Sifa za wanavyuo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sifa za wanavyuo

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by charminglady, Jun 28, 2012.

 1. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Mbona mnaguna?

  Hizi ndizo sifa zenyewe, sio mimi niliyesema, ila tathmini ndiyo ilivyo, na hao waliofanya hiyo tathmini….
  [TABLE="class: MsoNormalTable"]
  [TR]
  [TD="bgcolor: transparent"][TABLE="class: MsoNormalTable"]
  [TR]
  [TD="bgcolor: transparent"][TABLE="class: MsoNormalTable"]
  [TR]
  [TD="bgcolor: transparent"][TABLE="class: MsoNormalTable"]
  [TR]
  [TD="bgcolor: transparent"][TABLE="class: MsoNormalTable"]
  [TR]
  [TD="bgcolor: transparent"]1. Maskini,waoga na washamba-SUA

  2. Matajiri,wajanja na wenye akili-
  MZUMBE

  3. Wenye akili chache,wavivu na matozi,master duu-
  CBE DAR

  4. Malaya, wasanii,wauza sura na wasio jiweza kiakili-
  IFM

  5. Upeo mdogo,wapenda sifa na watoto wa mama-
  TUMAIN UNIVERSITY

  6. Wazalendo wenye asili ya Arusha na Moshi-
  MUCCOBS

  7. Wapenda ofa duni za serikali-
  TIA

  8. Waliokosa vyuo kabisa-
  RUCCO

  9. Mafundi-
  DIT,ST JOSEPH

  10. Wapenda dezo na wamekosa nafasi UDSM-
  UNIVERSITY OF DODOMA

  11. Wasiojali future-
  SAUT, USTAWI WA JAMII,MWL NYERERE,MAGOGONI,UHAZILI TABORA,CBE DODOMA

  12. wenye uwezo wa kipesa na kiakili but walifeli 4-6-
  IAA

  13. Wanaosoma sana but silent-
  ST JOHN,KCMC,BUGANDO,

  14. Wasiofahamu umuhimu wa elimu-
  CHUO CHA MIPANGO DOM, ZANZIBAR UNIVERSITY ,MORO MUSLIMU,NYUKI TABORA

  15. Wakujitolea na future duni-
  DUCE,MUCE,KIGURUNYEMBE,nk

  16. Wasiojali nchi mamluki-
  ABROAD( UK , USA ....)

  17. Watu wa sifa zote hapo juu za kila aina-
  University of Dar-es-salaam

  Je wewe ulisoma wapi katika vyuo hivyo na unasifa hizo kweli??hahahaahah!!!!
  Good day!
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. D

  DOMA JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  We lazima Mzumbe tu
   
 3. f

  focus ngajimala Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umetisha!
   
 4. h

  handboy Senior Member

  #4
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sikubaliaani na wewe teku nini?
   
 5. f

  focus ngajimala Member

  #5
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  But it's shame on Ruaha university college...aaaaah
   
 6. f

  focus ngajimala Member

  #6
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Teku ni wapenda dini kuliko kusoma.walio kosa vyuo kabisa.maskini as well wenye upeo mdogo wa kufikili,wapo nje ya DUNIA
   
 7. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kuna mtu katumia Id yako kurusha hii sredi nadhani .
   
 8. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Heheheheeeee naona bibie kajilipua lol
  Ngoja akina Mtalingolo na akina nanii waje wammalize na Mwali
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #9
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Ni mimi huyu huyu, kwani vipi? Judgement
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #10
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  13. Bugando, school of pharmacy
   
 11. Kingmairo

  Kingmairo JF-Expert Member

  #11
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 4,977
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Dah! Hapa ni liwalo na liwe....
   
 12. James Jahazi

  James Jahazi Member

  #12
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna wanaoshikilia tasnia ya engineerng bongo na nchi za jirani, akili, matajiri, starehe nyng na kusoma sana - MIST.
   
 13. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #13
  Jun 29, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Mi nilisoma mzumbe" but sina sifa ulizotaja, naona umeamua kukipa shavu chuo chetu cha kijijin mvomero, konda msaada kanisani au niache changarawe....

  Yaani kwa kuhisi charming lady ur still in college, usibishe maneno yako na threads zako tu yanaonesha paye, nssf, skill and development leavy, arrears, per diem, and so on maana ukijua hivyo vitu na thread zako zitabadilika kama senetor..

  Halafu inabid tuweke date ukifunga chuo maana jina lako tu nimetamani kukufaham,
   
 14. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #14
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 1,195
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  IFM hakuna hata sifa moja ulioitaja hapo .... afu charming lady nakutafuta toka asubuhi ulikua wapi?
   
 15. Mshawa

  Mshawa JF-Expert Member

  #15
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 711
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  SUA ndo nini eti? unaumwa wewe kapime... Ikiwa umekula product yoyote itokanayo na mifugo, kilimo, misitu basi ujue SUA wanahusika kwa namna moja au nyingine. either kuongeza dhamani yake au quality assuarence
   
 16. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #16
  Jun 29, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Dah iaa! chuo la ukweli, kama upo ulaya,
   
 17. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #17
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Thank God nilikwenda kusoma chuo kikuu enzi hizo nchi ina university moja tu UDSM with Mwalimu Nyerere (RIP) as chancellor.
  Wakati huo SUA na muhimbili zilikuwa ni campus tu,mzumbe na ifm vilikuwa ni vyuo tu vya kutoa diploma.
  Sasa huu utitiri wa vyuo tutapata kweli quality graduates au ni quantity tu?
   
 18. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #18
  Jun 29, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,125
  Likes Received: 2,186
  Trophy Points: 280
  Upeo mdongo-mdogo tumain???***** ww!!
   
 19. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #19
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  hahahaaa! Kingmairo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #20
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  MKATA KIU yan wala uctamani kukutana na mie. hakika utajutaa kuniona, tafadhali usifikirie kabsaaa kukutana na mimi!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...