Sifa 10 mabasi mapya ya shabiby, Dar-Tanga

Sifa 10 mabasi mapya ya shabiby, Dar-Tanga

Hizi yutong au zongtong unaweza pachika injini ya scania ,inawezekana ilo? Je Yutonga anakubali uachr kutumia injini yakr uchague ya kampuni nyingine,au mtengnezaji wa mabodi ya yutong hatrngenezi na injini yake? Naomba ufafanuzi.
Kampuni zote za mabus iwe ni irzar, Marco polo, yutong nk hawaundi injini bali utumia za kampuni zao.
Mabus na malori ya kichina utumia engine za cumin,weichai.
Ukitaka unaweza kule kule kiwandani unanunua injini na gearbox za scania wanakufungia au unaagiza body tu unakuja kufunga mwenyewe bongo.
Hata bongo zipo kampuni uagiza body tu za Marco polo au irzar kisha unavisha kwenye chasis.
Hata mchina body ikichoka unaagiza body tu unavua ya zamani unavisha body mpya unaendeleza game biashara ni mashindano bongo
 
Tanga imevamiwa
1.Abood
2.Blatus makundi (BM)
3.Shabiby
Kuna nini Tanga mbona wote mmeanza ruti mpya
SGR imewakimbiza Dar-Moro-Dom. Why safari ya 3hrs inilaze njiani 9hrs?
 
SGR imewakimbiza Dar-Moro-Dom. Why safari ya 3hrs inilaze njiani 9hrs?
Sio kama unavyowaza kuipata SGR itakulazimu ukate tiketi siku 5 nyuma,huwezi pata tiketi ya leo leo,pengije SGR waongeze ruti lasivyo bado sio tishio kwa wenye mabus.
 
Back
Top Bottom