venossah
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 2,744
- 3,997
Mungu anakuonaAlitegemea kabisa kuna siku nitaachana na mke wangu na kwasababu nampenda nitamuoa yeye Duuh!! Nikamsomesha sanaa, nikafikiri ameelewa.
Mungu anakuonaAlitegemea kabisa kuna siku nitaachana na mke wangu na kwasababu nampenda nitamuoa yeye Duuh!! Nikamsomesha sanaa, nikafikiri ameelewa.
Au mwanzo ulimuahidi ipo siku utaachana na mke wako..Juzi Ijumaa nakutana nae mahali ili tuzungumze zaidi ndio ananifungukia sasa, alishanichukulia kama mume na yuko tayari kunilelea watoto wangu na atawafanya kama wake siku nikiachana na Mke wangu, hapo anaongea kimahaba hadi nikafikiri ameingliwa na mapepo...
Kupunguza hilo tatizo, chepuka na mke wa mtuUkianza kuchepuka tambua unatengeneza mazingira ya kati ya wewe au mkeo kulogwa ama wote kwa pamoja kulogwa
Wewe hii mbinu nayo ina risk sana siku hivKupunguza hilo tatizo, chepuka na mke wa mtu
Never ever.au mwanzo ulimuahidi ipo siku utaachana na mke wako..
mwenzio akawa na matumaini muda wote huo
Duh!...umejaribu kuwaza siku akiamua kumwambia mkeo yeye ni nani kwako ikiwa utajaribu kumuacha?Na ndio balaalenyewe hilo.
Ndio maana kuna wakati alikuwa anavaa aina ya mavazi anayovaa wife.
Aisee
Kuchepuka na mke wa mtu ni sawa na kujaribu sumu kwa kuilambaKupunguza hilo tatizo, chepuka na mke wa mtu
Na mke wangu huwa ni malaika kwangu.Ukitaka kujua wanaume tuna msimamo mwambie mwanaume aachane na mkewe asiye malaya wala kumsumbua......
Mungu anaona jinsi navyoipenda na kuijali familia yangu pia.mungu anakuona
Nimekuelewa Mkuu.Rabboni wanawake ni mapepo chunga sana asije kuwekea limbwata ukamsahau mkeo na wanao. Na watakao umia na kuteseka ni watoto, chunga sana aise.
Huyo anakudanganya atalelea watoto wa mwanamke mwenzake!!!!!!, hakuna mwanamke anayependa watoto wa mwanamke mwenzake. Mwanamke atawapendelea watoto wake zaidi.
Tena usirudiane naye kabisa wala usiongee nae kabisa huyo ni zaidi ya muuaji, hakawii kukuaribia familia yako. Kuwa makini sana na wanawake wa hivo.
nilishashuhudia mengi kuhusu wanawake wa dizaini hiyo, kuwa makini sana hilo ni shetani kuu.
DangerousKuchepuka na mke wa mtu ni sawa na kujaribu sumu kwa kuilamba
AiseeeWewe hii mbinu nayo ina risk sana siku hiv
Inawezekana kuna mtu amenifanya kuwa roll model
Naona tuko wawili, mimi nina miaka 9 hapa jukwaani huyo mwingine ana miaka miwili kasoro.