Nao wanaishia kulalamika tuuu? kama JK na Pinda wanavolalamika hata ktk mambo ambayo ungetegemea watoe directives? basi mbombo ngafu!
Unajua sababu yake? Ni kwa sababu wavunjaji wakubwa wa sheria na kanuni na chama cha magamba. Ingekuwa ni CDm hatua kali zingechukuliwa dhidi yao.
kama vile akina Kasulumbai na wenzake kushitakiwa na polisi kwa kumvua hijab Dc, wakati wafuasi wa CCM wanawapiga hati mahututi wafuasi wa upinzani lakini hata hawakamatwi.
Sio CCM jamani.............hi hawa!!Kama viongozi wenye mamlaka nao wanalalamika nani sasa afanye maamuzi...
tupe source kaka! ina maana hivyo vitisho polisi na jeshi watakuwa wapi?