Sifa ya kabila la Wanyaturu wanaume

Sifa ya kabila la Wanyaturu wanaume

Lady G

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2010
Posts
515
Reaction score
131
habari zenyu bhaana. Najua haina majotroo, nina mdg wangu amepata mchumba wa kinya2ru, ameniuliza kama najua sifa zao bahti mbya sizifahamu. Msaada tafadhali wa ndugu kama kunawanaozifahamu. Thanx indeed
 
najua sifa za wasichana wa kinyaturu lakini huenda huyo akawa na tabia binafsi kwani mara nyingi tabia huwa ni za mtu binafsi.
 
wana mijengeo ya haja so dogo wako ataufaudu barabara hahaha
 
si ndio hawa tunalalamikia kila siku humu wakiwa majumbani wanafanya kazi? aahhh kila mtu na tabia yake siku hizi, utashangaa kabila lililoonekana chakaramu kuliko yote liko fresh na lile mlioliona limetulia ndio wameibukia sasa hivi, mwambie aangalie quality zake mengine ni ya kawaida kila kabila yapo
 
Nadhani hii sasa imekuwa njia ya kutaka kujua makabila ya watu indirectly!
 
tazama watani wao then oanisha na kabila husika, utajua kwa ujumla kabila hilo ni watu wa aina gani past and present
 
Wengi wao ni wavivu wa kufikiri na hawana akili changamfu yaani hawana vision ya maisha ila wengi huwa ni wataratibu.

NB: Siku hizi kutokana na kujichanganya na watu mbalimbali na shule pamoja vyuo watu wanabadilika na zaidi sana tabia ni ya mtu binafsi zaidi kuliko kabila cha mwisho yeye mwenyewe ampime kama anafaa kuwa mume bora wa maisha yote
 
mwanamke ni mwanamke,unapokutana na mwanmke njiai au mahali popote unaona mwanamke na nadani unaanza kumpigia mahesabu hata hujui anaitwa nani?ana elimu gani?anafanya kazi gani?cha kwanza unachofikiri ni hicho tu...ndiyo hicho hicho.mengine baadae na hutakaa uyabadilishe.kwa hiyo pata quality zako zaa watoto ndiyo muhimu mengine acha.Wauulize waliokutangulia
 
Wengi wao ni wavivu wa kufikiri na hawana akili changamfu yaani hawana vision ya maisha ila wengi huwa ni wataratibu.<br />
<br />
NB: Siku hizi kutokana na kujichanganya na watu mbalimbali na shule pamoja vyuo watu wanabadilika na zaidi sana tabia ni ya mtu binafsi zaidi kuliko kabila cha mwisho yeye mwenyewe ampime kama anafaa kuwa mume bora wa maisha yote
<br />
<br />
 
mchangamfu ana vision ya maisha kwenye shughuli gogo tu,unainjoy nini na mafanikio yako kwenye shughuli yupo yupo tu,no body is perfect anazaa hazai?wacha maneno hayo baana
 
wanyaturu ni kama wanyiramba,warangi,burbeg,mang'ati, wote sawa ni layzlayz wamepooza sana haraf kama wachina awaoti ndevu cjui wanakulaga nn?
 
du hii analysis ya simba d kiboko!ndevu gharama mkuu!kila mara saloon kuchongesha ma O!
 
Back
Top Bottom