakao kupa ushauri kama huu kwani wapo wengi wenye tabia zinazofanana na hizi unazozipigia debe hawataki kukuona ukiishi positive life,Take it from me young man and believe and live with it utafanikiwa.