Sifa za husband material

miaki mia saba uzuri tunawafahamu kama kina wema tu ujanja wao wote wameisha kuruka ruka kijichi ya mbagala itakua nyinyi ambao ata kingireza cha kuombea maji tu kinawashinda kazi kuomba omba hela za kufanyia vitu vya kijinga

Yani umeandika kwa hasira [emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona dawa imeingia
And for the correct I have a job and am independent ila I have a man who is very responsible and he takes good care of me , a real man
 
Eti "anakufanyia surprise very often"...[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Ma tamthilia ya kituruki na kikorea yamewajaa vichwani.....

Mtaishia kupata "bongo movie"mkiendekeza hizo tamthilia [emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mpka tuseme aisee
 
Women need
Care
Attention
Support
Honesty

But if you do not have enough time to do all the things, you have to join all the first letters together and give it to her you're nearly 99.999% to make her feeling happy.

Kuna sehemu niliikuta hii😅😅 sijui ni kweli?



MAGUFULI4LIFE.
 
Aisee utazurura Dunia nzima Lakini lamer hutokuja kupata mwanaume mwenye sifa zote hizo.

Niko palee 👉
 
Aisee utazurura Dunia nzima Lakini lamer hutokuja kupata mwanaume mwenye sifa zote hizo.

Niko palee [emoji117]

Endelea kukaa tu na ukichoka chuchumaa
Wapo sanaa wanaume wa ivo duniani binadamu ni wengi na wapo sanaa wa ivyo
Explore the world dear
 

Ndio cash ni msingi ww kama mwanaume utaendeshaje familia bila cash Ndio maana mnatoa mahari mkitaka kuoa ni mfano pia wa kuona kama huyu anazo Au hana????[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizo sifa wanaume wote tunakuwa nazo kabla ya kuoa,ila tukishaoa tu zinaanza kupungua.....
 
Hivi Hayo ni ma roboti anayotangaza elon musk au wakina sisi tulipo mtaani mana naona ni wanaume 16 tofauti kwenye mwili mmoja[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wala sio wakina nyie kuna aisha
Hao ni wanaume wenyewe wanajielewa ambao kila mwanamke ni ndoto yake kuwa nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…