Sifa kuu za Mnyama Mamba: Mfalme wa Majini na nchi Kavu,

Zambotti

Zambotti

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2016
Messages
1,105
Points
2,000
Zambotti

Zambotti

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2016
1,105 2,000
Huyu bwana mara yangu ya kwanza kukutana nae ilikuwa bagamoyo tulienda study tour, aisee ni mkubwa mno. Kuna huyo ambaye ana umri wa miaka 50 mpaka mgongoni amechakaa
 
Kilawo

Kilawo

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Messages
438
Points
500
Kilawo

Kilawo

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2016
438 500
Nasikia nyongo yake ,ni sumu kali sana!inaweza kuuwa ata kijj kizima?
Code:
[IMG][/IMG]
 
Michibo

Michibo

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Messages
646
Points
1,000
Michibo

Michibo

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2015
646 1,000
Kule UK kwao kina Musiba, mamba ‘hutumwa’ na ‘wataalamu’ ili kumkamata ‘Mwembe’ na kumsafirisha akiwa hai.... kuna ukweli wowote kuhusu hili (kwa mujibu wa utafiti wako) au hii na mada ya upande mwingine..?
 
TEAM VIBAJAJI

TEAM VIBAJAJI

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2016
Messages
1,703
Points
2,000
TEAM VIBAJAJI

TEAM VIBAJAJI

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2016
1,703 2,000
Sie kwetu mamba tunamtumia kama kiti.....maarufu kwa jina la bhulalo
 
General Galadudu

General Galadudu

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2015
Messages
1,656
Points
2,000
General Galadudu

General Galadudu

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2015
1,656 2,000
Kwenye sifa zake pale naona namba 6 na 11 ni kitu kile kile
 
ki2c

ki2c

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2016
Messages
1,954
Points
2,000
ki2c

ki2c

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2016
1,954 2,000
Huyu mnyama ni katili, kwa maelezo zaidi nenda sehemy zilizopita mto ruvu kama ,ngombezi korogwe ,utapata shuhuda zake
Anawaua sana wakazi wa sehemu hizo,hasa hapa Old Korogwe ambako mto Ruvu umepita,wananchi wa hapa wanaliwa haswaa.
 
Chamoto

Chamoto

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2007
Messages
4,082
Points
2,000
Chamoto

Chamoto

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2007
4,082 2,000
!
!
Mamba Mchumba Tu Kwa Jaguar. Anafatwa Huko Huko Mtoni Anakamatwa Anavutwa Nje Analiwa Vizuri Tu Bila Shida Yoyote Mkuu. Hawezi Kuwa Mfalme Fala Hivyo.
Ni kwasababu anamvunja fuvu na kufa hapo hapo.
Mjue Mnyama Mamba kwa undani wake
Umesahau sifa moja kubwa ya mamba ya kujiviringisha ili kuuwa kitoweo (death roll).
 

Forum statistics

Threads 1,316,112
Members 505,494
Posts 31,879,391
Top