Sifa za mchumba wa ukweli

Sifa za mchumba wa ukweli

jobe ayoub

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2012
Posts
203
Reaction score
100
HIZI NI SIFA ZA MCHUMBA WA UKWELI
anayefaa kufikiriwa kuwa mke ni hizi hapa;

1.ANAMPENDA MUNGU(sifa kuu)
2.Hakuchuni sana(huridhika na anachopata)
3.Anakushauri vitu vya future zaidi kuliko present
4.Anasikiliza when you talk na Hanuni ovyo bila sababu
5.Halalamiki hovyo especially kwa vitu vidogo
6.Anakuita baba watoto instead of honey au darling
7.Anaheshimu rafiki na ndugu zako...
8.siku zote mavazi yake ni ya kujiheshimu.
9.hana wivu wa kijinga na hana papara
10.anapenda maendeleo si umbea
 
Jobe ayoub huishiwi uongo. Mchumba atakuitaje baba watoto wakati ni mchumba na si mke wala mzazi au unatangaza uhuni wa kuzaa kabla ya ndoa halafu mnaona baadaye? Sifa ya kwanza nayo umechemsha. Je kama mwenye kutaka kuoa si mcha Mungu kutokana na wacha Mungu walio wengi kuwa matapeli wanaoutumia ucha Mungu kuwaibia wengine? Sifa za mchumba haziwezi kuwa hizo tu bali nyingi tu. Pia zinatofautiana toka mtu hadi mwingine.
Siku zote nitakuudhi mwanangu kwa kuuliza ushahidi au utafiti. Again nauliza hilo tena hasa nikizingatia kuwa thread yako ya wanawake wembamba ulimwaga *****.
 
challenges ni sehemu ya kuimarisha hoja,thanks 4 ur view
 
Watu wanakariri, wengine hawawazi uchumba muda ukiwadia wanajilipua 2, uchumba kitu gani bana!! Kuna watu walikuwa wachumba 4so long then wakamwagana mwishoni, so its nt abt uchumba its abt wat u want and hw u gona get t!
 
Suala la Mchumba/Mke ni suala binafsi na binadamu tulivyo tofauti, tuanapendelea vitu tofauti.
 
Watu wanakariri, wengine hawawazi uchumba muda ukiwadia wanajilipua 2, uchumba kitu gani bana!! Kuna watu walikuwa wachumba 4so long then wakamwagana mwishoni, so its nt abt uchumba its abt wat u want and hw u gona get t!

i salute u madame!
 
Uchumba ni sawa na mpambano tu baina ya wapinzani. MSHINDI MKE TUUUUUUU!!!!!!!! As long as there isnt any marriage band on the fingure IT LOUDLY EXPLAINS THAT THE GUY IS SINGLE AND AVAILABLE FOR TAKING!!!!!!!!! Kazi kwako tu kummiliki.
 
HIZI NI SIFA ZA MCHUMBA WA UKWELI
anayefaa kufikiriwa kuwa mke ni hizi hapa;

1.ANAMPENDA MUNGU(sifa kuu)
2.Hakuchuni sana(huridhika na anachopata)
3.Anakushauri vitu vya future zaidi kuliko present
4.Anasikiliza when you talk na Hanuni ovyo bila sababu
5.Halalamiki hovyo especially kwa vitu vidogo
6.Anakuita baba watoto instead of honey au darling
7.Anaheshimu rafiki na ndugu zako...
8.siku zote mavazi yake ni ya kujiheshimu.
9.hana wivu wa kijinga na hana papara
10.anapenda maendeleo si umbea

Kwa hiyo hapo 6 mchumba mnakuwa na watoto tayari?
 
Watu wanakariri, wengine hawawazi uchumba muda ukiwadia wanajilipua 2, uchumba kitu gani bana!! Kuna watu walikuwa wachumba 4so long then wakamwagana mwishoni, so its nt abt uchumba its abt wat u want and hw u gona get t!

You said.
 
Vigezo vya mchumba kila mtu na vyake, lakini ni nadra sana kumkuta mtu katimiza hata 50% ya vigezo vyote vya mtu alivyojiwekea mfano,

Awe na shape nzuri, sex
Awe na elimu angalau form six siku hizi,
Awe na nidhamu,
Awe dini moja na wewe unayotaka,
Awe anatoka angalau familia ya kati,
Awe anajua kuhandle familia,
Awe na kipato kizuri au awe anajitegemea angalau kwa wastani.
 
hizi ni sifa za mchumba wa ukweli
anayefaa kufikiriwa kuwa mke ni hizi hapa;

1.anampenda mungu(sifa kuu)
2.hakuchuni sana(huridhika na anachopata)
3.anakushauri vitu vya future zaidi kuliko present
4.anasikiliza when you talk na hanuni ovyo bila sababu
5.halalamiki hovyo especially kwa vitu vidogo
6.anakuita baba watoto instead of honey au darling
7.anaheshimu rafiki na ndugu zako...
8.siku zote mavazi yake ni ya kujiheshimu.
9.hana wivu wa kijinga na hana papara
10.anapenda maendeleo si umbea

90% correct
 
Vigezo za mchumba ni kuwa awe na sifa zinazoendana na wewe angalau 70%.Mfano kama wewe kanisani ni kituo cha polisi ukitaka mlokole mtaboana.. na kam wew ni mtu wa outing na pombe kwa sana ulipata mkaa ndani itakuwa balaa.
 
HIZI NI SIFA ZA MCHUMBA WA UKWELI
anayefaa kufikiriwa kuwa mke ni hizi hapa;

1.ANAMPENDA MUNGU(sifa kuu)
2.Hakuchuni sana(huridhika na anachopata)
3.Anakushauri vitu vya future zaidi kuliko present
4.Anasikiliza when you talk na Hanuni ovyo bila sababu
5.Halalamiki hovyo especially kwa vitu vidogo
6.Anakuita baba watoto instead of honey au darling
7.Anaheshimu rafiki na ndugu zako...
8.siku zote mavazi yake ni ya kujiheshimu.
9.hana wivu wa kijinga na hana papara
10.anapenda maendeleo si umbea

Kwa sehemu, naunga mkono hoja!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom