Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 22,681
- 54,504
Yaani mikaka ya siku hizi ๐๐๐๐Uvivu tu wa kulima ๐๐๐
Yaani mikaka ya siku hizi ๐๐๐๐Uvivu tu wa kulima ๐๐๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃHapa tunajiandaa tukafunge sareEwaaah!! Harusi tunayo ๐๐๐
Inapenda kulelewa!!! Inafosi kulala had na rika za mama zao yote uvivu ๐๐๐Yaani mikaka ya siku hizi ๐๐๐๐
Funga sare iwe nzuri sisyโฆ. Mwaka huu lazima da Mau aolewe ๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃHapa tunajiandaa tukafunge sare
1. Awe na kwake (private),
2. Awe na ndinga (Harrier au hata Alphard si mbaya), akuachie uwe dereva wa hiyo gari kupiga nayo misele baada ya kumshusha kazini kwake.
3. Awe na wezere,
4. Awe single Mother,
NB: epuka mashangazi ya mchongo, full mizinga!
Umeongea akili ya Kipumbavu kweli, sijui una miaka 17 nadhani, watu tunawaza namna ya kukuza uchumi ili tuwalee watoto na hao shangazi zako we unawaza kukulewa na shangazi single mother... Shenzi kabisa1. Awe na kwake (private),
2. Awe na ndinga (Harrier au hata Alphard si mbaya), akuachie uwe dereva wa hiyo gari kupiga nayo misele baada ya kumshusha kazini kwake.
3. Awe na wezere,
4. Awe single Mother,
NB: epuka mashangazi ya mchongo, full mizinga!
yeye ni mweupe na anajua kumfatiliza jmelody akiimba๐Halafu na sifa za wewe mario...?
Naona hajui kutofautisha๐apo umesema sifa za sugermammy mwaya
Yaani Kila nikiwaza 5-10 yrs tutakuwa na wanaume wa aina Gani nakosa jibuUmeongea akili ya Kipumbavu kweli, sijui una miaka 17 nadhani, watu tunawaza namna ya kukuza uchumi ili tuwalee watoto na hao shangazi zako we unawaza kukulewa na shangazi single mother... Shenzi kabisa
๐๐๐๐Naona hajui kutofautisha
Winga ktk ubora wake๐ ๐ ๐Haswaaah!! La kwendea lina bonge la wowowo, si eti wizo.? BICHWA KOMWE - ๐คฃ๐คฃ
Tatizo ๐ ๐ Omulasil๐คธ Pm tukiwaomba pesa mnakuja kututangaza tatizo ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃMaendeleo tutayasikia kwa mabeberu tu kama akili zenyewe ndo hizi
Matoto ya sasa majinga sanaYaani Kila nikiwaza 5-10 yrs tutakuwa na wanaume wa aina Gani nakosa jibu
Maana ndo akili za hivi jmn
Huyo ndo maua๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃHv maua umeandika nini
Kazi kwel kwelHuyo ndo maua๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Acha tyuuWinga ktk ubora wake๐ ๐ ๐