Sichepuki Tena. Kumbe ni balaa hivi!

Sichepuki Tena. Kumbe ni balaa hivi!

Huyu mhenga mkuu 95 alikuwa mtu mzima wengi WA umri wake Wana two to three years wastaafu bana, so hyo kusema early 40 ni uongo bana, Sasa tulioanza 2000s shule tuko 30s sembuse yeye ana force kingi yuko early muongo, Bora kashtuka mapema dada alikuwa anavizia kikokotoo chake maana hata huyu baba ana mzaa huyu Binti na wamelingana na wanawe
😀😀😀
 
Wakuu, Heri ya Mwaka Mpya 2022.

Naamini mmeanza Mwaka salama.

Ebwana eeh, nawapongeza sana wale Wanaume walioweza kuishi bila kuchepuka kabisa.

Mimi niliweza kwa kipindi flani hivi,ila mwanzoni mwa Mwaka Juzi 2020 nikajikuta nazoeana na aliyezaliwa 1995, dah msinicheke wadau huo mwaka tayari mimi nilishakuwa mtu mzima kabisa.

Twende kwenye point sasa...

Tulivyoanza Mazoea.

Huyu binti ana mwili mkubwa mkubwa kidogo na umejipanga vizuri sana, kwa kifupi ni mzuri wa mwili na sura.

Nilianza kumzoea kwasababu nilikuwa kiongozi wa kitengo flani hivi kazini, so kuonana ilikuwa mara chache ila kila nikimwona lazima nitabasamu na yeye atabasamu.

Kupata namba yake haikuwa tabu kuna group la whatsapp wote ni member na mimi ndio Admin.

Baada ya muda tukawa tunachat private kuulizana ulizana tu mambo, siku moja nikatest zali la kuomba out! Akakubali, tukaenda zetu huko Kigamboni, hapa ndio alipata wasaa kuniuliza maswali kibao kuhusu familia yangu.

Out ya kwanza ilikuwa poa! Siku hiyo aliogelea sana, mimi sikufanya hivyo japo alitaka sana tuogelee pamoja, sikuwa na haraka kivile.
Kwenda kwenye hilo eneo kila mtu alienda kivyake.

Kuanzia siku ile ndio tukazidi kuzoena sana, tuliwasiliana mara nyingi muda wa Ofisini, nikajikuta nimeanza mahusiano automatic no mtongozano wala nini. Nilianza kula tunda huko Arusha kwenye Kazi moja tulioenda huko. Mtindo ukaanzia hapo Wakuu, huyu binti sikujua kama alizama kweli kweli.

Alinishangaza siku alipogundua mke wangu ni mweupe kumzidi, hamadi naona ngozi yake inaanza kuchange, 😀😀 nikamuwahi kumjulisha abadlishe mafuta anayotumia kwa sababu yanaibadili ngozi yake, katika uchunguzi wangu nikagundua ni makemikali ila aliyaacha kabla madhara hayajashika kasi.

Kwa 2020 na 2021 miaka 2 tu! Tulishirikiana mambo kibao yani, good thing hapigi vizinga wala nini! Mambo yake yote akawa ananishirikisha, A to Z mambo ya nyumbani kwao n.k

Sasa wakati tunaelekea kuuaga mwaka 2021, nikaa chini nikawaza future yake! Nikijua kabisa 2022 anagonga 27years. Na simwoni kabisa kama ana hata wazo la kuwa na familia.

Katika mazungumzo yetu ilikuwa Tarehe 09/01/2022, nikaamua kuvunja ukimya nikamuuliza kuhusu swala la yeye kuwa na familia yake as mimi siwezi kumwoa kwasababu nina mke na Watoto na tayari niko kwenye my Early 40's.

Acha Binti anijie juu kwa maneno makali, "I thought you Love me".
Yes, I love you ndio maana nataka uwe na future nzuri...akaporomosha maneno hapo!! mengi tu, kuniambia mimi ndio future yake na blah blah nyingine!!

Alitegemea kabisa kuna siku nitaachana na mke wangu na kwasababu Nampenda nitamuoa yeye Duuh!! Nikamsomesha sanaa, nikafikiri ameelewa.

Juzi Ijumaa nakutana nae mahali ili tuzungumze zaidi ndio ananifungukia sasa, alishanichukulia kama mume na yuko tayari kunilelea watoto wangu na atawafanya kama wake siku nikiachana na Mke wangu, hapo anaongea kimahaba hadi nikafikiri ameingliwa na mapepo...

Haya maisha haya! Yaoneni tu kuna wanaowaza tusioyawaza kabisa.

Nampenda mke wangu! Sichepuki tena hata mniue!
"Kuna wanaowaza tusioyawaza" nimeipenda sana.
 
Wakuu, Heri ya Mwaka Mpya 2022.

Naamini mmeanza Mwaka salama.

Ebwana eeh, nawapongeza sana wale Wanaume walioweza kuishi bila kuchepuka kabisa.

Mimi niliweza kwa kipindi flani hivi, ila mwanzoni mwa Mwaka Juzi 2020 nikajikuta nazoeana na aliyezaliwa 1995, dah msinicheke wadau huo mwaka tayari mimi nilishakuwa mtu mzima kabisa.

Twende kwenye point sasa...

Tulivyoanza Mazoea.

Huyu binti ana mwili mkubwa mkubwa kidogo na umejipanga vizuri sana, kwa kifupi ni mzuri wa mwili na sura.

Nilianza kumzoea kwasababu nilikuwa kiongozi wa kitengo flani hivi kazini, so kuonana ilikuwa mara chache ila kila nikimwona lazima nitabasamu na yeye atabasamu.

Kupata namba yake haikuwa tabu kuna group la whatsapp wote ni member na mimi ndio Admin.

Baada ya muda tukawa tunachat private kuulizana ulizana tu mambo, siku moja nikatest zali la kuomba out! Akakubali, tukaenda zetu huko Kigamboni, hapa ndio alipata wasaa kuniuliza maswali kibao kuhusu familia yangu.

Out ya kwanza ilikuwa poa! Siku hiyo aliogelea sana, mimi sikufanya hivyo japo alitaka sana tuogelee pamoja, sikuwa na haraka kivile.

Kwenda kwenye hilo eneo kila mtu alienda kivyake.

Kuanzia siku ile ndio tukazidi kuzoena sana, tuliwasiliana mara nyingi muda wa Ofisini, nikajikuta nimeanza mahusiano automatic no mtongozano wala nini. Nilianza kula tunda huko Arusha kwenye Kazi moja tulioenda huko. Mtindo ukaanzia hapo Wakuu, huyu binti sikujua kama alizama kweli kweli.

Alinishangaza siku alipogundua mke wangu ni mweupe kumzidi, hamadi naona ngozi yake inaanza kuchange, 😀😀 nikamuwahi kumjulisha abadilishe mafuta anayotumia kwa sababu yanaibadili ngozi yake, katika uchunguzi wangu nikagundua ni makemikali ila aliyaacha kabla madhara hayajashika kasi.

Kwa 2020 na 2021 miaka 2 tu! Tulishirikiana mambo kibao yani, good thing hapigi vizinga wala nini! Mambo yake yote akawa ananishirikisha, A to Z mambo ya nyumbani kwao n.k

Sasa wakati tunaelekea kuuaga mwaka 2021, nikaa chini nikawaza future yake! Nikijua kabisa 2022 anagonga 27years. Na simwoni kabisa kama ana hata wazo la kuwa na familia.

Katika mazungumzo yetu ilikuwa Tarehe 09/01/2022, nikaamua kuvunja ukimya nikamuuliza kuhusu swala la yeye kuwa na familia yake as mimi siwezi kumuoa kwasababu nina mke na Watoto na tayari niko kwenye my Early 40's.

Acha Binti anijie juu kwa maneno makali, "I thought you Love me".
Yes, I love you ndio maana nataka uwe na future nzuri... Akaporomosha maneno hapo!! Mengi tu, kuniambia mimi ndio future yake na blah blah nyingine!!

Alitegemea kabisa kuna siku nitaachana na mke wangu na kwasababu nampenda nitamuoa yeye Duuh!! Nikamsomesha sanaa, nikafikiri ameelewa.

Juzi Ijumaa nakutana nae mahali ili tuzungumze zaidi ndio ananifungukia sasa, alishanichukulia kama mume na yuko tayari kunilelea watoto wangu na atawafanya kama wake siku nikiachana na Mke wangu, hapo anaongea kimahaba hadi nikafikiri ameingliwa na mapepo...

Haya maisha haya! Yaoneni tu kuna wanaowaza tusioyawaza kabisa.

Nampenda mke wangu! Sichepuki tena hata mniue!

Utamla tena, atakuloga, utamwacha mke, utamuoa, watoto wanateseka, kosa Ni mwanzo, mengine Ni matokeo tu ya kuanza ujinga!
 
Ila wanawake bhana sijui kwann huwa hawajiamini"kuna kipindi nilidate na demu before cjaoa alikuwa wa kawaida tu ana kitako kwa mbaliii....bwana bwana sijui ilikuaje akaanza kunichunguza akagundua maex wangu wawili wa nyuma wana misambwanda ya hataree basi lile naona sijui lilimuuma.siku tulikwaruzana kidogo acha aanze kuropoka kwa uchungu"eti najua kwanza hunipendi kisa sina tako"...nikamuelewesha yakaisha ndo kuja kumuuliza vzuri kiundani akadai alichunguza kuhusu maex wangu....mwisho wa siku nilitemana nae maana yeye mda wote hajiamini anahisi hapendwi
 
Kuna kitu ambacho wanaume hatukijui kwa wanawake na wanawake hawakijui kutuhusu wanaume; wanaume walio OA over 95% tunachepuka kwa wanawake wengine (may be hadi kua na nyumba ndogo, yaani mchepuko pemanert ) lakini sio kwa mapenzi au kupenda sana huyo unae chepuka nae; wanawake wao ni tofauti, akikuvulia nguo mara 1 then mara ya pili na ya tatu hua ana fall in love moja kwa moja, yaani wao hua wanapenda kabisa wakati sisi tulitaka kufanya starehe tu; again ni wanaume wachache sana ambao tunaweza kumuachilia mwanamke kama ulivyo fanya wewe, yaani ukakaa nae kabisa kumtaarifu habari ya kumuacha, wengi kwenye hili eneo hua tuna fail vibaya sana; nakupongeza kwa kumtamkia maisha yake mema ya mbeleni
 
Ni swala la mda tu, utachepuka anytime.

Haya mambo bwana, it's really easy kusema as huwa yanakuwa maamuzi tu kuwa now I'm cheating.

Unaweza vumilia hata 10yrs, siku unashangaa umejiingiza...just like that!!
 
Ila wanawake bhana sijui kwann huwa hawajiamini"kuna kipindi nilidate na demu before cjaoa alikuwa wa kawaida tu ana kitako kwa mbaliii....bwana bwana sijui ilikuaje akaanza kunichunguza akagundua maex wangu wawili wa nyuma wana misambwanda ya hataree basi lile naona sijui lilimuuma.siku tulikwaruzana kidogo acha aanze kuropoka kwa uchungu"eti najua kwanza hunipendi kisa sina tako"...nikamuelewesha yakaisha ndo kuja kumuuliza vzuri kiundani akadai alichunguza kuhusu maex wangu....mwisho wa siku nilitemana nae maana yeye mda wote hajiamini anahisi hapendwi
Wanapenda kujifananisha.
Huyu alitaka kujichubua kabisa akifikiri kwa mke wangu nilipenda weupe.
 
Ni swala la mda tu, utachepuka anytime.

Haya mambo bwana, it's really easy kusema as huwa yanakuwa maamuzi tu kuwa now I'm cheating.

Unaweza vumilia hata 10yrs, siku unashangaa umejiingiza...just like that!!
Inahitaji tahadhari sana
 
Wakuu, Heri ya Mwaka Mpya 2022.

Naamini mmeanza Mwaka salama.

Ebwana eeh, nawapongeza sana wale Wanaume walioweza kuishi bila kuchepuka kabisa.

Mimi niliweza kwa kipindi flani hivi, ila mwanzoni mwa Mwaka Juzi 2020 nikajikuta nazoeana na aliyezaliwa 1995, dah msinicheke wadau huo mwaka tayari mimi nilishakuwa mtu mzima kabisa.

Twende kwenye point sasa...

Tulivyoanza Mazoea.

Huyu binti ana mwili mkubwa mkubwa kidogo na umejipanga vizuri sana, kwa kifupi ni mzuri wa mwili na sura.

Nilianza kumzoea kwasababu nilikuwa kiongozi wa kitengo flani hivi kazini, so kuonana ilikuwa mara chache ila kila nikimwona lazima nitabasamu na yeye atabasamu.

Kupata namba yake haikuwa tabu kuna group la whatsapp wote ni member na mimi ndio Admin.

Baada ya muda tukawa tunachat private kuulizana ulizana tu mambo, siku moja nikatest zali la kuomba out! Akakubali, tukaenda zetu huko Kigamboni, hapa ndio alipata wasaa kuniuliza maswali kibao kuhusu familia yangu.

Out ya kwanza ilikuwa poa! Siku hiyo aliogelea sana, mimi sikufanya hivyo japo alitaka sana tuogelee pamoja, sikuwa na haraka kivile.

Kwenda kwenye hilo eneo kila mtu alienda kivyake.

Kuanzia siku ile ndio tukazidi kuzoena sana, tuliwasiliana mara nyingi muda wa Ofisini, nikajikuta nimeanza mahusiano automatic no mtongozano wala nini. Nilianza kula tunda huko Arusha kwenye Kazi moja tulioenda huko. Mtindo ukaanzia hapo Wakuu, huyu binti sikujua kama alizama kweli kweli.

Alinishangaza siku alipogundua mke wangu ni mweupe kumzidi, hamadi naona ngozi yake inaanza kuchange, nikamuwahi kumjulisha abadilishe mafuta anayotumia kwa sababu yanaibadili ngozi yake, katika uchunguzi wangu nikagundua ni makemikali ila aliyaacha kabla madhara hayajashika kasi.

Kwa 2020 na 2021 miaka 2 tu! Tulishirikiana mambo kibao yani, good thing hapigi vizinga wala nini! Mambo yake yote akawa ananishirikisha, A to Z mambo ya nyumbani kwao n.k

Sasa wakati tunaelekea kuuaga mwaka 2021, nikaa chini nikawaza future yake! Nikijua kabisa 2022 anagonga 27years. Na simwoni kabisa kama ana hata wazo la kuwa na familia.

Katika mazungumzo yetu ilikuwa Tarehe 09/01/2022, nikaamua kuvunja ukimya nikamuuliza kuhusu swala la yeye kuwa na familia yake as mimi siwezi kumuoa kwasababu nina mke na Watoto na tayari niko kwenye my Early 40's.

Acha Binti anijie juu kwa maneno makali, "I thought you Love me".
Yes, I love you ndio maana nataka uwe na future nzuri... Akaporomosha maneno hapo!! Mengi tu, kuniambia mimi ndio future yake na blah blah nyingine!!

Alitegemea kabisa kuna siku nitaachana na mke wangu na kwasababu nampenda nitamuoa yeye Duuh!! Nikamsomesha sanaa, nikafikiri ameelewa.

Juzi Ijumaa nakutana nae mahali ili tuzungumze zaidi ndio ananifungukia sasa, alishanichukulia kama mume na yuko tayari kunilelea watoto wangu na atawafanya kama wake siku nikiachana na Mke wangu, hapo anaongea kimahaba hadi nikafikiri ameingliwa na mapepo...

Haya maisha haya! Yaoneni tu kuna wanaowaza tusioyawaza kabisa.

Nampenda mke wangu! Sichepuki tena hata mniue!
Kwa hiyo unampenda mke wako huyo mchepuko au.
Maana naona unaaga andishi kienyeji
 
Kaka mshukuru sana Mungu, kwa ufahamu ulionao wengi wanasabisha wake/waume zao kufa mapema kwa kurogwa sababu ya mambo kama haya.

Unapotoka na mchepuko akakupenda anachowaza ni jinsi gani ya kumuondoa huyo uliyenaye ili yeye aingie
 
Utalogeshewa Mkuu shauri yako hao wenye 25+ sio wakucheza nao kiivyo kabisa
 
Back
Top Bottom