Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Huyu hayupo mbeyaSehemu kuitwa Jana jiji wanaangalia sana idadi ya watu. Nakushauri nenda Ofisi za Mpango miji, hapo Mbeya, waulize swali lako,nina Imani watakujibu.
Huyu hayupo mbeyaSehemu kuitwa Jana jiji wanaangalia sana idadi ya watu. Nakushauri nenda Ofisi za Mpango miji, hapo Mbeya, waulize swali lako,nina Imani watakujibu.
tuanze na Afya. pana hospitali ngapi? ya rufaa, ya mkoa. hizi za jiji kama kiwanja mpaka, ruanda, na zahanati ndogondogo. igawilo. za private kubwa kama ks na uyole. hapo bado zahanati za watu binafsi. swala la lishe linajulikana. Usafi, nafikiri ni jiji linaloongoza kwa usafi imeona yale madampo movable?. shule za msingi na sekondari na vyuo nahisi ni jiji linaloongoza ukizingatia wastani wa watu. maji na umeme, hakuna sehemu ndani ya jiji la mbeya haina maji ya bomba na umeme. sehemu nyingine yanaweza yasitoke kwa wingi ila zaidi ya asilimia 90 wanauhakika wa maji. sehemu nyingi zinafikika kwa barabara japo siyo bora sana hata hivyo ni jiji gani lenye kujivunia ubora wa barabara? mzunguko wa pesa takwimu zinajulikana. mpangilio wa mji ni mbovu kwa sehemu kubwa kama tu majiji mengine ya Tz. kwenye Human development index jiji la Mbeya lipo juu sana kwa Tanzania hii. tatizo lako unawaza jiji ni maghorofa .Imekosa Huduma bora za jamii na miundo mbinu uki
Iinganisha na majiji mengine
Itakuwa milioni 7...Sugu tu amepigiwa kura za ubunge million 2+ Most voted MP
Mimi nimeongelea kigezo kua mbeya city INA watu zaidi ya laki7 ambayo ni moja ya sifa ya mji kua jiji imekizi kigezo na kuzidi. Mbeya kama mkoa unawatu zaidi ya mil1.5Huyo jamaa aliesema watu karibia laki 7 anaota yaani watu laki 7 upewe jiji wakati hao watu hata wilaya moja ya mbeya inahao watu angesema mbeya inawatu ml 5 hadi 6 nmgemuelewa maana naskia dar ndo jiji linaloongoza kwa idada kubwa ya watu na inayofuata ni hiyo mbeya kisha mwanza sasa kama inafuata kuifikia dar kwa idadi ya watu iweje ile laki 7 tu!?? Dar ina watu karibia mil 7 maana yake wikaya 1 ya jiji la dar inawatu mil 1 na ushehe
Vigezo vya mji kuwa jiji asilimia kubwa wanaangalia idadi ya watu, changio ktk pato la taifa ,huduma za kijamii kama hospital,shule,umeme,maji, transportation n.k hvyo ni baadhi ya vigezoWenyeji wa hapo watatupa a b c
of course Tz yote ni ya kubomoa tujenge upya. sema wananchi watalia na inahitaji roho mbaya kama ya jamaa wa sasa sasa hivi![]()
![]()
ni mbeya tu kuna ujenzi holela???
Dsm yote imejengwa kwa mpangilio unaotakiwa?
??
Jiji lipi ambalo hakuna ujenzi wa hivyo hapa Tanzania,hebu litajeSIFA KUU NI UJENZI HOLELA NA WA HOVYO HOVYO. WINGI WA WATU KAMA NDIO KIGEZO BASI BALAA
Majiji yapi hapa Tanzania ambayo ww umeona yana miundombinu na Huduma za jamii nzuri kuliko mbeya,with vivid examples sio kijiongelesha tuImekosa Huduma bora za jamii na miundo mbinu uki
Iinganisha na majiji mengine
MKUU MIMI SIISEMI MBEYA ILA TZ YOTE NI SHIT! HATUNA HATA JIJI MOJA ILA TUNA MAENEO FLANI FLANI TU YENYE MWELEKEO WA KUFANANA NA JIJI. HAYA TUNAYOITA MAJIJI KARIBU YOTE NI KISIASA TU NA UTASHI WA WATU FLANI.Jiji lipi ambalo hakuna ujenzi wa hivyo hapa Tanzania,hebu litaje
Tembea uone. Unataka kuifananisha Mbeya Na Mtwara?Kama kichwa cha mada kinavyojieleza,
Mimi ni mwenyeji wa Mbeya mjini, kwa muda mrefu lakini mi ukweli sioni sababu za msingi za kuipatia Mbeya hadhi ya jiji yaani mji upoupo tu labda wajuvi mnieleze kama kuna sababu za kufanya Mbeya kuwa jiji.
Nawasilisha.
Unaishi mbeya sehemu ganiPunguza mihemko !
Mimi ni mwenyeji kabisa hapa mbeya mjini
Neverland hatuzeekiMihemko on flick
Kumbe na wewe ni walewale zeeka vizuri basi!
Ndio matatizo ya kukulia huko Mpoloto halafu umeenda Dsm kumsindikiza dada yako aliyepata kazi ya u-house girl, basi unataka Mbeya iwe kama Dsm!Kama kichwa cha mada kinavyojieleza,
Mimi ni mwenyeji wa Mbeya mjini, kwa muda mrefu lakini mi ukweli sioni sababu za msingi za kuipatia Mbeya hadhi ya jiji yaani mji upoupo tu labda wajuvi mnieleze kama kuna sababu za kufanya Mbeya kuwa jiji.
Nawasilisha.
Mbeya mjin ipi wewe?Punguza mihemko !
Mimi ni mwenyeji kabisa hapa mbeya mjini
Nimetembea kote huko ,Mimi si mjinga nikurupuke kuanzisha mada nisioijua!
Kumbe hata hujui jiji la Mbeya ni wapi hadi wapi!Ata mimi mkazi wa mbeya lkn sijui walitumia kigezo gan kuupa jiji?
Ukiiacha uyole kuja mbarali ni mapori 85%
Bora walivyougawanya labda