Sifa 10 mabasi mapya ya shabiby, Dar-Tanga

1. Kila siti kwenye basi itamruhusu abiria kuweza kunyoosha miguu mbele kwa nafasi. Hivyo kuifanya damu itembee vizuri mwilini. Kwa hiyo hakuna abiria atakayefika mwisho wa safari na kulalamika miguu kuvimba au maumivu ya kiuno.
Imagine watu wanatoka Karagwe, Tarime, Kigoma, Katavi, Sumbawanga, Songea nk hadi Dar damu imesimama, duh maisha haya!!
 
2. Kila abiria ata kontroo runinga yake mwenyewe ambayo ipo mbele ya siti yake bila kuingiliwa na jirani yake huku akitumia 'earphone' yake.
Abood umesikia mwenzako huku? Tabia ya maspika yenye kelele na usumbufu yamepitwa na wakati siku hizi kila mtu anapaswa kula starehe yake kwa privacy
 
Zimebaki wiki mbili kufikia Mei ambapo mabasi mapya ya Shabiby Line yataanza safari mpya toka Dar kwenda Tanga na toka Tanga kwenda Dar.
'Mashine' hizo za kisasa zipo Bandari ya Dar zikikamilishiwa utaratibu tayari kwa kuanza safari huku wananchi wakisubiri kwa hamu kubwa ruti hiyo mpya.
Kwa mwonekano wake mzuri, mabasi hayo yana sifa 10 kuliko mabasi mengine yanayopita njia hiyo.
1. Kila siti kwenye basi itamruhusu abiria kuweza kunyoosha miguu mbele kwa nafasi. Hivyo kuifanya damu itembee vizuri mwilini. Kwa hiyo hakuna abiria atakayefika mwisho wa safari na kulalamika miguu kuvimba au maumivu ya kiuno.
2. Kila abiria ata kontroo runinga yake mwenyewe ambayo ipo mbele ya siti yake bila kuingiliwa na jirani yake huku akitumia 'earphone' yake.
3. Kila abiria atakuwa huru kukontroo AC (Air Condition) eneo lake bila kumkera jirani yake.
4. Kila siti ina socket (tundu) za kuchajia simu.
5. Keria za ndani ya basi ni kubwa ambazo zinaweza kuingiza mabegi yenye eneo kubwa bila kubanana wala mikanda ya mabegi kuning'inia.
5. Buti za mizigo za chini zimetengenezwa kwa mazingira ya kudhibiti vumbi kuingia (sealed). Hivyo, mizigo ya abiria kufika mwisho katika ubora na usafi wake kama ilivyokuwa kabla ya kupakizwa.
6. Kila basi litaondoka muda sahihi ambao utaandikwa kwenye tiketi ya abiria ya kielektroniki.
Kwa sasa kuna mabasi yanapitisha muda wa kuongea hadi saa moja toka muda uliyoandikwa kwenye tiketi husika.
7. Basi linapokuwa safarini si rahisi abiria kujua linatembea kwa sababu sauti ya Injini haingii ndani ya basi mpaka abiria aangalie nje ndipo ajue linatembea. Hii ni kutokana na ubora wa gari lenyewe toka kiwandani.
8. Kila basi lina busati (mazulia) safi ambalo limetandikwa kuanzia mwanzo hadi mwisho. Lengo ni kumfanya abiria ajisikie yupo sehemu salama na sahihi.
9. Mabasi ya Shabiby yatakapokuwa yanaingia hotelini ili abiria ajihudumie kwa chakula na kunyoosha miguu, kama ikitangazwa ni dakika 10 zitatumika basi kweli ni dakika 10. Hakuna abiria atakayenusurika kuachwa au kuachwa eti kwa sababu basi limeondoka hotelini kabla ya dakika 10 kwisha.
10. Kila basi lina sehemu maalum ya kujisitiri abiria likiwa njiani.
Hamna picha?umelipwa kumtangazia?
 
Safi,sasa nauli ndio itakuwa mtiti
 
Tanga nilipaelewa sana nilipofika kwa mara ya kwanza!
 
Naikubali sana kampuni ya shabiby shida yao ni uhimilivu wa ruti ndo tatizo, Huwa ana tabia ya kukimbia ruti baada tu ya muda mfupi sitashangaa asipodumu kwenye hiyo ruti zaidi ya miezi 6
 
"Madhara" ya SGR. Basi nyingi kuliko routes. Sasa itakapofika Mwanza itakuwa balaa. Wenye mabasi waanze kutafuta biashara mbadala.

Sielewi mantiki ya kuanza kujenga kipande cha pili cha SGR Mwanza-Isaka badala ya kuendelezea kutoka Makutopora - Tabora. Wakimaliza kipande hicho hakitaanza kuzalisha hela kwani hakijaungana na cha kutoka Dar.
Makutupora tabora kazi inaendelea bro
 
Abood umesikia mwenzako huku? Tabia ya maspika yenye kelele na usumbufu yamepitwa na wakati siku hizi kila mtu anapaswa kula starehe yake kwa privacy

Unajua uendeshaji wa Biashara kila mtu hulenga soko lake;
Hayo mabasi tarajiwa yamelenga soko la juu (daraja la kwanza). Inaonekana Abood yeye analenga soko la kati.
Sasa Ukikuta nauli ya shs 22,000 kwa 28,000 utachagua mwenyewe basi kulingana na mfuko wako
 
Naikubali sana kampuni ya shabiby shida yao ni uhimilivu wa ruti ndo tatizo, Huwa ana tabia ya kukimbia ruti baada tu ya muda mfupi sitashangaa asipodumu kwenye hiyo ruti zaidi ya miezi 6
Ila kwenye kusafilisha vifurushi na mizigo wana chaji bei kubwa sana wale wafanyakazi wa Shabiby ,matokeo yake wamekimbiwa na wateja, wamekimbilia kwa ABC.
Abiria wa Tanga wanasafiri sana na mizigo kama wataendelea na kuweka mibei ya ajabu hiyo ruti itamshinda.
 
ABC ni the best kwa usafirishaji.... 🥰😜
 
Attachments

  • aboutabc.png
    aboutabc.png
    588.5 KB · Views: 17
Tanga imevamiwa
1.Abood
2.Blatus makundi (BM)
3.Shabiby
Kuna nini Tanga mbona wote mmeanza ruti mpya
Ata mie najiuliza.....tanga kumechangamka sana kuna shughuli gani huko. Au wadada wa utam wanapiga shanting
 
Back
Top Bottom