Fungo N.
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 252
- 43
Taratiibu sumu za ZZK zinaanza kutuingia baadhi ya wanachama na kuanza kuamini huenda zzk katengenezewa zengwe ndani ya chama.
Wote tunaona harakati za huyu mtu,kwa harakaharaka tunaweza kudharau lakin anazidi kuongeza wafuasi,kwa walioangalia habari ya star tv mtaungana na mimi kuwa zzk anazidi kuongeza iman ya wanachama juu yake.
Suala hili hakika litakigharimu sana chama kwa kuleta mgawanyiko mkubwa wa chama usio walazima.
Binafsi naweza kusema Huenda CC ya chama ilikurupuka kufanya maamuzi ndo maana ina kigugumizi kuweka hitimisho la sinema hii.
Wanachama wanaelekea kuchoka kutokana na ukimya wa uongozi wa chama huku upande wa pili ukizidi kutumia nafasi hii kujiimarisha zaidi.
Binafsi siasa za chadema zimeanza kunichosha maneno mengi bila vitendo.