Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 890
- 2,203
- Thread starter
- #141
sure..hata humu yupo...Kuna wakaka wana hizo zoteeeee!😂
17. Hatumagi ya kutolea1. Anajitambua
2. Mpole
3. Ana busara
4. Ni mtoaji sio mchoyo tena bila kuomba
5. Ana tafuta solution tu pindi akikukwaza
6. Hayuko tayari ku kupoteza
7. Ana risk kila kitu kwaajili yako
8. Ana huruma
9. Anakufanyia suprise often just kukufanya uwe na furaha
10. Ana kusifia very often
11. Anakua open na kueleza mipango yake
12. Anakua na wewe kwenye shida na raha
13. Anakuambia nakupe very often
14. Anawajulia hali familia yako
15. Sio mtu wa kununa wala kukasirika ovyo
16. Ni mpambanaji na anajitegemea
Na zingine malizieni.
kuna mijanaume inapenda kuteleza tu daily🚮😤
😂😂😂😂very often🙌🙌🙌Eti "anakufanyia surprise very often"...😃😃😃😃😃
Ma tamthilia ya kituruki na kikorea yamewajaa vichwani.....
Mtaishia kupata "bongo movie"mkiendekeza hizo tamthilia 😃😃😃
😂😂😂😂
Wee,kwahiyo harusi lini? Nisichelewe mie💆Niko hapa ninazo 4 na 7
Hivi ee,ngoja nivumilie basAnazo anafanya kusudi.....kuna ķitu anataka aku shape kupitia kujifanyisha huko
😂kwanza sifa nazotaka hata nyingine hazipo hapo....Ni kweli ila toka mwaka umeanza umekutana na mwanaume mwenye sifa hata 5 kati ya hizo zilizotajwa. Na kama yupo basi hajagi kwenye vikao vyetu
Safi kabisa kweli vipo vya msingi ila nadhani unaelewa haya mambo ni pande mbili ndio maana wanasema penda nikupende heshimu nikuheshimu.😂kwanza sifa nazotaka hata nyingine hazipo hapo....
Aliyoandika hapo mengine ya kufikirika,we r human!
Ila vipo vya msingi
sema vizuri acha udomozege🤣unanifanya niwe chiiizeee 😂
Yes ,love is two way traffic!Safi kabisa kweli vipo vya msingi ila nadhani unaelewa haya mambo ni pande mbili ndio maana wanasema penda nikupende heshimu nikuheshimu.
Sasa kama upande mmoja utatoa yalio mema alafu uapnde mwingine ngoma iwe ngumu lazima mtalalamika HM anazingua
miaki mia saba uzuri tunawafahamu kama kina wema tu ujanja wao wote wameisha kuruka ruka kijichi ya mbagala itakua nyinyi ambao ata kingireza cha kuombea maji tu kinawashinda kazi kuomba omba hela za kufanyia vitu vya kijingaAta na sisi wanawake siku hizi tunawakimbilia nchi za nje tumewachaa nyie wanaume mnaowadangia wanawake na wake za watu maana siku hizi nyie wanaume hamuwezi kufanya kazi mbasubiri kuolewa![]()
Mwakani shauri yakoWee,kwahiyo harusi lini? Nisichelewe mie💆
17. Ha-exist1. Anajitambua
2. Mpole
3. Ana busara
4. Ni mtoaji sio mchoyo tena bila kuomba
5. Ana tafuta solution tu pindi akikukwaza
6. Hayuko tayari ku kupoteza
7. Ana risk kila kitu kwaajili yako
8. Ana huruma
9. Anakufanyia suprise often just kukufanya uwe na furaha
10. Ana kusifia very often
11. Anakua open na kueleza mipango yake
12. Anakua na wewe kwenye shida na raha
13. Anakuambia nakupe very often
14. Anawajulia hali familia yako
15. Sio mtu wa kununa wala kukasirika ovyo
16. Ni mpambanaji na anajitegemea
Na zingine malizieni.
Jamani jaman...this tunaita a golden chance😘Mwakani shauri yako