Siamini macho yangu jinsi nilivyofanikiwa!

Siamini macho yangu jinsi nilivyofanikiwa!

Kichwa cha chini kinatumia ela sana kuliko kichwa cha juu
 
Ngoja na mm nianze, naanza mdogomdogo na malengo ya siku 3 kwanza. Kwani hata mbuyu ulianza kama mchicha.
 
Mnaweza sana huwa mnajiendekeza tu.
 
Back
Top Bottom