kiumbempole
JF-Expert Member
- Jan 15, 2016
- 552
- 907
17. Ha-exist1. Anajitambua
2. Mpole
3. Ana busara
4. Ni mtoaji sio mchoyo tena bila kuomba
5. Ana tafuta solution tu pindi akikukwaza
6. Hayuko tayari ku kupoteza
7. Ana risk kila kitu kwaajili yako
8. Ana huruma
9. Anakufanyia suprise often just kukufanya uwe na furaha
10. Ana kusifia very often
11. Anakua open na kueleza mipango yake
12. Anakua na wewe kwenye shida na raha
13. Anakuambia nakupe very often
14. Anawajulia hali familia yako
15. Sio mtu wa kununa wala kukasirika ovyo
16. Ni mpambanaji na anajitegemea
Na zingine malizieni.