Sifa za wanaume weupe

Sifa za wanaume weupe

sio kweli..mie wanangu wana weusi mzuri Mwachi Ruge atasubiri...wana rangi tamu fulan..si weusi si weupe..!sijui ndo brown ile..!acha kbs..macho ya mama yao..kama visungura vile
Weusi usioumiza yaani
 
Mleta mada hii mada ni ubaguzi na ni utoto na ni ajabu kuona africans wanabaguana kwa rangi.
na waliocomment wote inaonyesha wana inferiority complex bila shaka.

Saikolojia ya binadamu mara zote inapoona kitu fulani ambacho kinachukuliwa ni bora na jamii kwa asilimia kubwa lakini yeye kitu hicho hana.
mara zote huishia kuattack hicho kitu ili kionekane au akione kibaya au akichukie ili ajisikie vizuri na kujifariji nafsi yake.
hii ni sign ya mindset changa, utoto, kutojiamini, kutojitambua na inferiority complex ambayo inakuandama hivyo unajaribu kuikataa.

Tabaka la watu wenye asili ya weusi ndio asilimia kubwa wenye hizi tabia na ndio sababu ya matusi na kejeli zote hizi, yote sababu ni inferiority complex na kushindwa kujikubali na kujiamini, kama wewe ni blue au njano basi jikubali ulivyo tu alafu kaa kimya kuliko kutukana wengine na kuwashusha utu ili ujione uko juu. huo ni ujinga uliopitiliza viwango na tabia za kitoto.

mimi naona rangi zote ni sawa na wala sioni rangi nyingine ni bora kuliko nyingine.
Nina asili ya weupe lakini siwezi na sioni sababu ya kumtukana au kumshusha hadhi mtu mwenye asili ya weusi, huo ni utoto kama wa mleta mada.

Kila mtu ajikubali vile alivyo.
kama huwezi kujikubali basi kaa kimya kuliko kutukana wengine ili ujifariji.
 
13.Wanaume weupe walaini walaini
14.Wanaume weupe hawafanyi kazi za kutumia nguvu
15.Wanaume weupe ni mario
16.Wanaume weupe wengi wapo kwa wazazi wao japo wamebalehe
17.Wanaume weupe wanatembea kwa kunata/kuringa ringa kama upande wa pili hukoo.
18.Wanaume weupe wanadeka deka
19.Wanaume weupe wanakaa kwa dada zao walioolewa
20.Wanaume weupe kutwa kujiangalia ktk vioo.


ITAENDELEA.........
wanaume weupe wana tabia za James delicious.
 
Nikiwaangalia Wanyaturu, Wamburu na wanyantuzu napata tabu kuamini hiki ulicho kiandika hapa.
 
Wana msemo wao utaskia kitoto chenyewe cheusi kama baba yake.wanawake hawaeleweki wanapenda nini zaidi ya mkuyenge
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom