Swali zuriNauli zikoje?
Mkuu route alizonazo Abood zinao wateja watakaoweza kulipa, nilishangaa kusikia kuna baadhi ya wafanyabiashara huwa wanakodi Taxi Moro to DarUnajua uendeshaji wa Biashara kila mtu hulenga soko lake;
Hayo mabasi tarajiwa yamelenga soko la juu (daraja la kwanza). Inaonekana Abood yeye analenga soko la kati.
Sasa Ukikuta nauli ya shs 22,000 kwa 28,000 utachagua mwenyewe basi kulingana na mfuko wako
Hata sijui ila nenda fanya kama unaenda Tanga usipokutana na ugomvi wa konda na abiria wake kuhusu mtoto alipe au asilipe basi nipigwe ban ya wiki mbiliWanazaa sana huko au🤣😋🤣😋
ABC akipeleka Tanga na Arusha bus zake atawaua wote hao ,jamaa ni kweli msafilishaji mzuri sana na kawateka abiria na anajua kutoa huduma nzuri sana kwa abiria.ABC ni the best kwa usafirishaji.... 🥰😜
Hawataachwa washindane na ATCNi wakati sasa hawa matajiri wetu wafikirie kununua ndege kutoka china e.g. comac 90 ambayo inauzwa rahisi tu. Abiria tumechoka na ajali za mabasi yenu .
namba 10 ni kila kitu kama kwenye ndege au nusu nusu tu pamoja na kwamba upo ardhini.Zimebaki wiki mbili kufikia Mei ambapo mabasi mapya ya Shabiby Line yataanza safari mpya toka Dar kwenda Tanga na toka Tanga kwenda Dar.
'Mashine' hizo za kisasa zipo Bandari ya Dar zikikamilishiwa utaratibu tayari kwa kuanza safari huku wananchi wakisubiri kwa hamu kubwa ruti hiyo mpya.
Kwa mwonekano wake mzuri, mabasi hayo yana sifa 10 kuliko mabasi mengine yanayopita njia hiyo.
1. Kila siti kwenye basi itamruhusu abiria kuweza kunyoosha miguu mbele kwa nafasi. Hivyo kuifanya damu itembee vizuri mwilini. Kwa hiyo hakuna abiria atakayefika mwisho wa safari na kulalamika miguu kuvimba au maumivu ya kiuno.
2. Kila abiria ata kontroo runinga yake mwenyewe ambayo ipo mbele ya siti yake bila kuingiliwa na jirani yake huku akitumia 'earphone' yake.
3. Kila abiria atakuwa huru kukontroo AC (Air Condition) eneo lake bila kumkera jirani yake.
4. Kila siti ina socket (tundu) za kuchajia simu.
5. Keria za ndani ya basi ni kubwa ambazo zinaweza kuingiza mabegi yenye eneo kubwa bila kubanana wala mikanda ya mabegi kuning'inia.
5. Buti za mizigo za chini zimetengenezwa kwa mazingira ya kudhibiti vumbi kuingia (sealed). Hivyo, mizigo ya abiria kufika mwisho katika ubora na usafi wake kama ilivyokuwa kabla ya kupakizwa.
6. Kila basi litaondoka muda sahihi ambao utaandikwa kwenye tiketi ya abiria ya kielektroniki.
Kwa sasa kuna mabasi yanapitisha muda wa kuongea hadi saa moja toka muda uliyoandikwa kwenye tiketi husika.
7. Basi linapokuwa safarini si rahisi abiria kujua linatembea kwa sababu sauti ya Injini haingii ndani ya basi mpaka abiria aangalie nje ndipo ajue linatembea. Hii ni kutokana na ubora wa gari lenyewe toka kiwandani.
8. Kila basi lina busati (mazulia) safi ambalo limetandikwa kuanzia mwanzo hadi mwisho. Lengo ni kumfanya abiria ajisikie yupo sehemu salama na sahihi.
9. Mabasi ya Shabiby yatakapokuwa yanaingia hotelini ili abiria ajihudumie kwa chakula na kunyoosha miguu, kama ikitangazwa ni dakika 10 zitatumika basi kweli ni dakika 10. Hakuna abiria atakayenusurika kuachwa au kuachwa eti kwa sababu basi limeondoka hotelini kabla ya dakika 10 kwisha.
10. Kila basi lina sehemu maalum ya kujisitiri abiria likiwa njiani.
Kapicha Mkuu!Zimebaki wiki mbili kufikia Mei ambapo mabasi mapya ya Shabiby Line yataanza safari mpya toka Dar kwenda Tanga na toka Tanga kwenda Dar.

Moderator anakuita.Hujakamilisha kutuma muamala wa tangazo/tongozo la kibiashara.Zimebaki wiki mbili kufikia Mei ambapo mabasi mapya ya Shabiby Line yataanza safari mpya toka Dar kwenda Tanga na toka Tanga kwenda Dar.
'Mashine' hizo za kisasa zipo Bandari ya Dar zikikamilishiwa utaratibu tayari kwa kuanza safari huku wananchi wakisubiri kwa hamu kubwa ruti hiyo mpya.
Kwa mwonekano wake mzuri, mabasi hayo yana sifa 10 kuliko mabasi mengine yanayopita njia hiyo.
1. Kila siti kwenye basi itamruhusu abiria kuweza kunyoosha miguu mbele kwa nafasi. Hivyo kuifanya damu itembee vizuri mwilini. Kwa hiyo hakuna abiria atakayefika mwisho wa safari na kulalamika miguu kuvimba au maumivu ya kiuno.
2. Kila abiria ata kontroo runinga yake mwenyewe ambayo ipo mbele ya siti yake bila kuingiliwa na jirani yake huku akitumia 'earphone' yake.
3. Kila abiria atakuwa huru kukontroo AC (Air Condition) eneo lake bila kumkera jirani yake.
4. Kila siti ina socket (tundu) za kuchajia simu.
5. Keria za ndani ya basi ni kubwa ambazo zinaweza kuingiza mabegi yenye eneo kubwa bila kubanana wala mikanda ya mabegi kuning'inia.
5. Buti za mizigo za chini zimetengenezwa kwa mazingira ya kudhibiti vumbi kuingia (sealed). Hivyo, mizigo ya abiria kufika mwisho katika ubora na usafi wake kama ilivyokuwa kabla ya kupakizwa.
6. Kila basi litaondoka muda sahihi ambao utaandikwa kwenye tiketi ya abiria ya kielektroniki.
Kwa sasa kuna mabasi yanapitisha muda wa kuongea hadi saa moja toka muda uliyoandikwa kwenye tiketi husika.
7. Basi linapokuwa safarini si rahisi abiria kujua linatembea kwa sababu sauti ya Injini haingii ndani ya basi mpaka abiria aangalie nje ndipo ajue linatembea. Hii ni kutokana na ubora wa gari lenyewe toka kiwandani.
8. Kila basi lina busati (mazulia) safi ambalo limetandikwa kuanzia mwanzo hadi mwisho. Lengo ni kumfanya abiria ajisikie yupo sehemu salama na sahihi.
9. Mabasi ya Shabiby yatakapokuwa yanaingia hotelini ili abiria ajihudumie kwa chakula na kunyoosha miguu, kama ikitangazwa ni dakika 10 zitatumika basi kweli ni dakika 10. Hakuna abiria atakayenusurika kuachwa au kuachwa eti kwa sababu basi limeondoka hotelini kabla ya dakika 10 kwisha.
10. Kila basi lina sehemu maalum ya kujisitiri abiria likiwa njiani.
Itakuwa wale magwiji wao wa ndumba washakufa maana mgeni asingeweza weka gari Tanga ni kama ilivyo kusini ni kwa watu wa kusini tu utakiwi mchaga,msukuma,mnyaki kutia gari kule haitoboiTanga imevamiwa
1.Abood
2.Blatus makundi (BM)
3.Shabiby
Kuna nini Tanga mbona wote mmeanza ruti mpya
Barbara ikikaa sawa yatafikaMabasi yaletwe kusini, uhitaji ni mkubwa
SGR haiathiri biashara za mabus ndugu kuipata hio SGR unabook Siku nne kabla wakati mabus muda wowote tu unapata."Madhara" ya SGR. Basi nyingi kuliko routes. Sasa itakapofika Mwanza itakuwa balaa. Wenye mabasi waanze kutafuta biashara mbadala.
Sielewi mantiki ya kuanza kujenga kipande cha pili cha SGR Mwanza-Isaka badala ya kuendelezea kutoka Makutopora - Tabora. Wakimaliza kipande hicho hakitaanza kuzalisha hela kwani hakijaungana na cha kutoka Dar.
Bei gani niagize mbiliNi wakati sasa hawa matajiri wetu wafikirie kununua ndege kutoka china e.g. comac 90 ambayo inauzwa rahisi tu. Abiria tumechoka na ajali za mabasi yenu .
Hata ndefu mchina anapiga ni wewe mchina kotekote anacheza.Hii ruti fupi sana naona magari ya kichina yanaifurahia sana
Tanga imevamiwa
1.Abood
2.Blatus makundi (BM)
3.Shabiby
Kuna nini Tanga mbona wote mmeanza ruti mpya
Hizi yutong au zongtong unaweza pachika injini ya scania ,inawezekana ilo? Je Yutonga anakubali uachr kutumia injini yakr uchague ya kampuni nyingine,au mtengnezaji wa mabodi ya yutong hatrngenezi na injini yake? Naomba ufafanuzi.Hata ndefu mchina anapiga ni wewe mchina kotekote anacheza.
Body mchina engine scania hata Congo unatoboa.
Ni wewe tu ukienda kiwandani unawaambia wakuwekee engine ipi za kichina au za ulaya mchina hashindwi kitu mbele ya pesa