SIELEWI MANA YA HUU MSEMO,Msaada please wanajamvi... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SIELEWI MANA YA HUU MSEMO,Msaada please wanajamvi...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by nziriye, Mar 10, 2011.

 1. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Sina nia ya kuwatusi mama zangu,dada zangu,wasichana ,wanawake au mke wangu bt nimesikia na naendelea kusikia msemo mmoja unaopendwa kutumiwa huku mtaani kwetu eti,wanasema wanawake ni kama sahani ya hotelini inatumiwa inaoshwa then anakuja mwingine naye anatumia au wanawake ni kama siti ya daladala unaikalia ,unashuka anakuja mwingine naye anaikalia.....msaada wajameni hii misemo ina mana gani ?
   
 2. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  ooopps just passing:A S-coffee: be rait bak
   
 3. Egyps-women

  Egyps-women JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  myuzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
   
 4. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  mxiiiiiiiii BALLAX!!kaulize mitaani maana yake.mxii
   
 5. Mlimazunzu

  Mlimazunzu JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 420
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Men are like daladala when you miss one another one is around the corner (Including me)
   
 6. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #6
  Mar 10, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Maswali mengine bana utata mtupu.

  Mie leo no comment . Kwaresima imeanza
   
 7. B

  Buke Senior Member

  #7
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 105
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  :a s 13::a s 13:
   
 8. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  bahat yako nimeanza kwaresima.
  i irudie tena afta kwaresma i wl answa u akodingly.
   
 9. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #9
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,711
  Trophy Points: 280
  Na wewe unasema nini?
   
 10. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #10
  Mar 10, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  sa ka umeskia mtaaani kwenu ndo uje utuulize sisi hebu kawaulize unaowasikia wakitamka............
   
 11. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #11
  Mar 10, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  lakini nina imani kuwa kama ni mtu wa kawaida kama mie mlalahoi nadhani umeshawah kusikia haya maneno,ila kama weye wa kishua ndo mana unashndwa pa kuanzia pa kujibu,what i knw ambacho kinatokea mara kwa mara ndo ambacho tunakidiscus hapa jamvini so ungependwa ukweli niupate wapi kama si kwa magret thinkes,hebu jaribu kidogo kuwa mwelewa na ujibu kama hujui kaa kimya .
   
 12. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #12
  Mar 10, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  blaq woman mie hapa nashindwa elewa what is the applicability of that misemo na ndio mana nikadondosha hapa jamvini kwa ufafanuzi wa wakuu wa jamvi.
   
 13. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #13
  Mar 10, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  rose umeanza kwaresma?sasa kuanza kwako kunakuzuia kujibu ama vipi?nikupashe basi mbona mie mwenyewe nipo ktk mfungo wa kwaresma au swali kama hli halipaswi kuulizwa kipindi hiki.
   
 14. n

  ntobistan Member

  #14
  Mar 10, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi mgen mitaa ya huko man?Plz road are closed try another road.
   
 15. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #15
  Mar 10, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  They mean a woman is wining device.....! And that is why when two men scramble for a woman, then the wining one is the winner and he spend with that woman very happily because he is a winner....! Ni msemo uliorahisi kueleweka, lakini nakushauri kamuulize mamayo au mkeo....! Watakupa facts....!
   
 16. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #16
  Mar 10, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nafikiri lengo lako kwa hii sredi ni hapo juu kwenye red, na sio kweli kwamba hujui hiyo misemo ina maana gani....:(
   
 17. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #17
  Mar 10, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  :A S 13::A S 13:.....!!! asante Mungu kwa siku ya leo,najivunia kuwa mwanamke uliyeniumba kwa mfano wako!!!
   
 18. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #18
  Mar 10, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  AMEN. Barikiwa dada Michelle!
   
 19. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #19
  Mar 10, 2011
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 835
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  Nasema watoto humu ndani wamekuwa wengi na adabu hawana. :hand:
   
 20. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #20
  Mar 10, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Sipendi watu wasiowaheshimu kinamama/dada.inabidi tumzirie thread yake kama jina lake.
   
Loading...