Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,705
- 4,739
Mamba wapo wa maji chumvi na maji baridi. Mamba mkubwa zaidi ni wa maji chumvi ila mamba katiri zaidi ni wa maji baridi..nile crocodile ni katili kuliko mamba wengine...hawa ni wale wa mkondo wa mto nile na maji baridi anzia ziwa Victoria na visimbiti vyake wote jumlisha na wakule Zambia.....
Mamba wa maji chumvi ndio mrefu, mzito zaidi kufikia 1000kg,...vs Nile Crocodile ambae hufikia 550kg kama ni dume la mbegu, ila speed yake ni kubwa sana kuliko wa maji chumvi na huyu nile crocodile hugonga miaka 50 hadi 70 ila yule wa majichumvi hupiga years.