Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
nahitaji remix ya ukaguzi
maana simuelewi!!
Lady doctor hujampo my dear...Ich habe schon dich veremiss
hahahaha dada KOKUTONA hapo umenena yani nimejifanya kusahau halia ya sasa hakika huyo mwl kwanza angeamishiwa kijijini kabisa baada ya kulipa fidia
hahahahahaha umenikumbusha mbali sana daaa bila kula hivyo unaona ujafika shule
danke schon....
hata mi naona, shemeji itabidi tumfanyie remix maana haeleweki kabisa
hahahaha uliendelea kutolipenda au uliacha?yaani nimechekaje leo hapa ofisini mpaka wenzangu wananiuliza kulikoni jinsi ulivyonichekesha na kunikumbusha nami nilikuwa na tabia hiyohiyo ya kusahau madaftali hasa daftali la hesabu kwani ni somo ambalo sikuwa nalipenda kabisa
hapa kaka rutta umenigusa nimepaste Sikutegemea huyu Mwl kuja kuwa rafiki yangu na nilipo kuwa nikikutana nae baada ya kumaliza la saba aliniita na kuanza kunihoji unaendeleaje na masomo, kwakweli nilitokea kuanza kumkubali sana na kila likizo nilikuwa lazima niende kwake kumsalimu maana alinifunza kuwa makini na kujali.:
na kuna shule zingine kumchapa mwanafunzi mpaka mkuu wa shule awepoUmeona eeh...siku hizi eti mwalimu anaambiwa na mkuu wa shule au mwalimu mkuu ukimchapa mwanafunzi kwa kosa lolote DO IT AT YOUR OWN RISK...Alafu eti wanataka BIG RESULTS....kweli watangoja sana.