Sifa 10 kutoka za Mnyama Fisi

Sifa 10 kutoka za Mnyama Fisi

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
10,356
Reaction score
16,401
1. Kicheko ambacho fisi hutoa huweza pelekea kujua umri wa fisi huyo.

2.Fisi ni wanyama wenye ushirikiano sana,ukimchokoza mmoja unakuwa umenunua ugomvi wa familia nzimaa,apo akitoka anaenda Kuita kundi wanakuja kama wotee kukabiliana na wewe.

3.Ni mnyama ambae hujali sana watoto wake na kutenga chakula cha watoto wake pembeni,huwa hawagusi kabsa chakula cha watoto na fisi mkubwa anaevunja sheria huchukuliwa hatua na sheria walizo jiwekea.

4.Fisi kabarikiwa uwezo mkubwa wa kunusa na kuhisi,Fisi anaweza kuchezwa na machale kiasi cha kumjua mnyama mgonjwa au mwenye afya mgogoro miongoni mwa wanyama wengi,Mfano wanaweza kujua simba mzee au mgonjwa yukoje katika kundi la simba , au Nyumbu wazaifu kuliko wote katika kundi la Nyumbu.

5.Damu kwao ndo kipandisha mori chao namanisha fisi akiona damu mzuka wake hupanda maradufu,pia mzuka wa kazi ndio huwapanda zaidi.

6.Fisi angekuwa binadamu tungesema atafute mzizi wa mmasai kwa maana ndiye mnyama ambae hutumia mda mchache zaidi katika kufanya mapenz,mda mwingi akitumia ni dakika tano hawezi zaidi zaidi ya hapo kwahiyo ni mnyama anae tumia mda mchache sana katika kufanya mapenzi,pia ni nadra sana kumwona akifanya mapenzi.

7.Fisi kwa lugha zetu au angekuwa binadamu piaa tungesema kala miguu ya mbuzi kwamaana fisi ndiye mnyama mwenye pilika pilika nyingi zaidi, hawez kutuliaa yeye ni mishe mishe tuuu, akitulia ujue mgonjwa au kachokaa sana.

8.Fisi ndiye bwana afya wa porini kwamaana yeye hushughulika zaidi na mizoga pia mizoga ndiyo chakula chake kikubwa....pia akikuta mizoga anafanya kusafisha anapita nayo(anakula),fisi ndiye msafishaji wa porini. Haina maana kuwa hawindi, hapana ila Mara chache sana.

9.Wanasema asiyekubali kushindwa si mshindani sasa fisi ni mnyama ambae haamini kushindwa katika mapambano, akianzisha tifu yani mwanzo mwisho, unaeza fananisha na wale wenzetu wakina mura panga likisha toka kiunoni halirudi tena mpaka mapambano yaishe.

10.Fisi ni mnyama ambae hapendi ulete mzaaa na watoto wake au chakula chake, kwahiyo cheza na vingine ila hapo umuache kabisa maana anaweza kukugeuza mzoga ndani ya dk 0.
D1024_111_031_1200.jpg
2Q%3D%3D.jpg
 
1. Kicheko ambacho fisi hutoa huweza pelekea kujua umri wa fisi huyo.

2.Fisi ni wanyama wenye ushirikiano sana,ukimchokoza mmoja unakuwa umenunua ugomvi wa familia nzimaa,apo akitoka anaenda Kuita kundi wanakuja kama wotee kukabiliana na wewe.

3.Ni mnyama ambae hujali sana watoto wake na kutenga chakula cha watoto wake pembeni,huwa hawagusi kabsa chakula cha watoto na fisi mkubwa anaevunja sheria huchukuliwa hatua na sheria walizo jiwekea.

4.Fisi kabarikiwa uwezo mkubwa wa kunusa na kuhisi,Fisi anaweza kuchezwa na machale kiasi cha kumjua mnyama mgonjwa au mwenye afya mgogoro miongoni mwa wanyama wengi,Mfano wanaweza kujua simba mzee au mgonjwa yukoje katika kundi la simba , au Nyumbu wazaifu kuliko wote katika kundi la Nyumbu.

5.Damu kwao ndo kipandisha mori chao namanisha fisi akiona damu mzuka wake hupanda maradufu,pia mzuka wa kazi ndio huwapanda zaidi.

6.Fisi angekuwa binadamu tungesema atafute mzizi wa mmasai kwa maana ndiye mnyama ambae hutumia mda mchache zaidi katika kufanya mapenz,mda mwingi akitumia ni dakika tano hawezi zaidi zaidi ya hapo kwahiyo ni mnyama anae tumia mda mchache sana katika kufanya mapenzi,pia ni nadra sana kumwona akifanya mapenzi.

7.Fisi kwa lugha zetu au angekuwa binadamu piaa tungesema kala miguu ya mbuzi kwamaana fisi ndiye mnyama mwenye pilika pilika nyingi zaidi, hawez kutuliaa yeye ni mishe mishe tuuu, akitulia ujue mgonjwa au kachokaa sana.

8.Fisi ndiye bwana afya wa porini kwamaana yeye hushughulika zaidi na mizoga pia mizoga ndiyo chakula chake kikubwa....pia akikuta mizoga anafanya kusafisha anapita nayo(anakula),fisi ndiye msafishaji wa porini. Haina maana kuwa hawindi, hapana ila Mara chache sana.

9.Wanasema asiyekubali kushindwa si mshindani sasa fisi ni mnyama ambae haamini kushindwa katika mapambano, akianzisha tifu yani mwanzo mwisho, unaeza fananisha na wale wenzetu wakina mura panga likisha toka kiunoni halirudi tena mpaka mapambano yaishe.

10.Fisi ni mnyama ambae hapendi ulete mzaaa na watoto wake au chakula chake, kwahiyo cheza na vingine ila hapo umuache kabisa maana anaweza kukugeuza mzoga ndani ya dk 0.View attachment 1147349View attachment 1147351
Kule kwetu anaitwa mbiti(ukiwa chato
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia kubwa.ila kuhusu pambano fisi ndiyo kiumbe pekee muoga kujeruhiwa kuliko kiumbe wengine ninaowafahamu.

Pia Fisi katika wanyama wafugwao anapendelea kula kondoo kuliko kawaida yuko tayari kuupita mzoga wa mbuzi akamkimbiza kondoo mzima.

Fisi muda mwingi hukimbia kuliko kutembea anaweza kukatiza mkoa mmoja kwenda mwingine kwa usiku mmoja na kurejea mahali anakokaa.

Fisi huishi kama familia na familia ya fisi huwa na idadi ya fisi mpaka 18 katika eneo Moja katika eneo hili fisi wengine huwa hawakatizi hovyo hovyo.

Fisi husafiri kwa kutumia njia zinazotumiwa na binadamu hasa wakati wa mbalamwezi.

Fisi wapo wa aina mbili 1 Nhawa na 2 Fisi mlulu.
Nhawa ni wakubwa na ndiyo huweza kufugwa na wachawi
Fisi mlulu ni wadogo na hupatikana kwa nadra sana.

Kwenye meno magego ya fisi hayajagawanyika kama ya wanyama wengi na chonge huwa na urefu wa karibia nchi tatu.

Nilikuwa naongezea tu
 
Asante mkuu kwa nyongeza
 
Back
Top Bottom