Sifa 10 kutoka za Mnyama Fisi

Sifa 10 kutoka za Mnyama Fisi

Pia jua hakuna Fisi Dume wala Jike. Atakae pigwa mti ndio anazaa. Maisha yao ni kuwahiana tuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji95]
 
Nini kilifuata mkuu
Huwa wanatabia ya kushitua kwanza wajue kama upo hai au umedanja ili wanisosi vizuri sasa katika harakati zao za kunifukizia mamichanga nikashituka.

kabla ya kuamka nikakoroma kwanza wakakimbia kama hatua kumi nikaamka nikawakimbiza kufika mbali kidogo ngoma zikadinda nikaona hapa kuna kusosiwa hivihivi maana waliongezeka wakawa triple
 
Ni Usafiri wa nchi kavu hasa nyakati za usiku
 
Ananifurahishaga tu akimchokoza simba akiwa anakula anapenda webzine wawinde ye akule
 
Huwa wanatabia ya kushitua kwanza wajue kama upo hai au umedanja ili wanisosi vizuri sasa katika harakati zao za kunifukizia mamichanga nikashituka.

kabla ya kuamka nikakoroma kwanza wakakimbia kama hatua kumi nikaamka nikawakimbiza kufika mbali kidogo ngoma zikadinda nikaona hapa kuna kusosiwa hivihivi maana waliongezeka wakawa triple
[emoji3] [emoji3] walikuwa wanakupeleka kwenye target yao mkuu
 
Vile vile kunafisisiemu hawa wanapatikana sana maeneo ya Lumumba wakiahidiwa buku saba wanaweza mchafua mtu yoyote

Hawa hawajawai kushinda kihalali mara nyingi hupora kura

Hawapendi kusikia harufu ya KATIBA MPYA wakisikia huwa kama wanachanganyikiwa hivi na wanaweza kufanya chochote

Daima huwa wanabebwa na dola wanaweza fanya chochote kumpiga au kumtukana yoyote au hata kumuua bila kuchukuliwa hatua

Neema yao kubwa ni kutumika kipindi cha uchaguzi baada kupewa skafu fulana na kofia

wanapenda maslahi binafsi kuliko maslahi ya umma kwao wao CHAMA KWANZA

Nilikua nakazia tuu
 
Ipo siku Utarudi Zanzibar kwa kupiga mbizi maaana hujawahi kuongea lenye heri kwa Nchi yako wala serikali yako. Bila shaka utakuwa na shida kichwani mwako siyo hiv hiv.
 
Vile vile kunafisisiemu hawa wanapatikana sana maeneo ya Lumumba wakiahidiwa buku saba wanaweza mchafua mtu yoyote

Hawa hawajawai kushinda kihalali mara nyingi hupora kura

Hawapendi kusikia harufu ya KATIBA MPYA wakisikia huwa kama wanachanganyikiwa hivi na wanaweza kufanya chochote

Daima huwa wanabebwa na dola wanaweza fanya chochote kumpiga au kumtukana yoyote au hata kumuua bila kuchukuliwa hatua

Neema yao kubwa ni kutumika kipindi cha uchaguzi baada kupewa skafu fulana na kofia

wanapenda maslahi binafsi kuliko maslahi ya umma kwao wao CHAMA KWANZA

Nilikua nakazia tuu
HAYO MAFISI HATARI HIVYO YANAPATIKANA NCHI GANI HUKO LUMUMBA?
 
Back
Top Bottom