Sichepuki Tena. Kumbe ni balaa hivi!

Wakuu, Heri ya Mwaka Mpya 2022.
Naamini mmeanza Mwaka salama.

Ebwana eeh, nawapongeza sana wale Wanaume walioweza kuishi bila kuchepuka kabisa.
Mkuu kosa ulilofanya inaonesha ulikuwa unamzungumzia mkeo mkiwa na yeye kitu ambacho ni kosa kubwa kwenye taasisi ya michepuko. Kitendo hicho kilikuwa kinampa tumaini kuwa Kuna siku utamwacha mkeo.
Mimi mchepuko wangu lazima uishi kwenye masharti yafuatayo
1. Tambua Mimi Nina mke na kwa vyovyote vile ni mwiko kumzungumzia mke wangu ukiwa na Mimi au mahali POPOTE. Hata KUNIAMBIA hajambo mkeo au ulivyo ondoka ulimwagaje kwangu hili ni prohibited.
2. Mambo ya kupigana mizinga hii ni mwiko katika mahusiano yetu.
Mkuu mwanaume usipochepuka hujakamilika bado ukiachana na wasiochepuka kwa Imani za dini tu.
 
95 ulikuwa mtu mzima then mwaka huu unaanza early arobaini siuseme tu unakaribia kustaafu na umeshamchoka
Kweli mkuu 95 mimi nlikua primary, sasa ndio nipo early 40s, mwamba anakaribia kuanza kukimbizana na malalamiko ya mafao.
 
Wakuu, Heri ya Mwaka Mpya 2022.
Naamini mmeanza Mwaka salama.

Ebwana eeh, nawapongeza sana wale Wanaume walioweza kuishi bila kuchepuka kabisa.
Nani atakuua kama sio wewe mwenyewe kwa kujihusisha na mambo kama haya?
 
Kweli mkuu 95 mimi nlikua primary, sasa ndio nipo early 40s, mwamba anakaribia kuanza kukimbizana na malalamiko ya mafao.
Huyu mhenga mkuu 95 alikuwa mtu mzima wengi WA umri wake Wana two to three years wastaafu bana, so hyo kusema early 40 ni uongo bana, Sasa tulioanza 2000s shule tuko 30s sembuse yeye ana force kingi yuko early muongo, Bora kashtuka mapema dada alikuwa anavizia kikokotoo chake maana hata huyu baba ana mzaa huyu Binti na wamelingana na wanawe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom