Sifa 10 kutoka za Mnyama Fisi

Sifa 10 kutoka za Mnyama Fisi

sema mafisi na mbwa nawashangaa sana eti unakuta yapo zaidi ya 10yanamuogopa simba mmoja...... ILA YAKIKUTA CHUI YANAMTOA BARU BALAA.
Simba hapendi kelele, ndio maana huwa anaamua kusepa.

Fisi wanapokuwa wanapambana huwa wanapiga sana kelele zao zile so simba sio MTU wa makelele
 
Duh nakumbuka kijijini enzi zile utasikia fisi amekula watu sasa ikaja kujulikana kumbe wale fisi ni fisi watu
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia kubwa.ila kuhusu pambano fisi ndiyo kiumbe pekee muoga kujeruhiwa kuliko kiumbe wengine ninaowafahamu.

Pia Fisi katika wanyama wafugwao anapendelea kula kondoo kuliko kawaida yuko tayari kuupita mzoga wa mbuzi akamkimbiza kondoo mzima.

Fisi muda mwingi hukimbia kuliko kutembea anaweza kukatiza mkoa mmoja kwenda mwingine kwa usiku mmoja na kurejea mahali anakokaa.

Fisi huishi kama familia na familia ya fisi huwa na idadi ya fisi mpaka 18 katika eneo Moja katika eneo hili fisi wengine huwa hawakatizi hovyo hovyo.

Fisi husafiri kwa kutumia njia zinazotumiwa na binadamu hasa wakati wa mbalamwezi.

Fisi wapo wa aina mbili 1 Nhawa na 2 Fisi mlulu.
Nhawa ni wakubwa na ndiyo huweza kufugwa na wachawi
Fisi mlulu ni wadogo na hupatikana kwa nadra sana.

Kwenye meno magego ya fisi hayajagawanyika kama ya wanyama wengi na chonge huwa na urefu wa karibia nchi tatu.

Nilikuwa naongezea tu
Hapo kwenye fisi wakubwa na wadogo nimekuelewa sana,maana nilkuwa nashangaa sana,huku kijijin kwetu wakiua fisi wanaofugwa unakuta fisi nmkubwa lakin nikiwatazama kwenye TV nawaona wadogo
 
Simba hapendi kelele, ndio maana huwa anaamua kusepa.

Fisi wanapokuwa wanapambana huwa wanapiga sana kelele zao zile so simba sio MTU wa makelele
Hhhhhh eti SIMBA si MTU wa makelele
Wacha tuu walimu wa kiswahili wakachukuliwe Kenya
 
Hhhhhh eti SIMBA si MTU wa makelele
Wacha tuu walimu wa kiswahili wakachukuliwe Kenya
Kwani hamna MTU anaitwa simba?
Cha muhimu umenielewa namaanisha simba mnyama hapendi makelele
 
Anaweza kuwa ndio mnyama mpuuzi kuliko wote kati ya wanyama walao nyama.
 
Pia jua hakuna Fisi Dume wala Jike. Atakae pigwa mti ndio anazaa. Maisha yao ni kuwahiana tuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kumbe hii ni kweli eeh, nimewah kuisikia ila sikuamin, kama ni kweli basi fisi washenzi sana 🤣🤣
 
Kuna siku simba alikuwa anavizia wanyama, si fisi akatoka huko alikotoka kawatibua wale wanyama wakakimbia. simba alichofanya alimtimua yule fisi akamfanya msosi. nilishangaa sana maana kwa kawaida simba huwa hali fisi, naona aliamua kutoa demo siku hiyo ili iwe fundisho kwa fisi wengine wawe wanacheza mbali na anga zake
 
sema mafisi na mbwa nawashangaa sana eti unakuta yapo zaidi ya 10yanamuogopa simba mmoja...... ILA YAKIKUTA CHUI YANAMTOA BARU BALAA.
Hahaa..yanajua simba hanaga mzaha, yakiwa mob huwa yanajiamini sana hadi kuwafukuza simba kwenye mzoga ila kukiwa na simba dume huwa analenga anafukuza mmoja anakamata na kuua. ndo maana huwa hayajiamini kabisa yanapokuwa yanakula mzoga wa simba, yanakula kidogo yanakimbia yanasikilizia halafu yanarudi tena
 
ila niliwahi ona fisi mmoja anachapana na mbwa mwitu 10 na bado alikuwa fit,fumbi lilitimuka hapo na bado katoka mshindi.
Hao wanaosema mbwa mwitu ni kiboko yake ni maneno ya vijiweni tuu..hakuna mbwa mwitu wanaoweza kumsumbua fisi. Ukumbuke fisi ni mnyama wa pili kwa nguvu na ukubwa kwa wanyama wanaokula nyama. Wakwanza Simba.
 
Hahaa..yanajua simba hanaga mzaha, yakiwa mob huwa yanajiamini sana hadi kuwafukuza simba kwenye mzoga ila kukiwa na simba dume huwa analenga anafukuza mmoja anakamata na kuua. ndo maana huwa hayajiamini kabisa yanapokuwa yanakula mzoga wa simba, yanakula kidogo yanakimbia yanasikilizia halafu yanarudi tena
hahaha....... kuna mafisi niliona clip yaliua mtoto wa simba maana yalikuwa mengi na simba ni mmoja.... SASA SIMBA KUMBE WANAISHI KAMA FAMILIA WALIPORUDI NA KUKUTA NDUGU YAO MMOJA TU AMEULIWA NA MAFISI, AISEE MAFISI YALIKUFA MNO..... mafisi yapo zaidi ya 10 yanauliwa na simba mmoja tu....
 
Simba hapendi kelele, ndio maana huwa anaamua kusepa.

Fisi wanapokuwa wanapambana huwa wanapiga sana kelele zao zile so simba sio MTU wa makelele
simba apende au asipende kelele LAKINI ANAOGOPWA SANA NA WANYAMA WENZAKE..... mafisi au mbwa huwa wakisikia harufu tu ya simba wanakimbia mno..... SIMBA NI HABARI NYINGINE AISEE....
 
simba apende au asipende kelele LAKINI ANAOGOPWA SANA NA WANYAMA WENZAKE..... mafisi au mbwa huwa wakisikia harufu tu ya simba wanakimbia mno..... SIMBA NI HABARI NYINGINE AISEE....
Sio fisi mkuu
 
Back
Top Bottom