Kwa hiyo unataka kutuambia chanzo cha ajali ni kukosekana kwa air bags kwenye gari ya marehemu??? Yaani kwa kuangalia picha, tayari umeshapata majibu??? Umelichunguza gari kivipi??? Uchunguzi unafanyika kwenye picha???Be serious sam.
Ni watanzania gani wanaoshiriki kujadili mada hapa, unadhani hawajui muundo wa serikali. I think this is too simplistic and overgeneralization.
Huu ni udhalilishaji. Ungelijua usingelithubutu kuandika hicho ulichoandika hapo
Again, hii ni kushusha heshima ya wachangiaji hapa. Nilitoa mfano hapo awali; kuunganisha barabara za mikoa yote kwa kiwango cha lami. Nani ametaja barabara za karatu hapa???
kada hakuwa na hoja ndio maana ameingia mitini.
Mtanzania,
.................................... Nitakupa mfano mmoja tu wa Marekani. Wakati wa vita kuu ya dunia, Rais wa Marekani alitoa fungu maalum la pesa (kuongeza kosi0 ili kuhakikisha kuwa barabara zilikuwa ni kubwa, bora na zenye kutoka ng'ambo moja mpaka kwingine ili kurahisisha usafirishaji wa wanajeshi na vyombo vyao kuzuia Taifa lao lisivamiwe.
.....................
wow!
I has has been a long time. Please do not jump like a ***** without understanding what I was talking about. I have nothing to answer just go and wash yourself.
Ogah
Good Points.
Rev.Kishoka,
Hizi ajali zinasabababishwa na madereva wanaoendesha kwa kasi kubwa mno.
BAADHI ya madereva wa viongozi, wakiwamo mawaziri, wamepinga lawama zinazoelekezwa kwao kwamba ni sehemu ya chanzo cha ajali kutokana na kuendesha kwa mwendo wa kasi ya kupindukia.
Wamesisitiza kuwa, wanalazimika kufanya hivyo ili kutekeleza amri ya viongozi hao, ambao hushinikiza gari kuendeshwa kwa kasi ya kupindukia ili waweze kuwahi ratiba ya shughuli zao.Madereva hao walivunja ukimya wao walipozungumza na MTANZANIA, kwa nyakati tofauti Dar es Salaam jana, ikiwa ni siku chache baada ya aliyekuwa Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Salome Mbatia, kufariki dunia katika ajali ya gari, mkoani Iringa.
Wao wenyewe (viongozi) ndiyo wanaopenda speed (mwendo kasi), ndiyo maana wanapenda magari yenye mwendo mkali. Utakuta mtu unasafiri mheshimiwa anakuambia hapo kwenye dash-board mbona sioni chochote. Mzungu kaweka speed 180 siyo mjinga, hizo 40 unamwachia nani alisema dereva mmoja ambaye pamoja na wenzake walikataa majina yao kuandikwa gazeti ili kulinda ajira zao.