mwaki pesile
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 340
- 487
chui huyo anapatikana america tuKumbuka kuna aina fulani ya chuo, mamba ndo chakula chake. Ana mdaka tu kama wewe unavyomdaka kuku, hata akiwa kwenye maji anamfuata huko.
hujaeleza aina za mamba zipo ngapi na uwezo wao.Wale msiomjua vizuri Mnyama Mamba mkuje
Kwenye maji nyangumi hatari kuliko kiboko.kwenye maji KIBOKO ni hatari kuliko mamba
ardhini SIMBA ni hatari kuliko mamba
Wale mamba wadogo wa kule America kusini?,hawa wa Africa sidhani kama atathubutu...!
!
Mamba Mchumba Tu Kwa Jaguar. Anafatwa Huko Huko Mtoni Anakamatwa Anavutwa Nje Analiwa Vizuri Tu Bila Shida Yoyote Mkuu. Hawezi Kuwa Mfalme Fala Hivyo.
!
!
Mamba Mchumba Tu Kwa Jaguar. Anafatwa Huko Huko Mtoni Anakamatwa Anavutwa Nje Analiwa Vizuri Tu Bila Shida Yoyote Mkuu. Hawezi Kuwa Mfalme Fala Hivyo.
ChatuNa yeye ni chakula kwa mnyama gani?
Mkuu kunatofauti kati ya ukubwa na ukali!kwenye maji KIBOKO ni hatari kuliko mamba
ardhini SIMBA ni hatari kuliko mamba
Mara nyingi mamba anayefanya hivyo anakuwa ametumwa au anafuatiliwa na watu baada ya kuwa amechukua mtuKuna stori za kusadikika, kuwa mamba akinasa mawindo yake (hasa binadamu) huzama naye lakini kabla ya kutokomea humwinua juu ‘mateka’ huyo eti ili kuaga (heshima ya mwisho).... hili likoje mwalimu Kashasha..?
Na akiwa na jeraha lolote mwilini mwake hawezi kuingia kwenye maji mpaka atakapoponaKwenye macho ndio sehemu laini mno katika mwili wake na tumboni
Ni kweli nchi kavu sio mbabe sana ila ni mviziaji sana anapoona windo lake na akishalikamata hurudi majini haraka kwa kuwa ufalme wake mkubwa upo majini