Huyu Mwanakatwe ingefaa apigwe sana maana amezidi kuandika habari za uongo.
Habari zingine zinaandikwa na Dr. Mwakyembe, yeye anaweka jina lake tu na kutuma Nipashe.
Polisi kwanini hawataki kutoa report ya Dr. Mwakyembe kuchomwa kisu? Itabidi tuandamane kuitaka hiyo report.
.........Habari zingine zinaandikwa na Dr. Mwakyembe, yeye anaweka jina lake tu na kutuma Nipashe.............
Kijana, una uthibitisho wowote usio na mawaa wa madai haya mazito?
Hivi mkoa gani mwingine ambapo mkuu wa mkoa ni mzaliwa wa mkoa huo?
mzee wewe unaonekana una kyela yako, maana mambo unayoyaeleza hayapo kyela, mimi ni mwanakyela ninamfahamu msanii mwakalinga, ebu muulize mwakalinga degree yake ya kwanza aliposhindwa kuipata bongo baada ya kudisco kwenye chuo kimoja hapa tanzania, akueleze vizuri!!! maana unaonekana humfahamu huyu jamaa.Wapambe njaa au wa kutumwa utawaona tu. Hii thread ni kuhusu wapiganaji na wala sio Mwakalinga. Kuna thread ya Mwakalinga kule na unaweza kwenda kutukana utakavyo.
Kama Mwakyembe ni makini kwanini apate kiwewe cha kuanza kuropoka kuhusu huyo Mwakalinga? Mara milioni 400, mara wanataka kuniua, mara Mwakalinga anauza unga Ulaya, mara Mwakalinga kakamatwa na polisi, mara Mwakalinga kajitoa. Hayo sio maneno ya mtu makini, ni maneno ya mtu mwenye wasiwasi na anayetaka aonewe huruma.
Mwakalinga kajitambulisha tena wiki moja, wewe unaanza kusema makelele kiasi hiki, lini umemsikia Mwakalinga anaongea?
Ukisoma magazeti ya Mengi utafikiri Mwakyembe anaandamwa kumbe yeye ndiye anaongoza kuandama kila anayetaka kumpinga. Alianza na Mwanjala sasa kahamia kwa Mwakalinga.
Uzuri Kyela tumemjua na kama anafaa taifa asi amwambie JK ampe ubunge wa taifa. Sisi huku vijijini tunataka mtu wa kushirikiana naye kusogeza maendeleo ya Kyela mbele.
Njoo Kyela umsaidia mpiganaji wako, kura zitapigwa huku wilayani na wala sio JF. Kama Mwakalinga kashindwa si anzeni kufurahi? Mbona mnahaha huku na huku wakati hata kampeni yenyewe haijaanz?
mzee wewe unaonekana una kyela yako, maana mambo unayoyaeleza hayapo kyela, mimi ni mwanakyela ninamfahamu msanii mwakalinga, ebu muulize mwakalinga degree yake ya kwanza aliposhindwa kuipata bongo baada ya kudisco kwenye chuo kimoja hapa tanzania, akueleze vizuri!!! maana unaonekana humfahamu huyu jamaa.
halafu mbona ajamuuliza mwakipesile? huyo mwanyala aliona mambo magumu na alipoamua kurudi kambi ya mwakipesile hapo ndipo palitokea tofauti, muulize vizuri huyo jamaa.
muulize alipataje nafasi ya kuenda na rais marekani pale rais alipoongozana na wafanyabiashara kwenda marekani? Nafikiri tutawasiliana baada ya uchaguzi, mimi nitakuwa huko kupiga kura mwakani. pia nitakuwepo huko december hii ili tuendelee kuona hivyo unavyolipoti.(Wapambe njaa au wa kutumwa utawaona tu) huu ni mtizamo tu na ufinyu wa kufikiri. mtu makini hawezi kujibu kwa kutumia nguvu kiasi hichi badala ya hoja.

Kasyabone ni watu wa Rungwe hao, no wonder anamtetea mtu wa kwao.
pole sana kwa cunclude sivyo.
Badala ya kuja na data zake, yeye anakuja kuendeleza umbeya ule ule. Dr kahangaika kweli kweli kutafuta madudu ya Mwakalinga na mpaka sasa kashindwa, (una uhakika kuwa ni DR)
ndio maana wanahangaika na sababu za Mwakalinga kuondoka SUA miaka zaidi ya 20 iliyopita. kwani uongo
Leteni hoja juu ya hawa fahari wawili watawezaje kuisaidia Kyela kupambana na ujinga, maradhi na umaskini? Tunajua Mwakalinga sio mbunge lakini kafanya juhudi kubwa kusaidi mashule kwenye ujenzi na vifaa kwa zaidi ya miaka 20 sasa, na pia anatoa ajira kwa vijana. Je Mwakyembe kaifanyia nini Kyela miaka yake yote toka anapata ajira?
hivi mwakalinga naye ni fahari? kwa nani? ajira kakupa wewe? hivi unafikiri msaada ni kuongeza umaskini ua kuondoa umaskini? nipe data katoa nini na wapi na lini? Nitawajibu wote kesho wewe na mwenzio engineer. mnahitaji majibu marefu kidogo kwani inawezekana tuwambie tunahitaji kyela gani? pia tujalibu kupima impact za msaada mnaofikiri mwakalinga katoa. umeisaidiaje kyela kwa ujumla? umeleta mabadiliko gani katika maisha ya wanakyela na kwa taifa kiujumla. mwakyembe ni mtu muhimu kwa taifa ni si kwa kyela tu. kupambana na mtu huyu ni kupoteza mda. basi tujiulize mwakalinga kafanya nini kwa taifa? hili ni swali muhimu sana.ebu fuatilieni historia ya mwakyembe katika taifa hili na si kwa kyela tu kama unavyojibana kufikiri ili uendeleze mapambano yasio na maana. taifa mbele.
angalia maono aliyonayo mwakyembe juu ya kyela na angalieni ya mwakalinga. basi kama utatumia akili vizuri utangundua mtu anayeweza kufanya mabadiliko kyela ni mwakyembe. na si kijana mwakalinga. nataraji kuwaeleza mengi kesho. lakini ninacho shauri ni kuangalia haya mambo kwa mapana zaidi na kuweka na kuweka pembeni ushabiki.
kasyabone said:Kasyabone ni watu wa Rungwe hao, no wonder anamtetea mtu wa kwao.

Mijitu yenye wivu wa kijinga utaiona tu, kazi yao kukimbilia failure moja katika mafanikio 100. Hata kama huyo Mwakalinga ange disco kama unavosema, je hapo alipo sasa amefikaje? Unajua watu wapenda maendeleo wanaangalia yule kafanikiwa vipi ili na wenyewe waige. Mijitu yenye wivu inaangalia yule aliwahi kuteleza wapi ili wacheke na kuridhisha nyoyo zao zilizojaa wivu.
kitu kinacho nisikitisha ni kuwa mzee unafikia kwenye conclusion kirahisi sana. Bila ya kufikiri kwa undani, unaonekana ni mvivu wa kufikiri. Sasa hilo ni tatizo kubwa kidogo najitahidi niwe mpole nikueleweshe atimaye naamini utaelewa tu. Unaposema wivu wa kijinga unamaanisha nini? Wewe mafanikio kwako ni nini? Halafu failure ni nini kwa definition yako? Mijitu ni nini?. Jaribu kuiga uone.
Je nyie ambao hamkudisco mafanikio yenu yako wapi? mmeifanyia nini Kyela na familia zenu zaidi ya kuishia kuogopa hata kurudi kuendeleza kwenu? Huu mji wenu ulikuwa umejaa Wakinga wenye nacho wakati wenyeji wanazagaa tu mjini. Akina Mwakalinga wameuchangamsha, nyie mnaanza kuona wivu.
Mzee kipimo cha mafanikio ni nini kwa mtazamo wako? Na mji kuchamshwa unamaanisha nini? Mimi mtazamo wangu upo mbali zaidi ya unavyofikiri wewe nitakueleza. Hivi wakinga sio watanzania. Hio tabia ya ukabila wa ajabu unautoa wapi tanzania hii? Umehesabu wakinyakyusa wangapi wako ukingani. Acha hizo sisi tumehama kwenye ukabila tupo kwenye utaifa zaidi. Sasa mtanzania anaeongelea ukabila leo hii inaonekana bado uko nyuma sana. Watanzania wengi wameachwa na dunia. Lakini mwenzangu inaonekana umeachwa na tanzania. Badili mtizamo hii si wakati wa ukabila.
Mbona huyo mbunge wako aliyekutuma uje ubwabwaje hapa alichemsha form six akaishia kwenda chuo cha uandishi wa habari badala ya UDSM? Je mafanikio yake ya elimu kwasasa tuyapuuze kwasababu tu hakufanya vizuri form six?
Tupe data katika hili hivi ni kweli kuwa Dr harison mwakyembe aliishia chuo cha uandishi wa habari badala ya UDSM? Hivi ndivyo mnavyodanganya watu huko, kwa kifupi mwakyembe amesoma chuo cha uandishi wa habari ambacho ni chuo kikuu cha dar es salaam, (IJMC). Sasa mzee hivi kuna haja ya kuendelea maana hapa inaonekana hujui hata IJMC kuwa ni sehemu ya UDSM. Uzuri wa jf ni pamoja na watu kupata elimu daka hilo halafu uwafundishe na wenzio.
Kama Mwakalinga ni msanii,basi nchi hii imejaa wasanii kwa asilimia 99.( usiconclude kirahisi hivi) Inaelekea hata Kyela hukai na nafikiri ndio wale wale mliosoma na kupata elimu nzuri kupitia Kyela na sasa mmekimbilia mijini na mnakuja kwenu kama watalii.
( hapa ndio ipo kazi).
Unaanza hata kuona Mwanjala kwenda na JK USA ni deal kubwa la kuliwekea jungu? Kama hujui kila mfanyabiashara anayeongozana na hawa viongozi huwa amepata hiyo nafasi kwasababu moja ama nyingine( zipi zitaje). Lazima umheshimu huyo Mwanjala, maana hajasoma kama nyie wengine lakini ana mafanikio kwenye biashara zake anazozifanya. Sisi huku wilayani tunawaona akina Mwanjala kama watu wa kuwaiga, watu waliohangaika kwa kuchapa kazi mpaka wakafika wlipofikia. ( usipende sana kuiga tumia akili yako kufiri)
Sasa wewe msomi mwenzetu una mafanikio gani hata kwenye kazi yako? Nyie ndio mmeua mashirika yetu na utendaji wenu hata serikalini mbovu kabisa. (hizi ni tuhuma ambazo inatakiwa uwe na usibitisho na si kulopoka tu)
Tunatamani kuiona kyela iliyonawili kwa maendeleo ya kila nyanja, ikiwamo elimu, afya, biashara, viwanda, miundo mbinu na kilimo. Haya yote ni mchakato wa muda mrefu ni si kitu cha miaka mitano. Sasa kwa mtu anayeweza kujaji kwa miaka mitano ni lazima ajiulize kuwa tumefika wapi? Na tumetoka wapi?
Na kufikiri njia zipi zitumike kujenga kyela yetu na kujenga taifa letu. Kwanza tuelewe kuendelea kwa tanzania ni kwendelea kwa kyela kwa kuwa kyela ni sehemu ya tanzania. Ikiwa kuna kikwazo cha maendeleo katika tanzania basi moja kwa moja kinaathiri kyela kama sehemu ya tanzania. Kwa hiyo mapambano dhidi ya mafisadi ni mapambano yanayowaunganisha watanzania wanaopenda tanzania yao bila kujali kabila na mahali mtu unapotoka. Sasa mapambano haya hata wewe kama unaipenda nchi yako yanakuhusu.
Maendeleo bado ni mchakato si suala la usiku mmoja. Sasa tunapofikiria maendeleo ya sehemu yoyote ile tutazame kwa upeo mkubwa na si kwa upande wa kuchangamsha mji.
Sasa kwa upande wa elimu hatua tuliyopo si mbaya sana. Tulikuwa na shule chache mno za sekondari lakini leo hii tuna shule nyingi (hapa ubora wa elimu ni tatizo la nchi nzima). Leo hii tunashuhudia wanafunzi wa darasa la saba wanafaulu wote kujiunga na sekondari. Zamani hali ilikuwa ni katika wilaya nzima wanaweza wakafaulu watu 30 tu kujiunga na sekondari, kuna shule zinaweza zisitoe hata mwanafunzi mmoja. Sasa leo hii kuna mikakati ya kuanzisha shule ya form six na five. Sijajua wewe na huyo mwakalinga mnashiriki vipi katika elimu maana hatuwaoni kabisa?
Katika kipindi hiki tunahitaji mtu aliyejasali kwa kuweza kuongoza mabadiliko haya, mtu mwenye elimu nzuri, ambaye anaweza akasimamia na kukemea ufisadi ambao umekithiri na umekuwa kikwazo cha maendeleo katika mji wetu. Pia tunahitaji mtu anayesikiliza watu, ninakumbuka mkutano mmoja wa mwakyembe sijawahi ona kyela ikiwa na uhuru kiasi kile. Watu walijieleza kwa mbunge wao akawasikiliza na kuwajibu na kuwalinda kuwa yeyote atakaewashughulia wananchi kwa kusema ukweli kwake atawapeleka mahakamani. Aliwalinda wananchi kwa kutumia uanasheria wake.( hapa muulize sata hapo kyela stendi atakupa story) Je mwakalinga atayaweza haya? Ni suala la kujiuliza kabla ujaingia na ushabiki badala ya hoja. Hapa usije na ishu eti mwakalinga kajenga ukumbi sasa eti hayo ndio maendeleo. Tatizo la wananchi si ukumbi bwana. Wananchi wanahamu na mabadiliko hususani kielimu, kiafya. N.k
Msije mkafikiri kyela haina wasomi wa kugombea, mkadhani eti watu hakuna ndio maana hawatokei kupingana na mwakyembe. Kwa sasa hakuna sababu ya kupambana na harrisoni, sasa ni muda wa kujenga kyela. Na ndio maana wote wemetulia tuli kuangalia na kusapoti jitihada za maendeleo baada ya kuleta upinzani. Sisi na watanzania wanayoitakia mema tanzania na kyela tunamuunga mkono mwakyembe na we will never fail.
Wewe huijui Kyela, kaa kimya. Wengi wanaopiga kelele kuhusu Mwakyembe hapa sio watu wa Kyela. Hawana uchungu na Kyela zaidi ya kuwa na mtu wa kupigana na akina RA.
Ni kweli Mwakyembe ni jina kubwa kitaifa lakini Kyela tunahitaji mbunge wa Kyela; wa kutatua matatizo ya Kyela.
Mwakyembe kapewa miaka mitano na kashindwa kufanya mabadiliko yoyote Kyela. Alikuwa mbunge wa East Africa na alishindwa hata kusaidia vijana wasome shule, ni mabadiliko gani hayo unayoyaongelea?
Mbunge gani huyo anaenda kununua kisu dukani ili amsingizie kijana kwamba alitaka kumwua?
Wewe huijui Kyela, kaa kimya. Wengi wanaopiga kelele kuhusu Mwakyembe hapa sio watu wa Kyela. Hawana uchungu na Kyela zaidi ya kuwa na mtu wa kupigana na akina RA.
mzee hii ni dalili ya kushindwa, mmeisha shindwa. sasa mnataka kujifanya nyie ndio wenye kyela. eti mnauchungu na kyela. mngekuwa na uchungu mungemuunga mkono mwakyembe. hivi unataka fadhila za mafisadi nini? endelea watakuona, japo ukweli ni kuwa hamtashinda kamwe. hata mwakyembe wakati anagombea mwakipesile alisema eti ni wa tukuyu lakini mwisho wake muliuona, sihitaji kukusimulia.
Ni kweli Mwakyembe ni jina kubwa kitaifa lakini Kyela tunahitaji mbunge wa Kyela; wa kutatua matatizo ya Kyela.
sawa bwana nashukuru kuwa pamoja na kupambana na mwakyembe sasa umeanza kuelewa. japo bado uelewi kuwa mwakyembe ni mbunge wa kyela. pia bado ujui kuwa kyelam ni wilaya katika taifa la tanzania.sasa maendeleo unayotaka ni kujenga ukumbi maana haueleweki. yaani kama tutajenga shule si maendeleo. ila kuajili watu vibarua ndio maendeleo.
Mwakyembe kapewa miaka mitano na kashindwa kufanya mabadiliko yoyote Kyela.
wewe unataka afanye nini?akupatie kibarua.maana kama huoni maendeleo kyela basi haupo kyela na wala huijui kyela. sisi tumesoma kyela tumekulia kyela. kyela ya mwakipesile na kyela ya mwakyembe kuna mabadiliko makubwa sana hususani katika elimu. na bado mambo yanakyenda safi. halafu maendeleo ya miaka mitano labda kama ni kujenga nyumba. tatizo unaangalia maendeleo kama mabadiliko ya miaka michache tu. maendeleo ni process ndefu.
Alikuwa mbunge wa East Africa na alishindwa hata kusaidia vijana wasome shule, ni mabadiliko gani hayo unayoyaongelea?
sasa mbunge wa EA unataka asomeshe vijana wapi? sasa si ungemwambia mwakipesile angejenga shule. sikuelewi!!!. kuna uhusiano gani kati ya ubunge wa EA na kusomesha vijana kyela.
Mbunge gani huyo anaenda kununua kisu dukani ili amsingizie kijana kwamba alitaka kumwua?
ulimwona alinunua kisu wapi? ebu tuletee ushahidi.
nyinyi bwana ni watu wa kubeza tu maendeleo na kujifanya mnaweza na mwakalinga wako. huo ni usanii tu. hamna lolote zaidi ya kujikweza tu. nyinyi mnasema mwakyembe ajaleta maendeleo mnalinganisha ni kipindi kipi kilichopita? au mnalinganisha na mawazo yenu ya kichwani. tuambie nani alifanya nini zaidi ya mwakyembe kyela. lakini msimlinganishe mwakyembe na mwakalinga. hawafanani kabisa. kwanza mwakalinga amewahi kuwa mbunge kyela? sasa utalinganishaje mbunge na mtu ambaye hajawahi kuwa hata katibu kata?
angalia maono aliyonayo mwakyembe juu ya kyela na angalieni ya mwakalinga. basi kama utatumia akili vizuri utangundua mtu anayeweza kufanya mabadiliko kyela ni mwakyembe. na si kijana mwakalinga. nataraji kuwaeleza mengi kesho. lakini ninacho shauri ni kuangalia haya mambo kwa mapana zaidi na kuweka na kuweka pembeni ushabiki.
Tunatamani kuiona kyela iliyonawili kwa maendeleo ya kila nyanja, ikiwamo elimu, afya, biashara, viwanda, miundo mbinu na kilimo. Haya yote ni mchakato wa muda mrefu ni si kitu cha miaka mitano. Sasa kwa mtu anayeweza kujaji kwa miaka mitano ni lazima ajiulize kuwa tumefika wapi? Na tumetoka wapi?
Na kufikiri njia zipi zitumike kujenga kyela yetu na kujenga taifa letu. Kwanza tuelewe kuendelea kwa tanzania ni kwendelea kwa kyela kwa kuwa kyela ni sehemu ya tanzania. Ikiwa kuna kikwazo cha maendeleo katika tanzania basi moja kwa moja kinaathiri kyela kama sehemu ya tanzania. Kwa hiyo mapambano dhidi ya mafisadi ni mapambano yanayowaunganisha watanzania wanaopenda tanzania yao bila kujali kabila na mahali mtu unapotoka. Sasa mapambano haya hata wewe kama unaipenda nchi yako yanakuhusu.
Maendeleo bado ni mchakato si suala la usiku mmoja. Sasa tunapofikiria maendeleo ya sehemu yoyote ile tutazame kwa upeo mkubwa na si kwa upande wa kuchangamsha mji.
Sasa kwa upande wa elimu hatua tuliyopo si mbaya sana. Tulikuwa na shule chache mno za sekondari lakini leo hii tuna shule nyingi (hapa ubora wa elimu ni tatizo la nchi nzima). Leo hii tunashuhudia wanafunzi wa darasa la saba wanafaulu wote kujiunga na sekondari. Zamani hali ilikuwa ni katika wilaya nzima wanaweza wakafaulu watu 30 tu kujiunga na sekondari, kuna shule zinaweza zisitoe hata mwanafunzi mmoja. Sasa leo hii kuna mikakati ya kuanzisha shule ya form six na five. Sijajua wewe na huyo mwakalinga mnashiriki vipi katika elimu maana hatuwaoni kabisa?
Katika kipindi hiki tunahitaji mtu aliyejasali kwa kuweza kuongoza mabadiliko haya, mtu mwenye elimu nzuri, ambaye anaweza akasimamia na kukemea ufisadi ambao umekithiri na umekuwa kikwazo cha maendeleo katika mji wetu. Pia tunahitaji mtu anayesikiliza watu, ninakumbuka mkutano mmoja wa mwakyembe sijawahi ona kyela ikiwa na uhuru kiasi kile. Watu walijieleza kwa mbunge wao akawasikiliza na kuwajibu na kuwalinda kuwa yeyote atakaewashughulia wananchi kwa kusema ukweli kwake atawapeleka mahakamani. Aliwalinda wananchi kwa kutumia uanasheria wake.( hapa muulize sata hapo kyela stendi atakupa story) Je mwakalinga atayaweza haya? Ni suala la kujiuliza kabla ujaingia na ushabiki badala ya hoja. Hapa usije na ishu eti mwakalinga kajenga ukumbi sasa eti hayo ndio maendeleo. Tatizo la wananchi si ukumbi bwana. Wananchi wanahamu na mabadiliko hususani kielimu, kiafya. N.k
Msije mkafikiri kyela haina wasomi wa kugombea, mkadhani eti watu hakuna ndio maana hawatokei kupingana na mwakyembe. Kwa sasa hakuna sababu ya kupambana na harrisoni, sasa ni muda wa kujenga kyela. Na ndio maana wote wemetulia tuli kuangalia na kusapoti jitihada za maendeleo baada ya kuleta upinzani. Sisi na watanzania wanayoitakia mema tanzania na kyela tunamuunga mkono mwakyembe na we will never fail.
wewe unataka afanye nini?akupatie kibarua.maana kama huoni maendeleo kyela basi haupo kyela na wala huijui kyela. sisi tumesoma kyela tumekulia kyela. kyela ya mwakipesile na kyela ya mwakyembe kuna mabadiliko makubwa sana hususani katika elimu. na bado mambo yanakyenda safi. halafu maendeleo ya miaka mitano labda kama ni kujenga nyumba. tatizo unaangalia maendeleo kama mabadiliko ya miaka michache tu. maendeleo ni process ndefu.
ulimwona alinunua kisu wapi? ebu tuletee ushahidi.
nyinyi bwana ni watu wa kubeza tu maendeleo na kujifanya mnaweza na mwakalinga wako. huo ni usanii tu. hamna lolote zaidi ya kujikweza tu. nyinyi mnasema mwakyembe ajaleta maendeleo mnalinganisha ni kipindi kipi kilichopita? au mnalinganisha na mawazo yenu ya kichwani. tuambie nani alifanya nini zaidi ya mwakyembe kyela. lakini msimlinganishe mwakyembe na mwakalinga. hawafanani kabisa. kwanza mwakalinga amewahi kuwa mbunge kyela? sasa utalinganishaje mbunge na mtu ambaye hajawahi kuwa hata katibu kata?
Huyu kijana jana aliandika huu ujumbe.
Nikawa na hamu leo ya kuelewa nini ataandika leo. Leo nakuta huu ujumbe.
Yaani nikisoma hapo juu nina uhakika kabisa huyu mwaandishi ni nani. mwandishi nani ?acheni hisia Mhandisi na wengine, huyu dogo ni mbishi kama dagaa.
UBISHI NI KUTO KUWAUNGA MKONO? Hata mfanyenye hamtamuweza. ni kweli maana hamna jipya zaidi ya kupakaza uongo.
Sanasana atakuja hapa kwa jina jingine na kuanza kudai mie ana/ni/wafahamu na atamwaga data zangu/zenu hapa. NDIO TABIA YENU AU NI UTABIRI? MNAOGOPA HAKUNA DATA ZENU KWANI NYIE MNAHUSIKA NINI? HAPA TUNAJADILIANA NA SI KUMWAGA DATA ZENU vipi mbona uoga hivyo. sasa kufikia kubashiri huyu ni nani huko ni mbali sana. hapa hakuna mtu anayetaka kumfahamu mwenzie ni nani. cha muhimu ni mjadala. sasa kufika huko mnakokwenda nafikiri tuhitimishe maana mnaweza kuungana na mafisadi mkaanza kutafuta mchawi nani? baada ya kushindwa kwenu na mkasulubu watu kwa hisia zenu. maana tunawafahamu kwa nyama nyie. poleni sana. hizi hisia ndio chanzo cha kuharibu amani. kuanza kuhisi ni hatari. mimi mbona sijawahisi ninyi ni nani? hapa nahisi mna lenu jambo. haya tutakutana baada ya kupiga kura za maoni kyela.
Fanya homework yako vizuri. Yaani umeshindwa hata kitu kimoja kuandika alichofanya Mwakyembe zaidi ya kuzunguka kichaka. Kama elimu na shule, hizo si shule za Lowassa?
HAPA KIDOGO UNAELEWEKA. sasa kama ni shule za lowasa. huyo lowasa alikuwepo kyela. na hela zilizochangishwa pale dar es salaam unajua zilifanya nini katika shule hizo? au hujui hata shule zimejengwaje? sasa fuatilia vizuri, na ukipata majibu haya utaonekana unaijua kweli kyela. na si kuja na majibu ya general kama yako et za lowasa. lowasa alikuja kujenga shule?
Sitaki kukupa pressure kwa sasa. Ila data za Mwakyembe zipo na zinasubiri muda mwanana ufike. mikwala ya mbu hii nje ya chandarua.
Kama Mwakyembe angelikuwa MKALI kama unavyomsema, kwa nini unahaha sasa? mzee huku si kuhaha ni kuondoa wale watu ambao ni waongo na wazushi ili tupate neutral point.
Hivi unafikiri kukiwa na mechi katika ya Taifa Star na Brazil, wachezaji gani hawatalala? ( hapa sasa umechemsha sana , unataka kusema kuwa TIMU KALI DUNIANI HAITALALA KWA TIMU AMBAYO NI YA 93 DUNIANI) KUMBE NDIO MAANA MNAFANANISHA MTU AMBAE HAJAWAHI HATA KUWA MJUMBE WA NYUMBA KUMI NA MWAKYEMBE ALIYEKAMILIKA KILA IDARA KISHULE, KIUNGOZI, KUJIAMINI NA KIUPEO) TATIZO NI KUBWA SANA.
Je kama ni final kati ya German na Argentina, nani watalala? ( HAPA KIDOGO UKO KWENYE POINT hawa unaweza ukafananisha)
Wapambe wa Mwakyembe msiwe na wasiwasi kama mnavyosema ni kweli kuwa Mwakyembe kafanya mengi Kyela. ( HATA KWA TAIFA PIA)
Yeye ni shujaa wa Taifa na Kyela ikiwa sehemu sasa kwa nini mnahema kama MJUSI aliyebanwa mlangoni? Mechi nzito siyo? ( HII NI TAFSIRI YAKO)
HIVI UNAWEZA KUFANANISHA MBUZI MIA NA NGOMBE MIA? MPAKA UUZE ZOTE HALAFU PESA ULIZOPATA UNAWEZA KUZILINGANISHA ZIPI NI NYINGI. bye