Siasa kwenye kazi - GADO

omujubi

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
4,325
2,498
cart040412.jpg Heshima mbele wakuu.

Ni juzi tu moto uloposhika jengo la Kimathi katikati ya jiji la Nairobi. Ilikuwa ni usiku na baadhi ya local tv walionyesha hili tukio moja kwa moja.

Wengi wetu (nadhani) hatumfahamu Bw. Mwampembwa aka GADO kuwa ni 'mwanaharakati' mwenzetu, kwa wasiolijua hilo ni kuwa huyu ni Mtanzania aliyepiga hatua kubwa sana kimatifa katika nyanja ya utoaji maoni kupitia kazi za katuni.

Hii ya leo imenifurahisha sana.


Habari zaidi: Night blaze guts section of Nairobi
 
GADO kaona mbali sana serikali zetu za kiafrika ndivyo zinavyofanya mambo yake
 
Ni kweli na ndo maana sisi ccm tunasema tutaongoza milele!
Tunajua kukabiliana na majamga,
changamoto ndogo tuu tunazo!
 
GADO kaona mbali sana serikali zetu za kiafrika ndivyo zinavyofanya mambo yake
katuni zake pamoja na kazi zake nyingine zinakuwa na upeo wa hali ya juu sana, japo zinatoka Nation media lakini hata media house nyinginge wanazitumia kudhihirisha kuwa huyu bwana ni mweleawa.

Nasikia alisomea UCLAS mambo ya architecture na ndio kazi yake kabla hajaamua kujikita zaidi kwenye cartoon.

 
Back
Top Bottom