CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
SUA ndo nini eti? unaumwa wewe kapime... Ikiwa umekula product yoyote itokanayo na mifugo, kilimo, misitu basi ujue SUA wanahusika kwa namna moja au nyingine. either kuongeza dhamani yake au quality assuarence
Thank God nilikwenda kusoma chuo kikuu enzi hizo nchi ina university moja tu UDSM with Mwalimu Nyerere (RIP) as chancellor.
Wakati huo SUA na muhimbili zilikuwa ni campus tu,mzumbe na ifm vilikuwa ni vyuo tu vya kutoa diploma.
Sasa huu utitiri wa vyuo tutapata kweli quality graduates au ni quantity tu?
hivi kwanini IFM ina sifa mbaya kiasi hicho...ni aibu
Upeo mdongo-mdogo tumain???***** ww!!
Dah iaa! chuo la ukweli, kama upo ulaya,
IFM hakuna hata sifa moja ulioitaja hapo .... afu charming lady nakutafuta toka asubuhi ulikua wapi?
ifm kinaongoza kwa ushoga, cwez kuruhusu mdogo wangu kwa kiume asome hapo
Hahahahaaaa....!!! wewe lazima ni MUCCOBS. mia
charminglady, ushapata kazi!??
Bado ndugu yangu unataka kunipa kazi nini?
Ngoja nikirudi ntakupa mchongo..
Mbona hao mafundi hapo juu umewapa sifa ndogo,hebu ongeza nyingine au unawaogopa? charminglady