Njilembera
JF-Expert Member
- May 10, 2008
- 1,496
- 607
Arusha hali sii shwari kwa huyo Mama Batilda. Kwanza hakusoma alama za nyakati , pili aliye nyuma yake anafahamika..Ni EL . Kwamba ni Mzanzibar,na kwamba alikuwa Waziri wa Mzingira kwa miaka mitano akashindwa kuisadia Arusha hadi ikabaki chafu kuliko miji yote huku kaskazini ndio nyimbo za Waarusha.
Nilimweka juu sana kwenye chati huyu mama, yaani nilimwona bora kuliko wagombea wengine wote wa CCM, kama ni hivyo basi CCM imetoka! PdD bado hajiamini anamtaka EL na hata kale kamdahalo akakaogopa! Puhhhhhhhhhh
Upinzani wanapaswa watafute saasa mkakati wa pamoja wammalize CCM. Imagine wanaachiana sasa!