Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Nimepata maono kuwa kuna mwanakondoo anayeshuhudia,hahaha hizo pande sizijui nilidhani pande za mugumu mpaka fort kuna mixture ya wanyiramba na waikoma..lol
[/QUOTE..kumbeeee!!!
Asante ndugu...Zinatofautiana sana kutokana na malezi yao, elimu yao, mtazamo wao katika maisha ya kila siku ya mwanadamu. Kama umeridhika naye kiasi cha kuamua kufunga pingu za maisha basi weye endelea tu na matayarisho. Kila la heri.
NA huu ndiyo uchugu mtamuwale ni matrilineal. kwa hiyo tabia yao ni kumtawala mwanaume. wao lazima wawe na sauti katika nyumba na familia. mzee lazima uwe chini yake. akikuchoka anakutema kwani yeye ndiye "kakuoa." watoto mliozaa pamoja si wa kwako (japo kidamu ni wa kwako) bali ni wa wajomba (yaani kaka za mkeo huyo). hivyo kukitokea mfarakano na mkeo watoto wanakaa upande wa mama na wajjomba zao. we unabaki peke yako unang'aa macho. ukizeeka usitegemee sana huruma yao kwani zaidi wanamwangalia mama na wajomba zao siyo wewe baba yao wa damu. Kazi kwako mkuu! msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
ahahaha,niko uku tulya,mama wewe uko wapi?karibuni ila uhakikishe unakuja na hela za kutosha za nyama kila siku na ujue kubambeleza pia kama una kibamia usije maana utalia kikwenu mapema tu
Hivi ni kabila gani hapa Tanzania hawavui chupi? Hizi imani potofu zinawapoteza sana .msipende kugenerolaizi tabia kila mtu ana tabia yake.tutajie na wanaume wa kabila gani wanavua chupi sana.mkuu hao watu ni c.h.u.p.i mkononi kama wahaya,warangi,wasambaa na wazaramo.believe it
asante kwa kuweka kumbukumbu sawaHivi ni kabila gani hapa Tanzania hawavui chupi? Hizi imani potofu zinawapoteza sana .msipende kugenerolaizi tabia kila mtu ana tabia yake.tutajie na wanaume wa kabila gani wanavua chupi sana.
Duuuuu,kule kwetu unatakiwa usiwe na wivu kabsaa,yaan hainaga ushemeji,si tunakulanaga tu.Ndugu wana jamvi niwasalimu katika jina la yeye aliyetuumba.Mwenzenu nimeangushia moyo wangu kwa kabinti kamoja cha huko mkoani singida,kutoka kabila la wanyiramba. Sasa kabla sijachukua maamuzi yakwenda kujitambulisha kwao ningependa kujua tabia zao za asili,ili mbeleni niseje anza mwaga machozi mwanaume mimi.
ngoja niwasubiri.[emoji124] [emoji124] [emoji124] wanakuja.
Deal na demu wako sio na kabila la demu wako wewe mlugaluga!Ndugu wana jamvi niwasalimu katika jina la yeye aliyetuumba.Mwenzenu nimeangushia moyo wangu kwa kabinti kamoja cha huko mkoani singida,kutoka kabila la wanyiramba. Sasa kabla sijachukua maamuzi yakwenda kujitambulisha kwao ningependa kujua tabia zao za asili,ili mbeleni niseje anza mwaga machozi mwanaume mimi.