Siasa za CHADEMA hatimaye zaanza kutuchosha wanachama

Chama makini hakilazimishwi kutoa maamuzi yake kwa nguvu ya upepo bali ratiba ya vikao vyake.

Ratiba ya vikao wapi mkuu? Inamaana siku 14 alizopewa haziisha tu.
 
Siku kumi na nne ni kuleta utetezi wao sio kujadiliwa. Mbona mna akili za kitoto? Tatizo nyie vijana mfumo wa kiutendaji wa kitaasisi hamjifunzi kuuelewa ila mnasukumwa na jazba na mihemko ya matukio. Tumaini Makene hebu njoo uwape somo hawa maana ya siku 14 ni nini?
 
Last edited by a moderator:
Vikao vya gongo

Tatizo wewe unachangia JF sio kwa mawazo yako bali ajira. Na mlipa mpiga zumari ndiye anayechagua wimbo. My friend, kama una akili timamu nikuambie jambo moja tuu. WATU WAMEMESHAKUDHARAU HUMU JF KAMA MTU ASIYE UFAHAMU.
Pamoja na kutumia ID isiyokutambulisha,ni kama mtu aliyejinyea hata kama wengine hawajui ila mwenyewe anajisikia aibu. BADILIKENI WAKATI NI HUU.
cc. zumbemkuu Molemo mohamed Mtoi Mchambuzi etc hebu tusaidiane tuwakomboe hawa vijana ili turudi kwenye mijadala badala ya kujaza pumba ndani ya forum hii iliyokuwa na heshima awali.
 
Last edited by a moderator:
zito ni mwanachadema mtiifu mwaminifu tupo nae daima

Mnafiki ni mtu mbaya sana tena ni wakumuogopa zaidi ya kitu chochote kile ',ukae chini ujiulize unayafanya haya kwa maslahi ya nani?? Na si kweli kwamba hujui kilicho fanywa na zitto ndani ya chadema laa! Unakijua na unajua kuwa si kitu chema hata kidogo.lakini kwa vile ume uvaa ushabiki na kujitoa ufahamu na hekima , jiulize unayafanya haya kwa maslahi ya nani?wakati huo kumbuka hali ya taifa hili ilivyo kiuchumi,kielimu,kisiasa nk.na pamoja na hayo yote kizazi chako kijacho ambacho kinategemea maandalizi yako kwa sasa kitanufaika nini na hayo unayo yafanya sasa kiasi cha kukukumbuka kwa wema na mema unayo waandalia sasa?ni kweli ukijifikiria wewe ni ngumu kutambua kama na kizazi chako kitakuwa na fikra na uelewa kama huo ulio nao sasa. Unapo tangulia mbele katika safari na ukawa unaweka miba na kuchimba mashimo kwenye njia baada ya kupita hakika safari kwa walio nyima yako itakuwa ngumu sana na hiyo ita wafanya wachelewe zaidi kutokana na mihangaiko ya kusafisha njia hiyo lakini ukipita na kutoa miba iliyopo katika njia hiyo utakuwa umewarahizishia walio nyuma yako kufika mapema huko waendako na watakushuru sana kwa kazi hiyo, watanzania tutachelewa kupata maendeleo tunayo yatarajia na kuyatamani kuyafikia sababu ya tabia na miendendo yetu wenyewe sababu kilicho kizuri na kilicho kibaya baadhi yetu hatuwezi kuvitofaautisha kwa kutumia akili zetu wenyewe wara nyingi huwa tunasubiri watusemee na sisi tuaze kuunga mkono hata pasipo kujali huyo aliye sema ana uelewa kiasi gani. Mungu ibariki tanzania
 
Chama makini hakilazimishwi kutoa maamuzi yake kwa nguvu ya upepo bali ratiba ya vikao vyake.

jambo kama ni la dharura lishughulikiwe kidharura na si kusubili ratiba ya vikao..wakati hiki kirusi kinaelekea kuwa sugu kwa nin tusikiscan mapema
 
Siku kumi na nne ni kuleta utetezi wao sio kujadiliwa. Mbona mna akili za kitoto? Tatizo nyie vijana mfumo wa kiutendaji wa kitaasisi hamjifunzi kuuelewa ila mnasukumwa na jazba na mihemko ya matukio. Tumaini Makene hebu njoo uwape somo hawa maana ya siku 14 ni nini?

Kosa la ZK na wenzake ni la uhain,kama ndivyo kuna haja gan ya cc ya cdm kuwa wazito kufanya maamuzi kwa mujibu wa katiba?
 
Last edited by a moderator:
Chuki na fitina ndivyo vilitawala maamuzi, walimbambikizia waraka mbalimbali bila kujipanga na sasa nyingine walizikana kama ule wa siri na mwingine waliouanzisha na kuutumia kama msingi wa ulaghai wao hawakujua kama haumuhusishi ZZK moja kwa moja_kila wakitoa tamko na yeye SERENA kama kawa_mwishowe wanamlaumu LISSU kushindwa kuwaongoza vizur kwa kutoa Hukum then ndo ajiteteee ha ha ha ha_sasa wametoka Bungen akina Lema wamejifungia kuanzisha jingine_CC iliyojaa UKANDA watamshinda_Issue ni Baraza Kuu, ndo maana SlAA na MBOWE wanazunguuka kutafuta sympath_ZZK naye anawafuata kufuta nyayo_Uchakachuaji Katiba, Matumizi Mabovu, Chaguzi za Chama, Ufisadi ndan ya Chama
 
kimbunga? Mnafiki na msaliti anapaswa kuondolewa mapema kwenye chama,ZK aondolewe haraka chamani

ndiyo yaliyokuwa matumaini ya wana ukoo wenzako, wamwshindwa kwsbb CDM imesajiliwa km Chama though founders walipenda iwe SACCOS nadhan ni technical faults
 
Mnafiki ni mtu mbaya sana tena ni wakumuogopa zaidi ya kitu chochote kile ',ukae chini ujiulize unayafanya haya kwa maslahi ya nani?? Na si kweli kwamba hujui kilicho fanywa na zitto ndani ya chadema laa! Unakijua na unajua kuwa si kitu chema hata kidogo.lakini kwa vile ume uvaa ushabiki na kujitoa ufahamu na hekima , jiulize unayafanya haya kwa maslahi ya nani?wakati huo kumbuka hali ya taifa hili ilivyo kiuchumi,kielimu,kisiasa nk.na pamoja na hayo yote kizazi chako kijacho ambacho kinategemea maandalizi yako kwa sasa kitanufaika nini na hayo unayo yafanya sasa kiasi cha kukukumbuka kwa wema na mema unayo waandalia sasa?ni kweli ukijifikiria wewe ni ngumu kutambua kama na kizazi chako kitakuwa na fikra na uelewa kama huo ulio nao sasa. Unapo tangulia mbele katika safari na ukawa unaweka miba na kuchimba mashimo kwenye njia baada ya kupita hakika safari kwa walio nyima yako itakuwa ngumu sana na hiyo ita wafanya wachelewe zaidi kutokana na mihangaiko ya kusafisha njia hiyo lakini ukipita na kutoa miba iliyopo katika njia hiyo utakuwa umewarahizishia walio nyuma yako kufika mapema huko waendako na watakushuru sana kwa kazi hiyo, watanzania tutachelewa kupata maendeleo tunayo yatarajia na kuyatamani kuyafikia sababu ya tabia na miendendo yetu wenyewe sababu kilicho kizuri na kilicho kibaya baadhi yetu hatuwezi kuvitofaautisha kwa kutumia akili zetu wenyewe wara nyingi huwa tunasubiri watusemee na sisi tuaze kuunga mkono hata pasipo kujali huyo aliye sema ana uelewa kiasi gani. Mungu ibariki tanzania

Zzk na mwanajeshi muasi achukuliwe hatua zinazostahi haraka kwa mujibu wa katiba yetu.
 
Tatizo wewe unachangia JF sio kwa mawazo yako bali ajira. Na mlipa mpiga zumari ndiye anayechagua wimbo. My friend, kama una akili timamu nikuambie jambo moja tuu. WATU WAMEMESHAKUDHARAU HUMU JF KAMA MTU ASIYE UFAHAMU.
Pamoja na kutumia ID isiyokutambulisha,ni kama mtu aliyejinyea hata kama wengine hawajui ila mwenyewe anajisikia aibu. BADILIKENI WAKATI NI HUU.
cc. zumbemkuu Molemo mohamed Mtoi Mchambuzi etc hebu tusaidiane tuwakomboe hawa vijana ili turudi kwenye mijadala badala ya kujaza pumba ndani ya forum hii iliyokuwa na heshima awali.

mtoi, zumbemkuu etc hawana ajira_wanapigana vikumbo kumsafishia viatu SLAA kutafuta majimbo ya Ubunge, hujaona na Mtoi leo kaja na issue ya Pangani? hao unaowataja wana shida binafsi hawawez kuwa na suluhu ya shida za Watz_huon akina NASSARI na MKyA sasa wanatokeza kwny shame list, leaave alone upuuz mkubwa wa kiutendaj HQ_
 
Last edited by a moderator:
zikishaisha kikao cha kk kitaitishwa na kujadili barua za utetezi wa wasaliti....na kutolea ufafanuzi hivyo siyo haraka kama unavyotaka tuamini...ila tunamfukuza..

ni kweli kaka,kwa makosa ya uasi ndan ya chama yanafaa kuchukuliwa maamuzi haraka na hasa kama muasi ataendelea kuasi zaidi,kama ilivyo kuwa kwa bavicha ililiyo wafuta uanachama waasi wote ndan ya mda mfupi.
 
Taratiibu sumu za ZZK zinaanza kutuingia baadhi ya wanachama na kuanza kuamini huenda zzk katengenezewa zengwe ndani ya chama.

Wote tunaona harakati za huyu mtu,kwa harakaharaka tunaweza kudharau lakin anazidi kuongeza wafuasi,kwa walioangalia habari ya star tv mtaungana na mimi kuwa zzk anazidi kuongeza iman ya wanachama juu yake.

Suala hili hakika litakigharimu sana chama kwa kuleta mgawanyiko mkubwa wa chama usio walazima.

Binafsi naweza kusema Huenda CC ya chama ilikurupuka kufanya maamuzi ndo maana ina kigugumizi kuweka hitimisho la sinema hii.

Wanachama wanaelekea kuchoka kutokana na ukimya wa uongozi wa chama huku upande wa pili ukizidi kutumia nafasi hii kujiimarisha zaidi.

Binafsi siasa za chadema zimeanza kunichosha maneno mengi bila vitendo.

Hakuna MwanaCDM zuzu kama wewe! wambie wanaokutumia kuwa CDM ni kisiki cha mpingo hivyo hawakiwezi.
 
mtoi, zumbemkuu etc hawana ajira_wanapigana vikumbo kumsafishia viatu SLAA kutafuta majimbo ya Ubunge, hujaona na Mtoi leo kaja na issue ya Pangani? hao unaowataja wana shida binafsi hawawez kuwa na suluhu ya shida za Watz_huon akina NASSARI na MKyA sasa wanatokeza kwny shame list, leaave alone upuuz mkubwa wa kiutendaj HQ_

jadili hoja iliyoko mezani,
 
Umeandika uharo mtupu!
 
ndiyo yaliyokuwa matumaini ya wana ukoo wenzako, wamwshindwa kwsbb CDM imesajiliwa km Chama though founders walipenda iwe SACCOS nadhan ni technical faults

Propaganda za kitoto zilizofail kitambo na zimeshawachosha watu wenye akili timamu labda wapelekee misukule wenzio pale lumumba resort
 
Hakuna MwanaCDM zuzu kama wewe! wambie wanaokutumia kuwa CDM ni kisiki cha mpingo hivyo hawakiwezi.

sawa,nina nia ya dhati na chama na ndo maana ningependa maamuzi dhidi ya waasi wa chama hasa huyu zzk yawe ni ya haraka zaidi,MWANAJESHI MUASI hawezi kuachwa mwezi mzima bila kuchukuliwa hatua kali,
 
Back
Top Bottom