Ninakuamini mkuu. Ingawa najua unakwazwa sana na watu wanao jiingiza kwenye mijadala kwa nia ya kuvuruga na kuharibu heshima ya Jukwaa. Hapo zamani watu walitumia JF kuwasaidia katika research zao na kufanikiwa sana na walirudi humu na kutoa shukrani, ila baada ya hawa wachangiaji wa ajira kujazana humu mambo yameharibika.
Taratiibu sumu za ZZK zinaanza kutuingia baadhi ya wanachama na kuanza kuamini huenda zzk katengenezewa zengwe ndani ya chama.
Wote tunaona harakati za huyu mtu,kwa harakaharaka tunaweza kudharau lakin anazidi kuongeza wafuasi,kwa walioangalia habari ya star tv mtaungana na mimi kuwa zzk anazidi kuongeza iman ya wanachama juu yake.
Suala hili hakika litakigharimu sana chama kwa kuleta mgawanyiko mkubwa wa chama usio walazima.
Binafsi naweza kusema Huenda CC ya chama ilikurupuka kufanya maamuzi ndo maana ina kigugumizi kuweka hitimisho la sinema hii.
Wanachama wanaelekea kuchoka kutokana na ukimya wa uongozi wa chama huku upande wa pili ukizidi kutumia nafasi hii kujiimarisha zaidi.
Binafsi siasa za chadema zimeanza kunichosha maneno mengi bila vitendo.
sawa mkuu,ila mimi si gamba kama unavyodhani,sijapenda ukimya wa viongozi wangu katika kuhitimisha hili.
Taratiibu sumu za ZZK zinaanza kutuingia baadhi ya wanachama na kuanza kuamini huenda zzk katengenezewa zengwe ndani ya chama.
Wote tunaona harakati za huyu mtu,kwa harakaharaka tunaweza kudharau lakin anazidi kuongeza wafuasi,kwa walioangalia habari ya star tv mtaungana na mimi kuwa zzk anazidi kuongeza iman ya wanachama juu yake.
Suala hili hakika litakigharimu sana chama kwa kuleta mgawanyiko mkubwa wa chama usio walazima.
Binafsi naweza kusema Huenda CC ya chama ilikurupuka kufanya maamuzi ndo maana ina kigugumizi kuweka hitimisho la sinema hii.
Wanachama wanaelekea kuchoka kutokana na ukimya wa uongozi wa chama huku upande wa pili ukizidi kutumia nafasi hii kujiimarisha zaidi.
Binafsi siasa za chadema zimeanza kunichosha maneno mengi bila vitendo.
chadema umu ndani awapendi kushauriwa. ukitoa ushauri wanakuita gamba
Haya bana tumekusikia njoo basi na solution. Tunajua Chadema kuna matatizo tunaomba watu na masuruhisho ya kudumu na si lawama. Tuambieni kama anavyoshauri Mwanakijiji na si kuishia kushtumu na kutukana. Napenda watu wanao jiepusha na neno ukabila, ukanda na udini hao tutasikilizana. Mimi ninachoogopa ni Magamba tu! Kama yanaweza kuiba mbele ya Chadema itkuwaje kama Chadema ikifa. Jibu ni rahisi tu kila abiria/mwananchi kuuzwa ili kila fisadi apate chake!!!! Shame on CCM.Taratiibu sumu za ZZK zinaanza kutuingia baadhi ya wanachama na kuanza kuamini huenda zzk katengenezewa zengwe ndani ya chama.
Wote tunaona harakati za huyu mtu,kwa harakaharaka tunaweza kudharau lakin anazidi kuongeza wafuasi,kwa walioangalia habari ya star tv mtaungana na mimi kuwa zzk anazidi kuongeza iman ya wanachama juu yake.
Suala hili hakika litakigharimu sana chama kwa kuleta mgawanyiko mkubwa wa chama usio walazima.
Binafsi naweza kusema Huenda CC ya chama ilikurupuka kufanya maamuzi ndo maana ina kigugumizi kuweka hitimisho la sinema hii.
Wanachama wanaelekea kuchoka kutokana na ukimya wa uongozi wa chama huku upande wa pili ukizidi kutumia nafasi hii kujiimarisha zaidi.
Binafsi siasa za chadema zimeanza kunichosha maneno mengi bila vitendo.
Mwanachama wa Chadema mwenye nidhamu hawezi kuandika hizi pumba
We hujiamini nini?unakuwa na akili za magamba kwa nini?kama zzk amekubadili licha ya uongo wake mwingi basi hufai kuwa kamanda akili hii ya kurubuniwa na ndume kwa faida zake mwenyewe ni ya kike kike achana nayo.Uongozi wa CDM uko makini we tulia tuu!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Msome hapa Mkuu, haya mambo bwana, inabidi maamuzi yatoke tuone mwisho wake!
Zitto Kabwe
Nitapambana kutetea uanachama wangu. Kwa upinzani ni lazima tufanye tofauti na CCM. Tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za umma kwa upinzani ni mbaya zaidi kuliko. Hivyo uwajibikaji kwa wote bila kujali vyama. Uwajibikaji sio msamiati kwa watawala tu bali kwa viongozi wote. Namna tunavyotaka nchi iendeshwe ndivyo hivyo tuendeshe vyama vyetu. Tuhuma dhidi ya Kiongozi wa Upinzani kuhusu masuala ya uadilifu zinapaswa kuhukumiwa kwa namna ile ile wanayohukumiwa watawala. Ninarudia kuwaambia ndugu zangu kwamba sitoki CHADEMA. Chama kina jasho langu na nitapambana mpaka dakika ya mwisho kutetea haki ya uanachama wangu. Mimi ni CHADEMA toka ujana. Niliingia CHADEMA kwa kuchagua na sio wengine walioingia kwa Mazingira Ya kupata fursa za kugombea. Wengine wangepitishwa na chama walichokuwa kuwa wagombea Leo wasingekuwa upinzani na inawezekana wangekuwa mawaziri mizigo au waendesha operesheni tokomeza
Walitaka atoe maelezo ya utetezi ndani ya siku 14. Siku 14 zimeshapita. Tunaambiwa kuwa barua ya utetezi pia imeshafika kwenye meza ya Katibu Mkuu.Kama hii ndo demokrasia ndani ya chadema basi demokrasia ya namna hii haifai kwa ustawi wa taifa letu "changa".ningekuwa mimi siku nyingi alishapigwa chini.
kimbunga? Mnafiki na msaliti anapaswa kuondolewa mapema kwenye chama,ZK aondolewe haraka chamani