1. Anajitambua 2. Mpole 3. Ana busara 4. Ni mtoaji sio mchoyo tena bila kuomba 5. Ana tafuta solution tu pindi akikukwaza 6. Hayuko tayari ku kupoteza 7. Ana risk kila kitu kwaajili yako 8. Ana huruma 9. Anakufanyia suprise often just kukufanya uwe na furaha 10. Ana kusifia very often 11. Anakua open na kueleza mipango yake 12. Anakua na wewe kwenye shida na raha 13. Anakuambia nakupe very often 14. Anawajulia hali familia yako 15. Sio mtu wa kununa wala kukasirika ovyo 16. Ni mpambanaji na anajitegemea Na zingine malizieni.
Hapo ni wanaume 16 umewatajaNi mwanaume moja tu anaijitambua
Ninazo zote boss ningesema unatutafuta wanaume ambao sichini ya 10 hapo hata me ningekuwa included ila nilisema unawatafta 😀😀😀Inaelekea huna sifa hata moja cr wa familia
Haikuhusu
Sifa zote hizo mtu mmoja? kama wapo hongera zao, i need one...
Dada Ukimpata wa sifa zote hizo katoe sadaka asee huyo sio wa kawaida!
Hongera sana mamy!Nimempata dear
Na namshukuru sana Mungu maana
Acha kutukatia tamaa mbona tumejaa tele tu ni vile hamna macha ya rohoni ndomaana hamuoni.
Hongera sana mamy!
Acha kutukatia tamaa mbona tumejaa tele tu ni vile hamna macha ya rohoni ndomaana hamuoni.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Tupo bhn hapa bongo ni vile hatupokelewi kama tulivyo.
Tatizo huwa mnahitaji wanaume wenye sifa wakati nyie hamna sifa hata moja ,1. Anajitambua
2. Mpole
3. Ana busara
4. Ni mtoaji sio mchoyo tena bila kuomba
5. Ana tafuta solution tu pindi akikukwaza
6. Hayuko tayari ku kupoteza
7. Ana risk kila kitu kwaajili yako
8. Ana huruma
9. Anakufanyia suprise often just kukufanya uwe na furaha
10. Ana kusifia very often
11. Anakua open na kueleza mipango yake
12. Anakua na wewe kwenye shida na raha
13. Anakuambia nakupe very often
14. Anawajulia hali familia yako
15. Sio mtu wa kununa wala kukasirika ovyo
16. Ni mpambanaji na anajitegemea
Na zingine malizieni.
🤣🤣Hongera sana mamy!
Naona unaongelea watu wa kwenye movies au vitabu vya stories.1. Anajitambua
2. Mpole
3. Ana busara
4. Ni mtoaji sio mchoyo tena bila kuomba
5. Ana tafuta solution tu pindi akikukwaza
6. Hayuko tayari ku kupoteza
7. Ana risk kila kitu kwaajili yako
8. Ana huruma
9. Anakufanyia suprise often just kukufanya uwe na furaha
10. Ana kusifia very often
11. Anakua open na kueleza mipango yake
12. Anakua na wewe kwenye shida na raha
13. Anakuambia nakupe very often
14. Anawajulia hali familia yako
15. Sio mtu wa kununa wala kukasirika ovyo
16. Ni mpambanaji na anajitegemea
Na zingine malizieni.
Ni kama hawahitaji awepo humu, kosa lenyewe sasa. Btw ni ban ya siku 4Naona mama la mama Lamomy kapigwa pin amefanyeje hawa modisi watamtoa roho doh!
Hapo ukute kuna waliomripot! Bora na ile iishe tu awe huru!Ni kama hawahitaji awepo humu, kosa lenyewe sasa. Btw ni ban ya siku 4
Namuambia tu apunguze matumizi ya jf, hate kwa sasa inazidi kuwa juuHapo ukute kuna waliomripot! Bora na ile iishe tu awe huru!