Siamini macho yangu jinsi nilivyofanikiwa!

Nilikuwa na mchakato wa kukaa mwaka mzima bila kugegeda kwa malengo yangu binafsi,tayari nimeshakamilisha miezi sita!,na Jana nimetest mitambo kama ipo fresh na Demu mmoja sasa naendelea kumalizia miezi sita iliyobaki!
Faida kubwa niliyopata ni kwamba pesa inakaa sasa kwenye wallet vizuri na mambo mengine yakiendelea mubashara!
Wanaume tukiamua tunaweza
Yes mkuu tukiamua tunaweza hayo tunaita maamuzi magumu au kwa kizungu taugh call, shida ni kuwa sisi me tunakuwa wagumu kuyavua maisha haya na kuvaa hayo mkuu
 
Nilikuwa na mchakato wa kukaa mwaka mzima bila kugegeda kwa malengo yangu binafsi,tayari nimeshakamilisha miezi sita!,na Jana nimetest mitambo kama ipo fresh na Demu mmoja sasa naendelea kumalizia miezi sita iliyobaki!
Faida kubwa niliyopata ni kwamba pesa inakaa sasa kwenye wallet vizuri na mambo mengine yakiendelea mubashara!
Wanaume tukiamua tunaweza
Utakua una ugonjwa wa akili
 
Daah,nilijua uzi wenye maarifa ya ujasiliamali..
 
Nilikuwa na mchakato wa kukaa mwaka mzima bila kugegeda kwa malengo yangu binafsi,tayari nimeshakamilisha miezi sita!,na Jana nimetest mitambo kama ipo fresh na Demu mmoja sasa naendelea kumalizia miezi sita iliyobaki!
Faida kubwa niliyopata ni kwamba pesa inakaa sasa kwenye wallet vizuri na mambo mengine yakiendelea mubashara!
Wanaume tukiamua tunaweza
Aisee!!
 
Hee ,mkuu upo vzur sna mm nikienda siku tatu nahis kuchanganyikiwa kabisa akili haitulii mpaka nigegede
 
Back
Top Bottom