Sifa 10 kutoka za Mnyama Fisi

Sifa 10 kutoka za Mnyama Fisi

Sio fisi mkuu
wala sishindani na wewe..... ukiona fisi anakula nyama ya simba ujue simba kashiba akaamua kuyaachia mafisi.... LAKINI FISI AU MBWA AU MNYAMA YEYOTE HAFURUKUTI KWA SIMBA AISEE..... labda kile kijamaa kinaitwa honey badger/nyegere.
 
Hatuzungumzii ubabe, sote tunajua simba ni mbabe kuliko mnyama yeyote yule hata huyo nyegere hafui dafu Ila tunazungumzia vitu vinavyomkera simba mnyama moja wapo ni kelele. So fisi wana win kwa simba kwa kuwa wana makelele pindi wanapokuwa wengi. Na kwa kuwa mfalme wa mwitu hapendi kelele anaamua kuwaachia msosi hata kama hajashiba.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Kumbuka fisi wana ushirikiano mno katika kumshambulia adui yao na hili wanafanikiwa sana
 
wala sishindani na wewe..... ukiona fisi anakula nyama ya simba ujue simba kashiba akaamua kuyaachia mafisi.... LAKINI FISI AU MBWA AU MNYAMA YEYOTE HAFURUKUTI KWA SIMBA AISEE..... labda kile kijamaa kinaitwa honey badger/nyegere.
Fisi wana uwezo wa kuwapora simba kitoweo chao, ila yale madume makubwa ya simba yakiwepo, fisi huwa hasogei karibu.
 
Back
Top Bottom