Siasa za CHADEMA hatimaye zaanza kutuchosha wanachama

CCM ilipomvua uanachama yule mbunge aliyetofautiana na chama juu ya muundo wa serikali mchakato wa katiba mpya,CDM hawakupiga kelele kabisa ingawa alionewa waziwazi. Hili la ZZk anakiuka taratibu za chama kweupe.CCM mnapiga kelele(Mnashinikiza asifukuzwe). Mnataka CDM wafanye maamuzi mnayoyataka nyinyi,ila sijaona CDM wakiingilia mambo yenu ya ndani ya chama. Dalili ya kufilisika kisiasa hii.

zzk avuliwe uanachama full stop
 
Taratiibu sumu za ZZK zinaanza kutuingia baadhi ya wanachama na kuanza kuamini huenda zzk katengenezewa zengwe ndani ya chama.

Wote tunaona harakati za huyu mtu,kwa harakaharaka tunaweza kudharau lakin anazidi kuongeza wafuasi,kwa walioangalia habari ya star tv mtaungana na mimi kuwa zzk anazidi kuongeza iman ya wanachama juu yake.

Suala hili hakika litakigharimu sana chama kwa kuleta mgawanyiko mkubwa wa chama usio walazima.

Binafsi naweza kusema Huenda CC ya chama ilikurupuka kufanya maamuzi ndo maana ina kigugumizi kuweka hitimisho la sinema hii.

Wanachama wanaelekea kuchoka kutokana na ukimya wa uongozi wa chama huku upande wa pili ukizidi kutumia nafasi hii kujiimarisha zaidi.

Binafsi siasa za chadema zimeanza kunichosha maneno mengi bila vitendo.

Huwezi kua mfuasi wa chama ww kama ni kigeugeu..taasisi kama chadema haiwezi kupelekwa na upepo,vikao kila kitu..na sasa hivi watu wako bungeni...tuliza soka uwanja mpana baba
 
Tumechoka Kweli Mtoe Maamuzi Tujue Hatma Yetu Ndani Ya Chadema Maanaake 2015, Ina Karibia
 
Kuna wanaCCM wengi tu na baadhi ya wanaCDM wasiojielewa wanaomsupport.

Sasa kama unamuona anafaa, kwa nini na wewe usijiunge na hao wengine kuwa mfuasi wake ?

Taratiibu sumu za ZZK zinaanza kutuingia baadhi ya wanachama na kuanza kuamini huenda zzk katengenezewa zengwe ndani ya chama.

Wote tunaona harakati za huyu mtu,kwa harakaharaka tunaweza kudharau lakin anazidi kuongeza wafuasi,kwa walioangalia habari ya star tv mtaungana na mimi kuwa zzk anazidi kuongeza iman ya wanachama juu yake.

Suala hili hakika litakigharimu sana chama kwa kuleta mgawanyiko mkubwa wa chama usio walazima.

Binafsi naweza kusema Huenda CC ya chama ilikurupuka kufanya maamuzi ndo maana ina kigugumizi kuweka hitimisho la sinema hii.

Wanachama wanaelekea kuchoka kutokana na ukimya wa uongozi wa chama huku upande wa pili ukizidi kutumia nafasi hii kujiimarisha zaidi.

Binafsi siasa za chadema zimeanza kunichosha maneno mengi bila vitendo.
 
Taratiibu sumu za ZZK zinaanza kutuingia baadhi ya wanachama na kuanza kuamini huenda zzk katengenezewa zengwe ndani ya chama.

Wote tunaona harakati za huyu mtu,kwa harakaharaka tunaweza kudharau lakin anazidi kuongeza wafuasi,kwa walioangalia habari ya star tv mtaungana na mimi kuwa zzk anazidi kuongeza iman ya wanachama juu yake.

Suala hili hakika litakigharimu sana chama kwa kuleta mgawanyiko mkubwa wa chama usio walazima.

Binafsi naweza kusema Huenda CC ya chama ilikurupuka kufanya maamuzi ndo maana ina kigugumizi kuweka hitimisho la sinema hii.

Wanachama wanaelekea kuchoka kutokana na ukimya wa uongozi wa chama huku upande wa pili ukizidi kutumia nafasi hii kujiimarisha zaidi.

Binafsi siasa za chadema zimeanza kunichosha maneno mengi bila vitendo.

Wewe Mwanachama mwenye Kadi No. ngapi?
 
Huyu mtu ZZK ni kama hajitambui au anajiona anajua saana!!
Amesahau kuwa MaCCM wanamlipa kuvuruga chama!!
Mashabiki wake hawalioni hilo;
Kapewa fedha Bank CRDB Tshs 250,000,000/"
kwa kazi gani kama sio usaliti???
Kahamishia fedha kwa bibi yake Ujerumani ili zimrudie kwa kificho, ili ahonge watu wake, risiti imetajwa!!
M-Pesa ACCT zilizo tuma ziko wazi.
Sasa MaCCM wanamwandalia mikutano kubomoa chama, watu
wanashindwa kuelewa kwa vile ni
Covert opps za TISS the hiden arm of CCM!!
Nadhani sasa tufike mwisho, hili swala la ZZK liishe tufanye mengine ya kujenga chama cha Ukombozi wa WaTZ!!
 
Hatuna mwana chadema mwenye akili kama zako acha kujikomba wewe gamba.

we ni aina ya wanaCDM mizigo kabisa kupata kutokea, unadhan watu wote wana akili fupi kama zako - wengine tupo huru kuhoji.
maneno ya slaa au mbowe sio msahafu.....kwenye mapungufu LAZIMA tupaze sauti, we meza tu kila kitu kama kilivyo!!
 
Huyu mtu ZZK ni kama hajitambui au anajiona anajua saana!!
Amesahau kuwa MaCCM wanamlipa kuvuruga chama!!
Mashabiki wake hawalioni hilo;
Kapewa fedha Bank CRDB Tshs 250,000,000/"
kwa kazi gani kama sio usaliti???
Kahamishia fedha kwa bibi yake Ujerumani ili zimrudie kwa kificho, ili ahonge watu wake, risiti imetajwa!!
M-Pesa ACCT zilizo tuma ziko wazi.
Sasa MaCCM wanamwandalia mikutano kubomoa chama, watu
wanashindwa kuelewa kwa vile ni
Covert opps za TISS the hiden arm of CCM!!
Nadhani sasa tufike mwisho, hili swala la ZZK liishe tufanye mengine ya kujenga chama cha Ukombozi wa WaTZ!!

mkuu hapa uko jf great thinkers usituletee maneno ya 'nimeambiwa''nimeskia' wala 'imetajwa'!!! - tuwekee hapa ushahidi na vielelezo vyote ili sote tumuhukumu zito kwa haki.
kumbuka wanaCDM wengine tupo huru, hivyo tunahoji hatutaki uonevu kwa yeyote ndani ya chama.
 
zikishaisha kikao cha kk kitaitishwa na kujadili barua za utetezi wa wasaliti....na kutolea ufafanuzi hivyo siyo haraka kama unavyotaka tuamini...ila tunamfukuza..

tatizo lenu nyie pro lema akina molemo, arushaone na misukule mingine ni chuki tu kwa zito haswa kwa kuona mtu wenu ni kilaza tena kwambali ukimlinganisha na zito......msiwe na chuki na zito,uwezo wake wa kujenga hoja na kuitetea ni kipaji tu kutoka kwa Mungu.
lema kamwe hawezi na hatakuwa na uwezo wakuibua hoja yoyote binafsi (ndo kipaji alichonyimwa)- yuko bungeni kuvizia mitafaruku tu ili asikike!
 
Taratiibu sumu za ZZK zinaanza kutuingia baadhi ya wanachama na kuanza kuamini huenda zzk katengenezewa zengwe ndani ya chama.

Wote tunaona harakati za huyu mtu,kwa harakaharaka tunaweza kudharau lakin anazidi kuongeza wafuasi,kwa walioangalia habari ya star tv mtaungana na mimi kuwa zzk anazidi kuongeza iman ya wanachama juu yake.

Suala hili hakika litakigharimu sana chama kwa kuleta mgawanyiko mkubwa wa chama usio walazima.

Binafsi naweza kusema Huenda CC ya chama ilikurupuka kufanya maamuzi ndo maana ina kigugumizi kuweka hitimisho la sinema hii.

Wanachama wanaelekea kuchoka kutokana na ukimya wa uongozi wa chama huku upande wa pili ukizidi kutumia nafasi hii kujiimarisha zaidi.

Binafsi siasa za chadema zimeanza kunichosha maneno mengi bila vitendo.

siasa za kukomoana na ubabe ndizo zinazotawala afrika,chukulia mfano wa south sudan na kinachoendelea sasa kule
 
Taratiibu sumu za ZZK zinaanza kutuingia baadhi ya wanachama na kuanza kuamini huenda zzk katengenezewa zengwe ndani ya chama.

Wote tunaona harakati za huyu mtu,kwa harakaharaka tunaweza kudharau lakin anazidi kuongeza wafuasi,kwa walioangalia habari ya star tv mtaungana na mimi kuwa zzk anazidi kuongeza iman ya wanachama juu yake.

Suala hili hakika litakigharimu sana chama kwa kuleta mgawanyiko mkubwa wa chama usio walazima.

Binafsi naweza kusema Huenda CC ya chama ilikurupuka kufanya maamuzi ndo maana ina kigugumizi kuweka hitimisho la sinema hii.

Wanachama wanaelekea kuchoka kutokana na ukimya wa uongozi wa chama huku upande wa pili ukizidi kutumia nafasi hii kujiimarisha zaidi.

Binafsi siasa za chadema zimeanza kunichosha maneno mengi bila vitendo.

Umechoshwa na Zitto au Chadema??Utataka maamuzi gani tena?si kavuliwa nyadhifa zote za uongozi chamani!!!Pia kapewa siku 14 za kujieleza na amejieleza pia.Kinachosubiriwa sasa ni Baraza kuu la chama.Ila kwa hichi anachoendelea nacho Zitto,sioni dalili zozote kama atapona,nadhani ATAFUKUZWA uanachama tu.Watu hawapendi ujinga na utoto!
 
Fikiri kwanza tutusa ww....cdm wamepoteza uaminifu kwa wanachama.....zaidi ni majungu na futina....njaa kali kwa viongozi.
 
Mwingineeeeeeee mmoja mmoja ndio mpangooo mwisho watabaki wamilik wenyeweewe
 
gastone unajifanya juha, mbona hukuhoji hiyo ripoti iliyoletwa hapa JF na vielelezo???
Huyo mtu wako hana pa kutokea kanasa kwenye tope la ufisadi, kuondoka ni lazima!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom