Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 13,015
- 27,117
Hilo ni pepo mim nina starehe zingine siwezi.Siku ukijaribu utaelewa, wenzenu wanatupigia hadi simu tuwafanyie hizo mambo pendwa wameshakuwa addicted na huo utamu
Mim ningekua wa kufanya huo ushenzi ningeufanya sana nashukuru Mungu sipendi wala siwez kutamani huo ujinga