Ni vema kujuzana, tusipende kutukana kila mada, aliyeuliza ana mahitaji ya msingi.
Ukweli ni kwamba hawa watu majibu aliyoyatoa fakikuge ndiyo hasa. Hawa watu ni shemeji zangu kwahiyo ninwafahamu san nimefikia hata kuishi nao.
Wazembe sana wa kufikiri, wanaaibu iliyopitiliza, hawajiamini kabisa naamini ni kutokana na malezi ya singida kuwa ya pembezoni sana, elewa kwamba singida ndo mkoa maskini sana tanzania hata wilaya maskini ziko huko.
Wanapofanikiwa hawawajali waliowatoa(ipo mifano hai) wanaweza kuacha wanandoa wenzao pia... Be carefull on this. Ila wanajua kupenda, sio wanafiki, ni wakarimu ila waweza kupandisha mori kama wamasai endapo utawaudhi. Otherwise they are goodmens. Ila dada zao............vichech...... Kawema se... Se...... Sep....t